Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kutokana bungeni Dodoma! Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi mkoani Kagera Mhandisi Ezra Chiwelesa ameishauri serikali kuanzisha taasisi rasmi za kusimamia sekta ya mifugo pamoja na uvuvi ili...
0 Reactions
0 Replies
365 Views
Waziri wa Fedha Dr Mwigullu PhD ndiye Waziri wa Fedha Kijana ukimlinganisha na waliomtangulia tangu Mfumo wa Vyama vingi uanze. Matarajio ya Wananchi ni makubwa kwamba atatutoa kwenye Uchumi wa...
2 Reactions
7 Replies
772 Views
Gwajima amekomalia sana na huwa anapenda kurudia kila mara hii hoja yake mufilisi ya nchi kufanya mipango ya miaka 50. Bahati mbaya sana huwa naoana akiiongea kwa ujasiri na kushangiliwa na watu...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Miaka 30 ya Maadhimisho ya Uhuru wa vyombo vya habari; Vikwazo na wajibu wa kiukombozi wa vyombo vya habari. Utangulizi Leo tarehe 3 Mei 2023 ni siku ya maadhimisho ya uhuru wa vyombo vya habari...
0 Reactions
2 Replies
678 Views
Najiuliza tangu Prof.Ndalichako ateuliwe kuwa waziri wa elimu ni kitu gani amekifanya chenye kuboresha "quality" ya elimu Tanzania? Nakumbuka alibadili kutoka GPA system kwenda Grade systems. Hii...
23 Reactions
189 Replies
19K Views
Habari Jf ,Ni aibu kuona nchi kama Tanzania baada ya miaka 60 ya Uhuru bado ina changamoto nyingi sana ambazo hazitakiwa kuwepo ,kibaya zaidi bado CCM inaendelea tu kuwepo madarakani. Kwa kifupi...
1 Reactions
7 Replies
770 Views
Sasa ni Dhahiri kwamba, CCM inafahamu kwamba mbele ya Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi haiwezi kushinda uchaguzi wowote ule. Huko Twitter ameonekana Hamis Kigwangwala akimwaga chozi na...
14 Reactions
32 Replies
4K Views
Mtu yule huenda kama angepata watu wa kumsikiliza kabla na au baada ya kupelekwa gerezani. Yawezekana alikuwa na ushuhuda mkubwa sana juu ya alichokuwa ameoteshwa kuhusu madhara ya lile Genge la...
20 Reactions
83 Replies
7K Views
Jambo Jambo? Hivi kwa mwenendo wa uhalifu Geita na huyu RPC mwanamama Safia Jongo, ni wazi kabisa toka mwezi wa kwanza(Januari) mpaka hii leo nani hajui kuwa Geita ni pa moto. Juzi tu hapa...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Naona huyu mkulima amelipwa na anatumika kuzuia kile kinachoitwa muingiliano wa mihimili ya dola bunge, mahakama na serikali hapa: 1.Serkali imepeleka hoja ya wizi wa trillioni 3+ bungeni ili...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Wanabodi, Naangalia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kinachorushwa live na kituo Star TV kila siku za Jumamosi asubuhi, mmoja wa waalikwa katika kipindi cha Leo, ni mwandishi nguli...
63 Reactions
335 Replies
45K Views
Katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru amesema CCM itapata ushindi mkubwa na wa kihistoria ambao haijawahi kuupata tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Bashiru amesema mwaka huu CCM iliyoshikamana bila...
7 Reactions
158 Replies
14K Views
Baada ya kusikiliza hotuba ya rais siku ya wafanyakazi, niligundua tumefanywa wajinga tena kwa kuahidiwa kitu ambacho hakipo. Hivi hatuwezagi kuandaa maandamano ya kupinga uongo wa wanasiasa...
4 Reactions
9 Replies
484 Views
Tunashuhudia viongozi wetu wa Afrika kukumbukwa mara baada ya kupoteza maisha, lakini kwa Chato imekuwa kama tofauti sana, Thomas Sankara leo kuna watu wanatamani kumzika upya, kwa sababu ya...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
MBUNGE MHE. KENNETH NOLLO NA KASI YA MAENDELEO KATIKA JIMBO LA BAHI MKOA WA DODOMA Mbunge wa Jimbo la Bahi, Dodoma Mhe. Kenneth Nollo mwezi Aprili 2023 amefanya ziara katika Jimbo la Bahi na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
State Capture ni UFISADI MKUBWA wa KISIASA ambapo WATU Binafsi kama Wafanya Biashara WAKUBWA,VIGOGO wa kisiasa na kiserikali ama MAKUNDI binafsi yaliyo na USHAWISHI KISIASA na...
5 Reactions
9 Replies
701 Views
Kama sio kusaka kiki za bei rahisi ni nini? Kuchukulia hatua vidagaa wa taa uwanja wa taifa ni kama mmetuona watanzania ni wajinga, mbona kuna mgao wa umeme nchi nzima na hakuna hatua zozote...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 16 leo Mei 3, 2023. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Khamis Hamza Chilo amesema hadi sasa, Serikali...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Naona baadhi ya Chadema Wanaotaka Katiba Mpya wanapendekeza Muungano wa Serikal Moja Ndio najiuliza Muasisi wa Muungano aliposema Serikal Moja Tanganyika itavimeza Visiwa vya Zanzibar...
0 Reactions
4 Replies
449 Views
Kuna aina kadhaa ya serikali za kiimla, ambazo hutawala kwa nguvu na udhibiti mkubwa wa kisiasa na kijamii. Hapa ntaelezea aina kadhaa za serikali za kiimla kwa lugha ya ufupi: Serikali ya...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom