Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa Mujibu wa handle ya Twitter ya Tanzania Business Insight, Tanzania itapokea mkopo wa dharura na haraka wa $153M kwa ajili ya ku support budget yetu. Katika marejeo ya Shirika hilo la fedha...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Waraka kwa serikali kuhusu waalimu, serikali iwajali walimu. Ni muda sasa umepita kukiwa na manung'uniko kwa walimu katika nyanja nyingi zinazohusu maslahi yao ikiwemo mishahara yao, stahiki zao...
5 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni wakati sahihi sasa kwa viongozi wa CHADEMA kukaa pamoja na kina halima mdee na wenzake 18 kumaliza tofauti zenu na kuwarudisha kundini ili mjenge mshikamano tayari kwa mapambano ya kukiimarisha...
1 Reactions
11 Replies
909 Views
Mzee Yusuph Makamba amesema "Tusimfundishe namna ya kufanya kazi hatumtendei haki...niulize kwa haya yanayoendelea je kuna mwenye mashaka tena na uwezo wake hadi sasa? Rais Samia kwetu Watanzania...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Hii nchi ngumu sana aisee Mwenyekiti wa Laac Halima anapuyanga tu na Nabii Lema huko migombani Wakati Ripoti ya CAG iko mezani kwake Ili ifanyiwe Kazi. Kama Wabunge Wana muda wa kuzurura hadi...
1 Reactions
4 Replies
541 Views
Katibu Mkuu wa CCM amepotea hewani Mara baada ya kusomwa ripoti ya CAG. Imefika mahali sasa Katibu Mkuu wa CCM amekosa la kusema wala la kuwaambia wananchi. Anayejua aliko tafadhali!
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Binafsi kama mwanaccm hichi kitendo anachofanyiwa Sabaya kinaniuma sana na nikitendo cha udhalilishaji kwa vijana wanaopigania chama kwa kujitoa muhanga. Sabaya katika uongozi wake amekuta wilaya...
16 Reactions
116 Replies
7K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia Mhe. Demeke Mekonnen...
1 Reactions
3 Replies
942 Views
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Godbless Lema amesema amefurahi sana kukutana na Halima Mdee na Esther Bulaya na amewatakia Wepesi wa kuyashinda majaribu wanayopitia ili mwishoe Warudi Ili kwa...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Hapo vip!! Kwa muda mrefu nimekuwa nafuatilia tuhuma zilizo tengeneza hii kesi ya Sabaya ila nimeonea kama sio tuhuma nzito kuzidi tuhuma zote ambazo tumeshawahi kuzisikia kwa viongozi mbalimbali...
6 Reactions
65 Replies
5K Views
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Neema Lugangira ametaka maboresho ya vyama vya siasa na chaguzi ziainishe bayana uteuzi wa wagombea ndani ya vyama vya siasa katika nafasi mbalimbali za uongozi...
0 Reactions
0 Replies
550 Views
Kwanza tukubaliane sote kwamba, kila mwenye kutokukidhi mahitaji yake binafsi na ya familia yake, na kwamba umasikini alionao umechangiwa kwa asilimia kubwa sana na viongozi wa chama cha CCM ambao...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
MHE. JOKATE MWEGELO AKABIDHI BAISKELI 200 KWA WATOTO WA KIKE SHULE 10 KOROGWE Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Jokate Mwegelo amekabidhi baiskeli 200 kwa Wanafunzi wa kike kwa Shule 10 za Sekondari...
0 Reactions
7 Replies
748 Views
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 25, 2023 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 13. Uamuzi wa Serikali kuondoa Msamaha wa kodi kwenye Taulo za kike na Vishkwambi Waziri Hamad...
0 Reactions
8 Replies
911 Views
Amesema hivi , Nanukuu " Ripoti ya CAG imetuonyesha wazi kwamba Changamoto za Nchi yetu Si fedha , Rasilimali wala utayari wa Wananchi , Bali tatizo ni viongozi wasio na maadili walioshika dhamana...
24 Reactions
53 Replies
3K Views
Hii ndio taarifa mpya ya sasa kutoka Wasafi Media kwamba Godbless Lema ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema amealikwa kwenye kipindi cha asubuhi ( GOOD MORNING ), tarehe 25/04/2023, kuanzia...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Na Mwandishi wetu Baraka Mussa (Mjumbe wa Halmashauri kuu CCM Wilaya ya kigoma mjini), Kwanza nianze kuwasalimia Kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania? Pia ningeomba Vijana wa ACT wasome...
0 Reactions
4 Replies
981 Views
Tunapoikumbuka Aprili 26, ya mwaka 1964, tujikite zaidi katika kuepukana au kumaliza kabisa zinazoitwa kero za Muungano kwa kufanya mojawapo ya yafuatayo: Mosi, tuwe na nchi moja na serikali...
0 Reactions
3 Replies
449 Views
Mimi thread zangu ni check and balance kati ya Awamu ya Sita na ile ya Tano, leo ngome ya vijana ya ACT wazalendo ilipanga kufanya maandamano hadi Ikulu kwa mama yao kipenzi rafiki wa demokrasia...
5 Reactions
67 Replies
7K Views
Kwa yanayoendelea Tanzania, ninahisi kuna hujuma inafanyika ili kuisababishia Serikali hasara na Wizi uendelee. Mwenye uelewa kuhusu Mfumo wa GePG Tanzania kama unafanya kazi na kama unapatikana...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…