Wakili Boniphas Mwambukusu simama kwenye nafasi ya Hayati Magufuli

yvegenc prymacov

JF-Expert Member
Jan 22, 2023
1,526
1,913
Kwa mda mrefu,watanzania walio wengi, bila kujali dini zao, makabira yao,na vyama vyao vya kisiasa,wamekuwa wakijiuliza, Taifa hili litampata wapi mzalendo kama Hayati Magufuli atakaye simama bila uoga kupigania kupambana na mafisadi yaliyo ndani na nje ya nchi na ndani ya CCM?

Hatimae taifa linaelekea kumpata, mtu mzalendo, mkweli, mpambanaji na asiyekiogopa kifo naye si mwingine ni wakili wa kujitegemea BONIPHAS MWAMBUKUSU.

Watanzania wote tumuunge mkono bila uoga na bila aibu.
 
Back
Top Bottom