Njia rahisi ya kuua upinzani ambayo Hayati Magufuli hakuitaka. Inafanya kazi vizuri

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
1,694
3,982
Magufuli alikuwa mbishi tu. Alishauriwa kuwa hawa wapinzani kula nao. Usiwaache na njaa. Hizi kelele ni sababu wana njaa. Hakusikiliza akasema yeye hawezi ishi kinafiki.

Matokeo yake tukayaona. Ila wenzie wanajua..ni kula nao tu. Kwa sasa tunamshukuru Rais Samia hana baya. Anakula nao anawakumbuka. Husikii hbr za Katiba.

Lema mpaka anajisahau anasema Samia asisemwe. So yeye ndo anatoa ruhusa? Yaani anakula mpaka baadaye atasema Samia tena 2025. Mi nipo hapa.

Ajue hatuna mpango wa kumtukana. Ale tu kistaarabu. Wapinzani hupiga kelele wanapokuwa na njaa. Mnamsikia Zitto? Ha ha ha.... Sisi tunawajua tatizo lao ni nini.

Huyu Lissu ndo mbishi tu. Wenzie wanalamba asali kwa upole yeye kuna kipindi anajisahau na ubishi wake. Ila nashauri marais wote wakija. Usipambane na wapinzani kwa nguvu. Wapatie tu asali...wanalamba lamba wewe unaendelea na maisha yako.

RAIS SAMIA TENA 2025. Wapinzani huwaui kwa nyundo unawaua kwa asali. Vyama vyao vinakufa tu automatically. Sasa wameachiwa wafanye Mikutano. Hawana Hoja. Lema anasema waendesha boda boda wamelaaniwa. Keshokutwa atasema Manesi wamelaaniwa.

Siku nyingine atasema walimu wamelaaniwa, wiki ijayo atasema wanajeshi wamelaaniwa. Sababu sasa hana hoja nchi inaenda vizuri anakula anakunywa. Hana cha kusema zaidi ya kuwageukia wananchi sasa kuwapasha.
 
Magufuli alikuwa mbishi tu. Alishauriwa kuwa hawa wapinzani kula nao. Usiwaache na njaa. Hizi kelele ni sababu wana njaa. Hakusikiliza akasema yeye hawezi ishi kinafiki.

Matokeo yake tukayaona. Ila wenzie wanajua..ni kula nao tu. Kwa sasa tunamshukuru Rais Samia hana baya. Anakula nao anawakumbuka. Husikii hbr za Katiba.

Lema mpaka anajisahau anasema Samia asisemwe. So yeye ndo anatoa ruhusa? Yaani anakula mpaka baadaye atasema Samia te a 2025. Mi nipo hapa.

Ajue hatuna mpango wa kumtukana. Ale tu kistaarabu. Wapinzani hupiga kelele wanapokuwa na njaa. Mnamsikia Zitto? Ha ha ha.... Sisi tunawajua tatizo lao ni nini.

Huyu Lissu ndo mbishi tu. Wenzie wanalamba asali kwa upole yeye kuna kipindi anajisahau na ubishi wake. Ila nashauri marais wote wakija. Usipambane na wapinzani kwa nguvu. Wapatie tu asali...wanalamba lamba wewe unaendelea na maisha yako.
Urais ni both akili na kipawa. Magufuli hakuwa navyo vyote ndiyo maana ALIKUFA huku hajafanikisha lolote
 
Alishauriwa na nani ?

Tunajenga nchi, haya mawazo yena kweli yanajenga au yafarakanisha
 
Most of the time mlikua mnalalamika kuwa Wapinzani hawa-appreciate kitu, Leo waki-appreciate inakua nongwa
Shida ya upinzani ni kutoishi katika au kutokuwa na misingi. Principles. Hilo hasa. Magufuli asingeweza hata kidogo kuishi na unafiki wa namna ile. Si ndani wala nje ya CCM. Hakuwa mnafiki hata, so kama kilichomuua ni kutoishi maisha ya kinafiki then so be it. Kufa wote tutakufa sooner or later.
 
Back
Top Bottom