JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI - WANANCHI WAENDELEA KUTATUA MATATIZO YA ELIMU VIJIJINI MWAO
Wananchi ndani ya Vijiji 68 vya Musoma Vijijini wamekua na mwamuko mkubwa sana kushirikiana na Serikali, na...
Kiukweli tuna mengi ya kujifunza kwa ndugu zetu Kenya zaidi ya kumsifia tu Chebukati na Tume yake ya Uchaguzi
Ruto amepiga Marufuku maandamano ya Wapinzani siku ya Jumanne na kuahidi...
Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri;(Itikieni: Kazi iendelee).
Wizi sio mzuri lakini kuna Watu watanicheka na kusema huyu anaongea nini. Anyway! Inategemea na Aina ya wizi, hapo vipi? Lakini Mimi...
Huyu jamaa Ana akili sana anatazama mambo kwa ufanisi mkubwa kwa faida ya nchi ni mtu anaitazama nchi kwa mbele sana nafasi aliyopewa na Rais amepatia sana, ni msomi mwenye uzoefu mkubwa anajua...
Nawasalimu!
Nimekuwa nikiwaza Sana! Sometimes inauma Sana unapowaza Jambo ambalo haliwezi kutokea. Naam, si rahisi kuwa na Muungano na USA. Lakini, je, ni kweli haiwezekani? yes haiwezekani...
Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amesema hakuna mtu yeyote anatakiwa kumwingilia au kumpigia simu Hakimu ambaye suala au kesi fulani ipo mbele yake akisisitiza, "Ukiona anakupigia simu ya...
Waziri wa katiba na sheria ameshatangaza rasmi kwamba mchakato wa katiba mpya utaanza mwezi wa Saba mwanzoni. Nilikuwa na ushauri kwamba makosa yaliyopelekea mchakato wa katiba mpya mwaka 2014...
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewataka watumishi wa afya katika Halmashauri ya Kondoa pamoja na Halmashauri ya Mji Kondoa kutoa huduma bora kwa wananchi...
Ni ushauri na ombi kwa Mh. Rais, ikimfaa awarudishie mishahara watumishi wote mishahara yao iliyoshushwa. Ni vyema ikimfaa alizungumze hili kesho siku ya mei mosi, ili kujenga umoja wa kitaifa na...
Alianza Charles Hilary , akafuata Zuhura Yunusu na Sasa Salim Kikeke. Sina hoja Kwa Charles na Zuhura Kwa Sababu walikuwa raia WA Tanzania na awakuwahi kupata uraia huku ughaibuni.
Kwa Salim...
Changamoto kubwa mbili zinazowakabili Waafrika kwa sasa katika ulimwengu, na kusema kweli zinazotunyima sauti kwenye majukwaa ya kidunia, ni Mamlaka (Sovereignty) na Nguvu za Kijeshi (Military...
Upinde wa mvua ni tao la rangi mbalimbali angani ambalo linaweza kuonekana wakati jua huangaza kupitia matone ya mvua inayoanguka. Mfano wa rangi hizo huanza na nyekundu nje na hubadilika kupitia...
Muda mfupi mtangazaji wa miaka 20 BBC Swahili TV na redio mhariri wa BBC Swahili.com ameaga na kupewa keki akidaiwa kurudi nyumbani,
Kikeke media za bongo zilimkataa na akakubaliwa DUNIANI hasa...
Habari ndugu zangu.
Nawasalimu kwa upendo wa dhati toka ndani ya moyo wangu.
Nawapenda sana.
Aidha baada ya salamu hizo, naomba niende kwenye mada tajwa hapo juu.
Ni ukweli mchungu kwamba...
Hivi huwa wanapimwa akili kweli? Hivi kuna mtu na akili timamu anaweza pita juu ya watu namna hii? Hii si ni busara ndogo kuelewa kuwa si sawa haijalishi wananchi wanasemaje.
Huwa nawaza sana hii...
Kuua, kuhamasisha watu kuuawa, kutishia kuua au kushiriki kwa namna yoyote ile katika mauaji ni makosa ya jinai. Polisi hawastahili kusubiri kuambiwa wamkamate na kumfikisha mahakamani mtu...
Kwa Sasa Dunia yetu inapitia mengi sana sana ...tuanze na la ushoga na usagaji....Kisha vita ya wenyewe kwa wenyewe ....tatu ugaidi ukiongozwa na makundi mbalimbali ya wanamgambo...ukame ukosefu...
Mkuu wa mkoa wa DSM Amos Makalla ameupiga Marufuku Wafanyabiashara kuuza bidhaa kwa kuzipanga chini
Agizo hilo limeanza mara moja hasa kwenye bidhaa za Vyakula ukizingatia Huu ni msimu wa mvua...
Inashangaza kuona baadhi ya maeneo bado wanatumia opras kama rejea ya utendaji kazi wa watumishi. Ikumbukwe kwamba fomu hizi hujazwa na mtumishi kwa kushirikiana na kiingozi wake.
Kwa asilimia...
1.Mlilalamikia kikokotoo kisiwepo,serikali ikaweka
2.Mkalalamikia nyongeza ya mishahara Kwa miaka nenda rudi,nyongeza ni mpaka serikali iamue na iongeze ionavyo
3.Mmelalamikia annual...