Usaliti ni laana , Siku hizi Lipumba anaswali kwa kujificha ficha

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,628
218,059
Kabla ya kusaliti , Ibrahim Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa Chama kilichokufa cha Cuf ilikuwa ni kawaida kumuona hadharani akishiriki shughuli za kijamii , ikiwemo kushiriki Ibada misikitini , Kwa Mtoro na kwingineko .

Lakini sasa baada ya kubainika Wazi Usaliti wake anaswalia ndani mwake kwa kuona aibu kujitokeza hadharani , hata siku akijitokeza basi ni kwa kujifichaficha tu !

Hatuandiki haya kama majungu , tunaandika kama masomo ya kufundishia vijana ili kuepuka Aibu za Uzeeni .
 
Usaliti haujawahi mwacha yeyote salama 🏃.Nikikumbuka mkesha wa pale Buguruni na cheka,na huzunika na kutafakari kwa sauti,ni nini malipo ya usaliti🤔
 
Mkishtakiwa kwa innuendo,slander mnaanza kutafuta michango na huruma.Maisha binafsi ya mtu yanakuhusu nini?Au wewe ni janitor wa misikiti wa kuchukua mahudhurio?
 
Kabla ya kusaliti , Ibrahim Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa Chama kilichokufa cha Cuf ilikuwa ni kawaida kumuona hadharani akishiriki shughuli za kijamii , ikiwemo kushiriki Ibada misikitini , Kwa Mtoro na kwingineko .

Lakini sasa baada ya kubainika Wazi Usaliti wake anaswalia ndani mwake kwa kuona aibu kujitokeza hadharani , hata siku akijitokeza basi ni kwa kujifichaficha tu !

Hatuandiki haya kama majungu , tunaandika kama masomo ya kufundishia vijana ili kuepuka Aibu za Uzeeni .

Propesa
 
Mkishtakiwa kwa innuendo,slander mnaanza kutafuta michango na huruma.Maisha binafsi ya mtu yanakuhusu nini?Au wewe ni janitor wa misikiti na kuchukua mahudhurio?
huyu si kiongozi nguli , au hatupaswi kumuulizia ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom