Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wafanyabiashara wa kitanzania wanaosafirisha mahindi kuingia nchini Kenya wameandamana kwenye mpaka wa Holili kufuatia kuzuiliwa kuingiza shehena za mahindi na Kenya. Msururu wa maloli umekwama...
4 Reactions
49 Replies
5K Views
Soma hii kwanza kwa niaba ya wenzako wanaccm, Mimi ni jirani yake na Mhe. Balozi Ali Karume, hapa mtaani tunamtambua kuwa mwanzilshi wa Chama Cha Mapinduzi yaanii CCM. Tunamtambua baba yake ya...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Siasa za Tanzania ni pasua kichwa sana bora utende wema ukitegemea thawabu kwa Mungu wa mbinguni siyo hawa Binadamu wa Tanzania Kuna Watu walihoji Azimio la Arusha lilikuwa na manufaa gani kama...
1 Reactions
6 Replies
412 Views
Kwa mda mrefu,watanzania walio wengi, bila kujali dini zao, makabira yao,na vyama vyao vya kisiasa,wamekuwa wakijiuliza, Taifa hili litampata wapi mzalendo kama Hayati Magufuli atakaye simama bila...
1 Reactions
0 Replies
717 Views
Katika mkutano na wananchi wa mjini Mtwara juzi, Majaliwa alisisitiza kuwa hadi sasa kilichotiwa saini ni makubaliano ya awali na muda ukifika maoni ya wananchi yatazingatiwa. “Hatuwezi kumwacha...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Boniface Mwabukusi ameamua kupasua jipu, ameamua kumfunga paka kengele, ameamua kuvaa mabomu. Hataki kuuma uma maneno. Amechoka. Ananikumbusha Mch. Christopher Mtikila miaka ile ya 1990s. Huyu...
9 Reactions
18 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa tuzo maalum ya heshima katika katika kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la...
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapaswa Sasa kuchukua hatua Kali sana dhidi ya Makundi ya watu mbalimbali ambayo hivi Karibuni yamekuwa yakisambaza sumu ya chuki, ubaguzi na...
4 Reactions
47 Replies
3K Views
Ukisikiliza Kauli hii ya mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe utagundua kuwa hata yeye anajutia kwanini hakumuunga mkono Magufuli. Kauli zake zinapingana sana kabla na baada ya Magufuli kufa.
1 Reactions
6 Replies
874 Views
Balozi Ali Karume MwanaCCM anayedaiwa kuvuliwa uanachama, Amesema kwamba , mpaka sasa hata yeye anasikia tu kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kwamba amevuliwa uanachama. Na kwamba...
8 Reactions
31 Replies
5K Views
Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri . Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa...
13 Reactions
391 Replies
31K Views
Mwezi April 2021, tarehe 10, CAG Mstaafu, Profesa Assad, aliitoa kauli ambayo ilizua gumzo kwa watu wengi. Wapo walioiunga mkono, huku wengine wakiipinga vikali. Nafikiri wafuatiliaji wa Habari...
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Wakuu kwa wenye akili timamu wanaweza kujiuliza anaogopa nini!? Juisi hakutaka kunywa hadi mwenyeji wake ainywe kwanza! Kelele mitandaoni kibao tukaona ni vituko vya kawaida! Juzi kwenda na kiti...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Rais wa JMT mh Dr Samia Suluhu Hassan amemtumia salamu za Pongezi Askofu Mkuu Protace Rugambwa kwa Kuteuliwa na Baba Mtakatifu Papa Francisco kuwa Kardinali Rais Samia amesema anaungana na...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Wananchi wilayani Serengeti watoa ushuhuda hadharani jinsi ndugu zao waliovyouliwa na Askari Nyamapori. Hili lilifanyika katika mkutano wa hadhara uliofanyika Serengeti ambapo Katibu Mkuu wa...
2 Reactions
3 Replies
800 Views
Kesi Kesi hiyo leo inatarajiwa kuendelea tena baada ya kusimama kwa miezi miwili, tangu Mei 17, mwaka huu. Siku hiyo kesi hiyo haikuendelea Kwa kuwa Jaji Cyprian Mkeha anayeiskilizwa hakuwepo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kishindo: Oparesheni maalum ‘Tokomeza Mirungi’, hekari 535 zateketezwa – Kilimanjaro Hekari 535 za mashamba ya mirungi zimeteketezwa katika oparesheni maalum ‘Tokomeza Mirungi’, iliyoanzia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bila kupepesa macho, huyu mama ni visionary leader, anajua anachofanya. Ukifuatilia deliverables zake you will be shocked. Facts and data zinaonesha amefanya mambo mengi kwa muda mfupi, pengine...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Shujaa Magufuli alikuwa na maono ya mbali sana Kama Mamajusi wa Nchi yetu wangetenda yawapasayo Hakika leo tusingeparurana Wenyewe kwa Wenyewe huku Mwekezaji amejikalia kipembeni anatuchora tu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…