Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

RNA

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
1,584
2,683
Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .

Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-​

1. Rais Hussein Mwinyi

2. Bashiru Ally

3. Askofu Gwajima

4. Kassim Majaliwa

5. Paul Makonda

6. Ummy Mwalimu

7. Hussein Bashe

8. Emmanuel Ole Shangai

9. Kenani Kihongosi

10. Tundu Lissu

Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi. Lengo ni Kusaidia Vyama na Taasisi husika kuchagua Watu Sahihi .
 
Anahitajika inteligent, humble, patriotic, visionary and Truthful kufanikisha next stage!!!
Lipo jina hapo naliona ndie!!
Na Mbingu zimemchagua na sisi wazalendo tunaenda nae!!!
Sitomtaja kwenye uzi Huu!!!
Tafuteni WENYEWE!
Tutajie mkuu
 
Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .

Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania :-​

1. Rais Hussein Mwinyi

2. Bashiru Ally

3. Askofu Gwajima

4. Kassim Majaliwa

5. Paul Makonda

6. Ummy Mwalimu

7. Hussein Bashe

8. Emmanuel Ole Shangai

9. Kenani Kihongosi

10. Tundu lissu .

Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi.
2$5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prof Makame Mbarawa
Mchapakazi, ila mpole sana. Hataweza kuwaendesha Wabongo. Ndiyo maana alishauriwa akavute bange. Kama kweli tunataka maendeleo, staili pekee ya kufanikiwa, angalau kwa sasa, ni ile ya JPM. Kama tunataka mzaha, basi tufumbe macho na kumchagua mtu yeyote.

Majaliwa alikuwa anafaa sana. But, baada ya dira yake kuondoka, anaonekana amepwaya sana--ni kama vile amejiunga na timu butu ya ^war-who-knee!^

Kabla ya kumpatia kiongozi dhamana ya kuliongoza taifa hili, ni vyema tukairejelea hotuba ya JKN 1995.

 
Back
Top Bottom