Waziri wa Elimu, tafuta utaratibu utakaomfaa mtoto aliyezika ndugu zake wanne jana na kesho anatakiwa aanze mitihani

Robert S Gulenga

JF-Expert Member
Jan 3, 2013
2,125
1,469
Waziri WyEST, yawezekana kanuni, taratibu na mifumo ya mitihani yetu ya Kitaifa haiwezi kufanya mtu aliyepata matatizo akapa namna nyingine ya kufanya kwa wakati hayupo sawa kuifanya mitihani hiyo.

Kuna mtoto anaitwa Careen Mathew Metili anayesoma Shule ya Secondary Mwika mkoani Kilimanjaro amefiwa na ndugu zake Wanne kwa ajali ya gari akiwepo mama yake mzazi.

Huyu mtoto amezika ndugu zake jana , leo amerudi Shule kwa ajili ya kesho tarehe 02.05.2023 kuanza mitihani yake ya kumaliza kidato cha sita.

Mheshimiwa Waziri WyEST, Huyu mtoto lwa sasa anahitaji msaada wa kisaikolojia ili aweze kuwa sawa, didhani kama anatakiwa kwenda kufanya mitihani, kwa namna yeyote huyu mtoto hayuko sawa na hatakuwa sawa ndani ya siku mbili hizi.

Pengine kupitia tukio la mtoto huyu tuangalie namna ya kurekebisha Kanuni za mitihani ya Kitaifa ili kumpa mtu Uhuru anapopitia mamabo magumu kama ya huyu mtoto.

Mh Waziri, huwezi kuzika ndugu wa nne na kesho ukaendelee na majukumu ya kawaida. Tumsaidie huyu mtoto kumpa watu watakao msaidia badala ya kumpa mitihani.

Mungu ibariki Tanzania. Mungu Mbariki Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
 
Umeongea la maana Sana! Wizara imejaa vilaza hata sijui kama wamemshauri waziri! Mbona chuo kikuu mwanafunzi anasema sijisikii vizuri kufanya mtihani na anapangiwa ratiba yake, sembuse huyu aliyefiwa! Hataweza kufanya mtihani kamwe! Mtu kama ww ndio unatakiwa ukalie ofisi walizokalia hawa vilaza.
 
Mimi si mjuzi sana. Lakini kuna taratibu huwa zinafanyika.

Mwalimu Mkuu au Mtaaluma katika shule husika, huambatanisha matokeo ya Mwanafunzi katika mitihani yake ya ndani ya shule.

Natumia nadharia za mwanafunzi kushindwa kufanya somo fulani kwa sababu za ugonjwa ama la. Mwalimu wa somo huwajibika kuwaandika majina ya wanafunzi ambao mwanafunzi husika analingana nao uwezo. Itatumiwa katika ukadriaji wa ufaulu katika somo husika.

Tukirudi kwa Careen, nilipata nafasi ya kuona picha mwendo akihojiwa na muandishi wa habari. That kid must be so bright. Uwezo wa kujikaza na kuonyesha ukakamavu wa kihisia katika kipindi kigumu kama kile, ni kuonyesha mhusika ana kiwango cha juu zaidi ya emotional intelligence.

Na nina hakika atafaulu kwa kiwango chake pasipokutegemea mbeleko za Baraza.

''Wamekufa kwa ajili yangu, nami nitapambana kwa ajili yao" alisema Careen.
 
Unaweza kuwa sahihi, lakini mkuu usiyumbishwe na tabasamu la yule mtoto wakati anahojiwa, hayuko sawa kwa namna yeyote ile, huwezi Zika ndugu zako wanne leo kesho ukafanye mitihani ya kumaliza kidato cha sita, yule mtoto anahitaji kusaidiwa na Wataalam wa Saikolojia ili aweze kuwa sawa,
 
Waziri WyEST, yawezekana kanuni, taratibu na mifumo ya mitihani yetu ya Kitaifa haiwezi kufanya mtu aliyepata matatizo akapa namna nyingine ya kufanya kwa wakati hayupo sawa kuifanya mitihani hiyo.

Kuna mtoto anaitwa Careen Mathew Metili anayesoma Shule ya Secondary Mwika mkoani Kilimanjaro amefiwa na ndugu zake Wanne kwa ajali ya gari akiwepo mama yake mzazi.

Huyu mtoto amezika ndugu zake jana , leo amerudi Shule kwa ajili ya kesho tarehe 02.05.2023 kuanza mitihani yake ya kumaliza kidato cha sita.

Mheshimiwa Waziri WyEST, Huyu mtoto lwa sasa anahitaji msaada wa kisaikolojia ili aweze kuwa sawa, didhani kama anatakiwa kwenda kufanya mitihani, kwa namna yeyote huyu mtoto hayuko sawa na hatakuwa sawa ndani ya siku mbili hizi.

Pengine kupitia tukio la mtoto huyu tuangalie namna ya kurekebisha Kanuni za mitihani ya Kitaifa ili kumpa mtu Uhuru anapopitia mamabo magumu kama ya huyu mtoto.

Mh Waziri, huwezi kuzika ndugu wa nne na kesho ukaendelee na majukumu ya kawaida. Tumsaidie huyu mtoto kumpa watu watakao msaidia badala ya kumpa mitihani.

Mungu ibariki Tanzania. Mungu Mbariki Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
ACHA kutengeneza sympathy isiyo ya lazima,

Kuna watu wamefiwa na WAZAZI wao Leo na kesho wanapiga mtihani Hilo unalijua?

Hao utawaweka fungus gani?

Huyo mwanafunzi mshauri arudie mwaka
 
Naunga mkono hoja na ni utu pia.
 
ACHA kutengeneza sympathy isiyo ya lazima,

Kuna watu wamefiwa na WAZAZI wao Leo na kesho wanapiga mtihani Hilo unalijua?

Hao utawaweka fungus gani?

Huyo mwanafunzi mshauri arudie mwaka
Ndio maana ameshauri kanuni za mitihani zirekebishwe ili kutoa nafasi kwa mtu anayepitia mambo magumu kama haya.
 
Ongeza Maelezo Anasoma Wapi Mkoa, Wilaya Jina La Shule
kasema mwika sekondari kwa waliozunguka nchi hii mwika iko mkoa wa kilimanjaro na maelezo yamekamilika.la msingi hapo ni kwa wizara kuweka utaratibu wa wanafunzi wanaokutana na madhira ya namna hiyo kuwepo utaratibu wa ufanyaji mitihani.ukiangalia kwa vyuo vya elimu ya juu kuna utaratibu wa kuahirisha mitihani halafu unafanya wakati mwingine lkn kwa sekondari nadhani haupo ijapokuwa sina uhakika kwa moja kwa moja.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom