Mapendekezo: Serikali iruhusu uraia pacha kwa kuzingatia masharti yafuatayo

Artifact Collector

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
6,601
10,097
Serekali iruhusu uraia wa nchi mbili kwa sababu unafaida nyingi sana, ila usingatie vegezo vifuatavyo ambavyo vigeuzwe kuwa sheria
  • Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kugombea urais
  • Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kugombea ubunge, udiwani, na uenyekiti wa mtaa
  • Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kumiliki ardhi zaid ya eka moja
 
Umuhimu wake kwa nyie wengine upo wap?uraia wa nchi yako umeukana mwenyewe and then unataka upatiwe tena???
 
Serekali iruhusu uraia wa nchi mbili kwa sababu unafaida nyingi sana, ila usingatie vegezo vifuatavyo ambavyo vigeuzwe kuwa sheria
  • Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kugombea urais
  • Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kugombea ubunge, udiwani, na uenyekiti wa mtaa
  • Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kumiliki ardhi zaid ya eka moja
Bridger
 
Wengi waliopo nje sidhani kama wana shida ya siasa za nyumbani maana tunaona hazina faida kabisa zaida ya ujanja ujanja tu

Kuhusu ardhi hapo umekosea kabisa maana wengi wana hela za kuwekeza kwenye ardhi kama miradi ya ujenzi au mashamba makubwa makubwa ya kisasa

Eka moja nichezee tennis ama
 
Kuwekeza na kumiliki ni vitu viwil tofauti
 
Fact

Watu wabanane Tanganyika kwa sababu eti ardhi imeshikiliwa na wahamiaji wako Scotland

Over our cold dead bodies
Kwan hata sahivi watu wameshikilia amapande ya ardhi kwa mwavuli wa uwekezani
Tatizo kubwa la watanzania ni uoga
Hakuna nchi iliyoruhusu uraia pacha ina tatizo la ardhi
 
Kama hupendi kitu/jambo usilazimishe watu wengine wakichukie unauhuru wa kukichukia ila usilazimishe wengine wakichukie
Sijalazimisha mtu mwingine akichukie,nimetoa mawazo yangu tu....nilitegemea ungeniambia faida za uraia pacha na hasara pia. Sorry kwa utofauti wangu bro.
 
Fact

Watu wabanane Tanganyika kwa sababu eti ardhi imeshikiliwa na wahamiaji wako Scotland

Over our cold dead bodies
Fact bro!Hyo ni mojawapo tu ya hasara nadhan zitakuwepo nyng zaidi...haiwezekan kitu ukikatae and then utake kupita mlango wa nyuma ukiombe tena....kuna namna haipo sawa
 
Hizo nchi nyingine nyingi ambazo wanaruhusu uraia pacha mbona hamna malalamiko hayo yako

Unajua nchi nyingi sana wana uraia pacha mfano nchi karibia zote za western wana uraia pacha
 
Kuwekeza na kumiliki ni vitu viwil tofauti
Kuwekeza unakuwa na mkataba pia

Hivi yule billionaire wa Marekani aliepewa ekari kibao tangu 2009 amewekeza au kabeba jumla ?

Hebu nifafanulie hapo maana kuna Watanzania walioenda kutafuta maisha na tunataka kurudi kuishi huko na kupata ardhi ya kuendeleza
 
Serekali iruhusu uraia wa nchi mbili kwa sababu unafaida nyingi sana, ila usingatie vegezo vifuatavyo ambavyo vigeuzwe kuwa sheria
  • Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kugombea urais
  • Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kugombea ubunge, udiwani, na uenyekiti wa mtaa
  • Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kumiliki ardhi zaid ya eka moja

Kwanini asimiliki ardhi …labda useme wasiruhusiwe kuajiriwa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama …..
 
Serekali iruhusu uraia wa nchi mbili kwa sababu unafaida nyingi sana, ila usingatie vegezo vifuatavyo ambavyo vigeuzwe kuwa sheria
  • Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kugombea urais
  • Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kugombea ubunge, udiwani, na uenyekiti wa mtaa
  • Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kumiliki ardhi zaid ya eka moja
Hiyo ya tatu acha upuuzi.
 
Back
Top Bottom