Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,539
- 10,007
Ukiangalia historia ya uhuru wa tanzania utaona imechangia kwa kiasi kikubwa kushape fikra za watanzania wa leo, yaani ukisoma huon struggle kabisa zaid ya watu waliokua wanakutania kwenye bao na vijiwe vya kahawa eti ndo wapigania uhuru hao
Wako wanaosema historia ya Tanzania imechakachuliwa kwa upande mwingine nakubaliana nao ila still hata ukisoma huo upande wa uliochakachuliwa huon struggle kabisa
Madhara ya kupewa uhuru instead ya kuupigania imeleta vizazi vya watu dhaifu na waoga, ukweli ni kwamba watanzania ni waoga na waliojaa na unafki
Ukienda kwa wakenya wale uhuru waliupigania hawakupewa na hii imepelekea kushape kizazi cha kenya kwenye fikra kuliko sis watanzania, mkenya even mtu wa kawaida anajiamin na anajua haki zake na yuko kuzipigania ila mtanzania ni mwoga, mnafki na kila jambo ambalo liko ndani ya uweza wake atakuambia ana mwachia Mungu
Point hapa sio kuisifia sana Kenya hapana still wanamatatizo yao kama rushwa, ukabila, kiwango chao cha maendeleo hakija pishana sana na Tanzania, ila jambo ambalo nauhakika nalo wakenya sio mazoba kama watanzania