Kimenuka: Ali Karume kujibu Mapigo, anasubiri barua ya kuvuliwa Uanachama

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,247
Balozi Ali Karume MwanaCCM anayedaiwa kuvuliwa uanachama, Amesema kwamba , mpaka sasa hata yeye anasikia tu kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kwamba amevuliwa uanachama.

Na kwamba ikiwa atapewa Barua hiyo basi atafunguka , hawezi kuzungumzia uvumi tu wa mitaani.

---

Muda mfupi baada ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini Unguja kumtimua uanachama kada wake Balozi Ali Abeid Karume, yeye amesema bado hajapata barua ya kutimuliwa nafasi hiyo.

Amesema taarifa hizo naye amezisikia na kuziona kwenye mitandao ya kijamii, hivyo atakuwa kwenye nafasi nzuri kuzungumza jambo hilo baada ya kupokea barua ya kutimuliwa kwake uanachama katika chama hicho kikongwe nchini.

“Nasubiri barua kabla ya kujibu,” amesema Balozi Karume

Hatua ya kumtimua imefikiwa zikiwa zimepita siku 22 tu tangu Balozi Karume alipopewa barua ya onyo Juni 15, kabla ya juzi kuibuka tena akisisitiza kauli zake kwamba hakuna demokrasia ndani ya CCM.

Kabla ya hatua hiyo, Karume alihojiwa na kamati ya maadili ya CCM tawi la Mwera, akahojiwa na kamati ya maadili ya CCM Jimbo la Tunguu na alihojiwa na kamati ya maadili ya CCM Wilaya ya Kati na kupewa barua ya onyo akiwekwa chini ya uangalizi wa miezi mitatu.

Uamuzi wa kumfukuza uanachama umetolewa leo Juni 8, 2023 saa 9:00 usiku na kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kusini Unguja chini ya Katibu wa Mkoa huo, Amina Mnacho.

Akitangaza uamuzi wa kikao hicho Katibu Mwenezi wa CCM mkoa huo, Ali Timamu Haji amesema umefikiwa baada ya kumjadili na kupokea mapendekezo kutoka vikao vya chini kuhusu mwenendo na tabia ya mwanachama huyo.

"Tumepokea mapendekezo kutoka vikao mbalimbali vya chini na tumevipitia na sisi kama chama Mkoa kwa mujibu wa katiba ya CCM ya mwaka 1977 toleo la mwaka 2022 ibara ya 89 (4) Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa inatupa nguvu hiyo,” amesema.

Amesema ibara ndogo ya 14 (14) inaelekeza kuwa kumuachisha au kumfukuza uanachama mwanachama yoyote endapo itathibitika kuwa endapo tabia na mwenendo wake vinamuondolea sifa za uanachama na mwanachama anayefukuzwa anaweza kukata rufaa kwa kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa.

"Kwa maana hiyo baada ya kupewa nguvu na katiba na kupitia yote kutoka ngazi za chini Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa imeridhia kwa kauli moja kwamba kutokana na kauli na vitendo vya mwanachama huyu, tumekubaliana kumuachisha uanachama wa CCM kadi nambari C000/2809/993/1 iliyotolewa Machi 17, 2022,"

MWANANCHI
 
Huu muungano wa Tanu na Zanzbar unaenda kuvunjika
 
Mkuu najua wewe ni mwanachadema kindaki na hii habari umeisikia tu from no where, issue ya Karume imekwisha ndg yangu there's no more kwake kwa issue zinazohusu CCM na Yeye.

Ukitaka kuniprove wrong weka ushahidi wa andiko lako, nakuhakikishia sita_comment wala kuandika chochote humu JF hadi mwaka unaisha huu 2023.
 
Chanzo ni Mwananchi waliomhoji , kingine ni hiki , huna haja ya kujiapiza kwa masuala ya humu mkuu , utafanya makosa sana , halafu mimi sina haja ya kutunga uongo kuhusu Ali Karume , haitanisaidia chochote
 
Basi mkuu achana na hiyo issue ya karume, - Imekwisha hiyo toka jana usiku wa saa 00:18 tulilimaliza.

Hakuna cha mwananchi wala sijui ndg mwandishi kumhoji, amini hili unalosoma hapa now, otherwise redio mbao!.
 
Mbona easy tu, akate rufaa kamati kuu ya halmashauri kuu ya chama hicho pengine itabatilisha uamuzi wa ngazi za chini zilizomfukuza na kumuachisha uanachama kada wao. Kama vipi aende ACT Wazalendo au CHADEMA akaendeleze siasa zake za kukinyuka chama chake kilichomlea na kumkuza tangu ujana wake
 
Wewe ni nani kiasi cha kupanga mambo ya watu ?
 
Mbona easy tu, akate rufaa kamati kuu ya halmashauri kuu ya chama hicho pengine itabatilisha uamuzi wa ngazi za chini zilizomfukuza na kumuachisha uanachama kada wao. Kama vipi aende ACT Wazalendo au CHADEMA akaendeleze siasa zake za kukinyuka chama chake kilichomlea na kumkuza tangu ujana wake
Amesema mpelekeeni barua ya kumfukuza kwanza... Hayo mengine yaendelee
 
Back
Top Bottom