Waziri Ummy: Katika kipindi cha miaka 7 iliyopita hatujawahi kukumbwa na balaa la Kipindupindu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,119
Waziri wa Afya mh Ummy Mwalimu amewataka wananchi wa DSM kuzingatia usafi kwa sababu Jiji hilo limekumbwa na Kipindupindu

Ummy amesema kwa takribani miaka 7 na ushee iliyopita hatujawahi kukumbwa na balaa la Kipindupindu hivyo Viongozi kwenye Serikali za Mitaa wazingatie kusimamia swala la usafi

Chanzo: ITV Habari

Nawatakia Dominica Njema!
 
Waziri wa Afya mh Ummy Mwalimu amewataka wananchi wa DSM kuzingatia usafi kwa sababu Jiji hilo limekumbwa na Kipindupindu

Ummy amesema kwa takribani miaka 7 na ushee iliyopita hatujawahi kukumbwa na balaa la Kipindupindu hivyo Viongozi kwenye Serikal za Mitaa wazingatie kusimamia swala la usafi

Source ITV Habari

Nawatakia Dominica Njema!
Viva Magufuli huna baya hatukudai
 
Waziri wa Afya mh Ummy Mwalimu amewataka wananchi wa DSM kuzingatia usafi kwa sababu Jiji hilo limekumbwa na Kipindupindu

Ummy amesema kwa takribani miaka 7 na ushee iliyopita hatujawahi kukumbwa na balaa la Kipindupindu hivyo Viongozi kwenye Serikali za Mitaa wazingatie kusimamia swala la usafi

Source ITV Habari

Nawatakia Dominica Njema!
Hivi kwanini mazeri anaendelea kumpa uwaziri huyu mjane wa yule? Kauli zake za namna hizi anazipenda sana na tafsri yake as if kuna uzembe kwenye current regime. Apumzishwe huyu kwanzi binafsi sioni la maana afanyalo.
 
Waziri wa Afya mh Ummy Mwalimu amewataka wananchi wa DSM kuzingatia usafi kwa sababu Jiji hilo limekumbwa na Kipindupindu

Ummy amesema kwa takribani miaka 7 na ushee iliyopita hatujawahi kukumbwa na balaa la Kipindupindu hivyo Viongozi kwenye Serikali za Mitaa wazingatie kusimamia swala la usafi

Source ITV Habari

Nawatakia Dominica Njema!
Mawaziri wengine hadi wajukuu wanawakuta bado wapo ofcn tu kama hakuna wengine.
 
Mwenyewe nimeshangaa, kwa sababu hiyo naunga mkono post #8; huyu atumbuliwe tu kwa maana inawezekana kuna kahujuma fulani anakafanya huyu.
Kipindupindu ni uzembe wa serikali tu. Kama ubovu wa maadili mitandaoni. Katika hili wanaoumia ni watu wa chini. Wacha awasemee wanyonge.
 
Wa
Waziri wa Afya mh Ummy Mwalimu amewataka wananchi wa DSM kuzingatia usafi kwa sababu Jiji hilo limekumbwa na Kipindupindu

Ummy amesema kwa takribani miaka 7 na ushee iliyopita hatujawahi kukumbwa na balaa la Kipindupindu hivyo Viongozi kwenye Serikali za Mitaa wazingatie kusimamia swala la usafi

Source ITV Habari

Nawatakia Dominica Njema!
Liondoa wazo la usafikila mwezi walitaka matokeo gani ,Punda aendi pila mjeredi
 
Ummy aache kudanganya watu.

Na hii hapa ni nini, mwaka 2018

Kwenye press conference huyuhuyuj Ummy Mwalimu aliwatangazia wanahabari juu ya hali ya kipindupindu nchini, mwaka 2018 cheki hapa chini.
 
Back
Top Bottom