Tundu Lissu: CCM wanapenda kumsema sema Magufuli kwa sababu amekufa lakini wote ni Watenda dhambi ileile

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,113
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lissu amewalaani Viongozi wa CCM kwa kugawana rasilimali za nchi vikiwemo viwanda na kumtaja mmoja wa wanufaika wa ubazazi huo ni mbunge wa Morogoro mjini Dr Abood.

Tundu Lissu anesema "CCM wanapenda kumsema sema Magufuli kwa sababu tu AMEKUFA lakini wote ni washirika katika kutenda dhambi ILE ILE"

Tundu Antipas Lissu alikuwa akihutubia Mkutano wa hadhara mkoani Morogoro na alipomtaja Magufuli Uwanja mzima ulishangilia.

Aidha Lissu anesema Maridhiano hayana maana yoyote kama hakuna kitu kinachobadilika.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amewalaani Viongozi wa CCM kwa kugawana rasilimali za nchi vikiwemo viwanda na kumtaja mmoja wa wanufaika wa ubazazi huo ni mbunge wa Morogoro mjini Dr Abood.

Tundu Lisu anesema "CCM wanapenda kumsema sema Magufuli kwa sababu tu AMEKUFA lakini wote ni washirika katika kutenda dhambi ILE ILE"

Tundu Antipas Lisu alikuwa akihutubia Mkutano wa hadhara mkoani Morogoro na alipomtaja Magufuli Uwanja mzima ulishangilia.

Wow😳😂 Yaani sifa kwa Magufuli ndiyo hiyo? Au sifa ni ile Lissu kulitaja jina lake kivyovyote vile. Sasa bwashee uko desperate kweli. Au ndio unawauza wazee wa legasi kwa bei ya reja reja!
 
Siku zote huwa nasema iwe ni kwa uzuri au Ubaya Huwezi kumtenganisha Magufuli na CCM

So Lisu ameliweka wazi kwa kutumia mfano Ule Ule wa Abood!
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amewalaani Viongozi wa CCM kwa kugawana rasilimali za nchi vikiwemo viwanda na kumtaja mmoja wa wanufaika wa ubazazi huo ni mbunge wa Morogoro mjini Dr Abood.

Tundu Lisu anesema "CCM wanapenda kumsema sema Magufuli kwa sababu tu AMEKUFA lakini wote ni washirika katika kutenda dhambi ILE ILE"

Tundu Antipas Lisu alikuwa akihutubia Mkutano wa hadhara mkoani Morogoro na alipomtaja Magufuli Uwanja mzima ulishangilia.

Aidha Lissu anesema Maridhiano hayana maana yoyote kama hakuna kitu kinachobadilika.

Mungu ni mwema wakati wote!
Ameanza kutubu haraka sana atulie aje atubu 2029 huko maana tunajua alimchafua sana na hadhi yake Lisu ikafubaa kitendo cha watu kushangilia Magufuli inapaswa kuwa sehemu ya Lisu kujitafakari sana

Magufuli ni zaidi ya maji

USSR
 
Ungejua CCM ilivyo onwa 2010-2015 ungekaa kimya bila Magufuli CCM ilikuwa inakufa kabisa na ndivyo itakavyokuwa 2029 ,tulia utaona

USSR
Usitake nikae kimya. Hebu tafakari tu. Magufuli alitumia mkono wa chuma (dola) kuzuia shughuli za kisiasa za wapinzani na wakosoaji wa serikali vikiwemo vyombo vya habari. Habari na shughuli za hadhara zilizokuwa zinakubalika ni za kuisifu na kuipongeza serikali tu.

Sasa unashauri Rais wa sasa SSH naye atumie rungu la dola (polisi, mahakama, magereza, usalama, watendaji, n.k.) “kuiimarisha” CCM kama Magufuli alivyofanya? Ni busara hiyo?
 
Kamfufue uzikwe wewe malalamiko na matusi fc mbwiga
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lissu amewalaani Viongozi wa CCM kwa kugawana rasilimali za nchi vikiwemo viwanda na kumtaja mmoja wa wanufaika wa ubazazi huo ni mbunge wa Morogoro mjini Dr Abood.

Tundu Lissu anesema "CCM wanapenda kumsema sema Magufuli kwa sababu tu AMEKUFA lakini wote ni washirika katika kutenda dhambi ILE ILE"

Tundu Antipas Lissu alikuwa akihutubia Mkutano wa hadhara mkoani Morogoro na alipomtaja Magufuli Uwanja mzima ulishangilia.

Aidha Lissu anesema Maridhiano hayana maana yoyote kama hakuna kitu kinachobadilika.

Mungu ni mwema wakati wote!
Kuna ukweli lakini hao akina Mwigulu na akina Lusinde ni same same problem
 
Usitake nikae kimya. Hebu tafakari tu. Magufuli alitumia mkono wa chuma (dola) kuzuia shughuli za kisiasa za wapinzani na wakosoaji wa serikali vikiwemo vyombo vya habari. Habari na shughuli za hadhara zilizokuwa zinakubalika ni za kuisifu na kuipongeza serikali tu.

Sasa unashauri Rais wa sasa SSH naye atumie rungu la dola (polisi, mahakama, magereza, usalama, watendaji, n.k.) “kuiimarisha” CCM kama Magufuli alivyofanya? Ni busara hiyo?
Hizo siasa zimesaidia nini tangu uhuru,hii nchi ilipokuwa ilitakiwa mtu kama Magufuli tu ,sasa wameanza kulalamika tena upigaji Magufuli alikuwa mwamba wa wezi hapa nchini

USSR
 
Acha kuniogopa wewe dada Magufuli alikuwa zaidi ya Rais

USSR
Zaidi ya raisi manake alikuwa mungu au dictator ?? Ndo mana akauwa watu na kupora korosho za watu na pesa kwenye account za watu hukuakiwabambikizia cases???
Unasumbuliwa na ujinga wa kihalaiki pole
 
Hizo siasa zimesaidia nini tangu uhuru,hii nchi ilipokuwa ilitakiwa mtu kama Magufuli tu ,sasa wameanza kulalamika tena upigaji Magufuli alikuwa mwamba wa wezi hapa nchini

USSR
Alifunga wezi wangapi? Alitunga sheria gani kudhibiti wezi?
Mbiga malalamiko fc
 
Back
Top Bottom