Tundu Lissu hajulikani anapambania nini!

Mtanke

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
820
Reaction score
2,097
Kwa maoni yangu Magufuli aliongoza nchi kwa namna tofauti kabisa ya ajabu na ya kutia moyo wengi na kuwavunja moyo wengi vilevile.

Mama Samia ni tofauti kabisa na Magufuli anafanya kazi ya kupinga na kubadilisha misingi aliyokuwa akijijengea Magufuli kwa ajili ya kulinda utawala wake.

Lissu sasa anampinga Magufuli na wakati huo huo anampinga Mama Samia he is having many front! Sasa anapinga wakati hana falsafa mpya na wananchi hawajui watampima vipi.

Mwisho wa siku atajikuta hana ajenda anayosimamia
 
Kama huna akili huwezi kumwelewa Lisu
 
Huwa tunawaambia hapa, the two best presidents of our country ni:
• Mwl Julius Kambarage Nyerere (Baba wa Taifa)
• Mwl John Pombe Magufuli (Baba wa Uchumi)
 
Kwa maoni yangu Magufuli aliongoza nchi kwa namna tofauti kabisa ya ajabu na ya kutia moyo wengi na kuwavunja moyo wengi vilevile.

Mama Samia ni tofauti kabisa na Magufuli anafanya kazi ya kupinga na kubadilisha misingi aliyokuwa akijijengea Magufuli kwa ajili ya kulinda utawala wake.

Lissu sasa anampinga Magufuli na wakati huo huo anampinga Mama Samia he is having many front! Sasa anapinga wakati hana falsafa mpya na wananchi hawajui watampima vipi.

Mwisho wa siku atajikuta hana ajenda anayosimamia
Lissu ajenda yake ni Katiba mpya
 
Kama huna akili huwezi kumwelewa Lisu
Wakati Albert Einstein anapublish theory zake za special Relativity and General relativity, vitu kama E=MC2 "wajinga" wanasayansi walimuona kichaa maana Newton and colleagues walikuwa wakidhani kila kitu kiko sawa. Hao 'wajinga" walikataa katakata maana uwezo wao wa kufikiri haukuwa wa kiwango cha Einstein! Baadaye walikuwa ku-bow kuwa huyu kweli alikuwa genius of the century
sasa Lisu is another level of thinking
 
Lissu ndio yupo hivyo na hapo ndio anafanya anachokimudu vizuri kabisa yani ni samaki ndani ya maji, hapo ndio kwenye uhodari na umaarufu wa Lissu.

Muhimu ni kuelewa aina ya siasa zake, Lissu sio wa maridhiano.
 
Itakuwa hatari kama ndivyo au ndiyo ule usemi utatimia kwamba akiwamaliza maadui zake atahamia kwetu isije Kuwa Yale maukatili yakaja Kwa Sura ya pili! Anyway tumuombe Mungu Kwani hamu yetu ni kukomesha ubadhilifu,Ufisadi,upendeleo na Aina zote za Uonevu na vyote vinavyofanana na hayo. Ila nguvu zinazotumika ili kutwaa madaraka zinanipa Shaka Kama kweli watatutoa hapa tulipo kwama.
Isije Kuwa wanatafuta ajira ya kudumu.
 
Back
Top Bottom