Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wetu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania tunaelewa kazi kubwa uliyonayo. Tunaelewa lawama unazobeba kwakua ndiye Rais wa taifa letu. Tunaelewa kazi kubwa unayofanya ya kututafutia fedha za...
1 Reactions
3 Replies
542 Views
Mfalme Suleiman alipewa mtihani kwa kuletewa kesi na wanawake wawili wakigombea mtoto mmoja, mtihani ambao aliushinda kwa hekima kubwa sana. Hekima aliyoitumia kushinda mtihani huo ilifanya watu...
19 Reactions
111 Replies
52K Views
Vyama vya Siasa vikubwa, vilivyo na mamilioni ya Wanachama na vyenye nguvu kama CCM duniani kote vina namna yake ya kuwarekebisha Wanachama au Viongozi wanaopotoka kuhusu Kanuni, taratibu na jadi...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Naam! "Bash-Law" amelenga Mshono kwenye "Mzinga wa Nyuki" ndani ya CCM! Ghafla ikaitishwa Kikao cha dharula CCM Dodoma! Mara tumemuona Mama kaingia Site huko Singida na Manyara kwa haraka...
8 Reactions
12 Replies
2K Views
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, ameeleza kuwa Balozi Bashiru Ally, hajafanya kosa lolote hakustahili kushambuliwa. Amesema, watu wajibu hoja badala ya kumshambulia yeye binafsi...
85 Reactions
211 Replies
16K Views
Nakumbuka CUF walisusia Uchaguzi Zanzibar lakini haikubadilisha chochote zaidi ya chama kufa. Nawaona CHADEMA wanarudia makosa yale yale Au kuna Biashara inafanyika?
1 Reactions
15 Replies
682 Views
Uzinduzi wa maghala ya chakula si suluhishi ya kutatua matatizo yanayokumba nchi hivi sasa mfumuko wa bei wa bidhaa mbalimbali ndiyo kitu pekee mama ambacho hivi sasa angekaa na viongozi wake nini...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Ibara ya 66 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inataja Aina za Wabunge, ikiwemo wa kuchaguliwa, viti maalum na wa kuteuliwa na Rais. Jana Mbunge wa Nzega, Hamis Kigwangala akimwongelea...
0 Reactions
7 Replies
515 Views
Asalam alaikum Ndg zangu Mapendo Daimaa Tumsifu Bwana wetu yesu kristo Ndg zangu kwa kitamaduni za kiTanzania salamu ni kitu cha Muhimu sana kwa Jamii zetu mbalimbali hapa Nchini. Nawasalimu...
3 Reactions
5 Replies
567 Views
Hivi ni taarifa ya Mbunge wa Singida Mashariki Mheshimiwa Miraji Jumanne Mtaturu baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika ujenzi wa kituo cha Afya NTUNTU. 👇👇 Nawasalimu sana wandugu. Ninaomba...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Bei ya debe la mahindi kwa sasa ni sh. 20,000/= huku kwetu. Ni bei kubwa kabisa kuwahi kutokea kwa takribani miongo kadhaa iliyopita. Wakati huo, pesa hakuna. Pesa imekuwa ni ngumu sana kupata...
1 Reactions
1 Replies
321 Views
Kwa miaka mingi tumekuwa na demokrasia, haki na uhuru wa hadaa, na watawala badala ya kufanya yale wanayoyataka wananchi, wao wanataka wananchi wafanye yale wanayoyataka wao watawala. Tangu mwaka...
6 Reactions
35 Replies
1K Views
Hili lote ni picha linalotengenezwa, ili uonekane Dkt Bashiru hana maana. DKT BASHIRU, SONGA MBELE Ni kawaida, Ukweli Mmoja, hupigwa na Mauongo zaidi ya buku. Walakini, ukweli ni ukweli, na...
18 Reactions
168 Replies
9K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Bonga, Wilaya ya Babati, Mkoani Manyara leo Novemba 22, 2022. Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwenye siasa kila maamuzi yanazaa matokeo na matokeo yanaweza kuwa chanya au hasi. Hapa chini nitaweka baadhi ya matukio ya kimaamuzi yaliyofanyika kimakosa na Rais Samia mwanzoni mwa utawala wake...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Vijana wanne kwa kila wilaya wameandaliwa kufanya maandamano Mkoani Dodoma baada ya mkutano mkuu wa uchaguzi wa UVCCM. Maandamano hayo yatakuwa ya kuonyesha vijana wanamuunga mkono Mama Samia awe...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali, akiambatana na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, ameondoka...
1 Reactions
2 Replies
824 Views
Mpaka sasa sijajua ni kigezo kipi kilimpa Uwaziri wa kilimo kwa sababu ni moja ya Mawaziri wa hovyo sana wanao shinda kutafuta sifa. Bashe aliruhusu mahindi yaende sana nje, na kwa sasa cha ajabu...
6 Reactions
46 Replies
3K Views
Hizi Ziara za Samia zinawaacha wananchi wakiwa wamekata tamaa tu. Kwanza anawapandisha wapiga pambio tu, wanamsifia mda wote as if wananchi alosimama nao hawana changamoto. JPM alikuwa...
52 Reactions
101 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…