Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu amesema suala la bunge kujadili hali ya usalama wa nchi na kutaka kamati iundwe kuchuguza matukio mbalimbali ya kihalifu kutasababisha hali ya taharuki...
Tunakubaliana wote yaani CCM na upinzani kwamba Bunge la sasa halina uhalali kutokana na uharibifu uliofanywa kwenye uchaguzi 2020.
Tunakubaliana wote kwamba dhamira ya Mhe. Rais aitengenezi...
Changamoto kubwa iliyopo serikalini ni pale watumishi wa Umma kujiona kuwa wao wanajua kuliko waliopo nje ya serikali ilo ni tatzo kubali ukatae Mh Rais na msomaji wangu mpendwa lipo kubwa...
Jana mkuu wa Wilaya ya Lushoto Kamanda Lazaro ametangaza kupokelewa kwa Mahindi ya Msaada Kutoka ghala la Serikali.
Bei yake ni tsh 930/= kwa kilo.
Sikuwahi kufikiria kuna siku Lushoto, Bumbuli...
Baada ya kifo cha Rais Magufuli Chama cha Mapinduzi kimeingia katika Mtego mzito sana katika Siasa yake.
Mtego huu unatokana na Kifo cha Rais Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa...
Mhe. Waziri Mkuu aliwatuma Mawaziri wa kisekta kubaini mpaka halali wa Hifadhi ya Serengeti na Wilaya ya Tarime maeneo ya Gorong'a na Gibaso baada ya kilio cha muda mrefu kutoka kwa wananchi...
MBUNGE: UKAGUZI KWA WATUHUMIWA GEREZANI UNADHALILISHA WANAWAKE
Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini amesema “Tunawasisitiza RPC, OCD na Wakuu wa Vituo kuzingatia Sheria kwa makosa...
Huku nyuma awamu ya 5 kila jaribio la wale nawaita wahuni kushika ndege za ATCL ili kulipwa madeni ya mchongo na Tanzania yamekua yanashindwa na ndege zimekua zinaachiwa baada ya muda mfupi...
Kwa mwenendo huu wa kisiasa ni dhahiri sasa anahitajika kupatikana Mwenyekiti mpya wa kuitoa CHADEMA kutoka sehemu moja kwenda mbele zaidi .
Fikra zilezile na mawazo yaleyale ya Mwenyekiti wa...
Serekali iruhusu uraia wa nchi mbili kwa sababu unafaida nyingi sana, ila usingatie vegezo vifuatavyo ambavyo vigeuzwe kuwa sheria
Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kugombea urais
Ukiwa raia wa...
Baraza la Wanawake Chadema limeandaa maandamano ya kumshinikiza Spika wa bunge Dr Tulia awaondoe bungeni Wabunge 19 wanaodaiwa ni wa Chadema yaani Halima James Mdee na wenzake 18
Maandamo hayo...
Nimetumia muda mwingi kufiatilia vikao vya mabunge ya nchi nyingi Duniani, Mabunge ja Nchi za Jumuia ya Madola na oia Mabunge ya nchi zingine zikiwemo za West Africa, North Africa, Asia na hata...
Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono amelishwa sumu wakati akiwa kwenye safari ya kikazi jijini London nchini Uingereza, imeelezwa.
Kwa mujibu wa tovuti ya The Citizen, Mkono ambaye pia ni...
Ukisoma upuuzi mwingi humu unaona kabisa hii nchi ni ya hovyo.
Lakini ukipekua na kuwasikiliza wakurugenzi wengi wa wizara na idara za serikali (wanapokuwa wageni waalikwa kwenye mijadala); wengi...
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lissu amewalaani Viongozi wa CCM kwa kugawana rasilimali za nchi vikiwemo viwanda na kumtaja mmoja wa wanufaika wa ubazazi huo ni mbunge wa Morogoro...
Kwa sasa jinsi Nchi inavyoongozwa kwa utulivu na amani huku tukishuhudia maendeleo kede kede, ajira za hapa na pale, miundo mbinu, wafanykazi kuboreshewa maslahi yao.
Si hivyo tu hata majaji wetu...
Kwanza kabisa namshukuru' muumba Kwa kuniweka hai mpaka Leo ninapofanikiwa kuwaona wanaochukia ukabila wa magufuli lakini wao kupitia chuki zao wakiungana Kabila moja na kutunga kitabu...
Viwanda ndio uchumi imara, Kama huna viwanda vya kutosha huwezi kuwa na uchumi mzuri. Hakuna maendeleo au ukuaji mzuri wa kiuchumi bila kuwa na uzalishaji unaotokana na viwanda kwa mujibu wa...
Kwa maoni yangu Magufuli aliongoza nchi kwa namna tofauti kabisa ya ajabu na ya kutia moyo wengi na kuwavunja moyo wengi vilevile.
Mama Samia ni tofauti kabisa na Magufuli anafanya kazi ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek nchini Namibia kwa ajili ya Mkutano wa dharura wa Troika...