Hii week hatimae imeisha, ni jambo la kushukuru Mungu. Kwa upande wa CCM mambo si haba, at least wamethibitisha haya machache japo kwa kutuhumiana na kushutumiana!
1. Wabunge wa CCM wanawatuhumu...
Magonjwa yanayoangukia kwenye 'haemorrhagic fever" huwa siyo ya kupuuza, labda tu huko ambako watu hujifungua mawe.
"Huko hata ule mwingine kutokea pande za Wuhan, uliwahi kuitwa kaupepo."...
Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , ametuma salamu za Idd kwa Waislam wote Nchini Tanzania , amewataka Waislam wote kusherehekea siku hii kwa amani na utulivu .
Mbowe ambaye pia anajulikana...
Magufuli alikuwa mbishi tu. Alishauriwa kuwa hawa wapinzani kula nao. Usiwaache na njaa. Hizi kelele ni sababu wana njaa. Hakusikiliza akasema yeye hawezi ishi kinafiki.
Matokeo yake tukayaona...
Mtoto aliyesaidiwa matibabu na Rais Samia atoa simulizi ya kusisimua
* Asema watu wazima, watoto walimkimbia kutokana na maradhi yake ya ajabu
* Amwaga shukrani kwa Rais Samia kugharamia...
Wanabodi,
Hukumu ya mahakama ya Kisutu dhidi ya viongozi wa Chadema imeibua mengi, yakiwemo mazuri, mabaya, na mengine ni ya kawaida.
Miongoni mwa mambo mabaya ya ajabu kuhusu kesi hii, ni...
Kabla ya kusaliti , Ibrahim Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa Chama kilichokufa cha Cuf ilikuwa ni kawaida kumuona hadharani akishiriki shughuli za kijamii , ikiwemo kushiriki Ibada misikitini , Kwa...
Mapema asubuhi ya leo kada mwengine wa CCM ndugu Pereira Ame Silima amejitokeza katika ofisi kuu za Chama cha Mapinduzi Kisiwandui na kuchukua fomu Idadi ya wagombea wa kuteuliwa kugombea urais...
Kigoma ni kati ya mikoa iliyokua inasifika kwa ubovu wa barabara na hakukua na maendeleo yeyote ni kama ulisahaulika lakini Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani amefanikiwa kupeleka miradi...
“If to correct you must humiliate; you don't know how to teach.”
An old man meets a young man who asks:
“Do you remember me?” And the old man says no. Then the young man tells him he was his...
Nimesikiliza wimbo wa Roma Mkatoliki, napenda ila Chorus hasa kwa kuwa ameimba ABIUD ambaye wengi wanapenda anavyoimba mitaani. Roma amefanya vyema kumopa nafasi kuimba Chorus japo kweli Chorus na...
Huu ndio ushauri wangu kwasababu dini zote zinatambua na kuhuburi msamaha kwa wakosaji.
Kwa msingi huo, kiongozi mwenye imani ya kidini, atakuwa sahihi zaidu kutoa msamaha kwa wafungwa katika...
Kipima Joto leo wageni ni Mwandishi nguli mh Atiki na mh Miraji
Hawa wote ni Wazanzibar sasa mjadala umekuwa wa upande mmoja inabidi mtangazaji Juliet Robert ndio awe mtetezi wa Tanganyika...
Ndugu zangu watanzania,
Kwa hakika Rais Samia Anastahili pongezi kutoka kwa kila mtanzania mzalendo, Rais wetu Ni mpambanaji na aliyepambana kishujaa na kijasiri Sana kwa ajili ya Taifa letu...
Kinachofanya kiongozi afanikiwe ni kujitenga na washauri wasiofaa. Kwa upande wa Rais, Baraza la Mawaziri ndio chombo muhimu cha kumshauri Rais.
Inapotokea kiongozi kufanya mishe za kunywa chai...
Mwanzoni nlijua ni TPDC peke yake kumbe shida na EWURA ni Shida.
Wanakwamisha vibali vya kufunga vituo vya kujazia Gesi asilia kwenye magari.
Kwa sasa Tanzania nzima vituo vilikuwa viwili tu vya...
Ukitoa mapendekezo juu ya masilahi kwa walimu wanaopinga Ni Walimu wenyewe hivi kwanini lakini, mfano... mapendekezo ya kuwepo kwa;
1. Teaching allowance.
2. Mafunzo kazini Mara mbili kwa mwaka...
Wakati wa Mkapa Kanali Nsa Kaisi na mzee Kingunge walikuwa Washauri upande wa Uchumi na Siasa
Awamu ya Shujaa Magufuli sijawahi kusikia kama ana Washauri ama wa Uchumi au hata Siasa
Naomba...
Kimsingi Law School of Tanzania inapaswa kushughulika na kuwawezesha wanafunzi kupata ujuzi kwa vitendo ndiyo maana inaitwa LEGAL PRACTICAL TRAINING! Inalenga kuwapatia wanafunzi weledi katika...