Gerson Msigwa: Gazeti la Tanzanite inawezekana lilithibitisha kuwa Zitto na Maalim Seif waligombania shoga

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,894
22,658
Kuna clip ya video inatambaa kwa kasi ikimuoesha mkurugenzi wa habari maelezo Ng ,Gerson Msigwa akisema kuwa hawakulifungia gazeti la Tanzanite linalomilikiwa na msiba kwa kuhapisha habari za uongo kuhusu mkuu wa chama cha ACT wazalendo Zito kabwe na aliyekuwa makamu wa kwanza wa urais seifu sharifu Hamad kujihusisha na ushoga kwa kumgomania mtu anayejulika Kama Suphian Juma ( ni member wa JF)

Video hiyo imezua utata kwa kuwa mzigwa anasema gazeti hilo lilithibitisha (nitaiweka hapa soon ) kuwa ishu ya ushoga ilikuwa kweli
IMG_20210919_120837.jpg


Tazama video:

 
... kigazeti chenyewe si cha hao hao akina Musiba? Wanawatuma kuandika uchonganishi halafu wanajifanya kuwafungia! By the way, zaidi ya MATAGA hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuamini upuuzi wa hicho kitakataka!
 
Nimejitahidi kuisoma ili niielewe sajapata picha

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
... kijarida cha chooni TANZANITE propaganda umbrella enzi za mwendazake kilitumwa kuzusha propaganda chafu kwamba Zitto na Maalimu Seif (RIP) waligombea shoga. Ili ku-balance na kujifanya haki ionekane inatendeka wanakifungia wakati waliokuwa behind the story ni hao hao!
 
Umeandika kinafiki na Kilumumba sana. Pamoja na hoja dhaifu za Msigwa juu ya kulifungua Gazeti la Raia Mwema hajasema Tanzanite walithibitisha bali katumia neno HUENDA walithibitisha....
 
This is not fair at all. Hata kama jambo hilo lina ukweli na Gazeti la Tanzanite wameweza kuthibitisha, lakini huu ni udhalilishaji wa kiwango cha juu mno. Serikali ilipaswa kuliadhibu hili gazeti.

Labda nikuulize ndugu Gerson Msigwa:

Hivi habari kama hii ingeandikwa kumuhusu Rais wa nchi, Madam SSH au kumuhusu Waziri mkuu, Je, Serikali isingechukua hatua zozote?
 
Back
Top Bottom