Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mapendekezo ya katiba mpya juu ya Usalama wa Taifa ni yapi? Naombeni nondo
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu akiongozana na Kamati ya Ulinzi na Usalama amefanya ziara fupi tarehe 02.2.2023 katika Hospitali ya Wilaya Tukuyu (Makandana) na kujionesha shughuli za...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Serikali imefikia uamuzi wa kutekeleza mradi wa Building a Better Tomorrow (BBT) unaolenga kuongeza ushiriki wa vijana katika kilimo kwa kuwapatia mafunzo, maeneo ya mashamba, mitaji na...
0 Reactions
1 Replies
605 Views
Hamjambo Wadau. Kwa miaka Mingi Mbeya ilikuwa inaonekana ni ngome ya Chadema na hii ilitokana na hisia za watu wa Mbeya kuhisi wanatengwa na Serikali ya ccm Toka zama za JK na chuki zikazidi zama...
5 Reactions
150 Replies
10K Views
Lissu yupo kwa vile Mbowe yupo and not the other way round! Kama si Mbowe kutokewa na Mungu kuwa msiende Muhimbili, Lisu ingelikuwa historia. Hivyo Lisu is because Mbowe was. Hivyo ujinga wenu...
23 Reactions
49 Replies
3K Views
Zaidi ya mwaka mmoja sasa tangu kuzinduliwa kwa filamu ya Royal Tour Aprili 28, mwaka 2022 kwa ajili ya kutangaza vivutio mbalimbali vya utalii Tanzania. Akitoa ufafanuzi kwa wanahabari mwaka...
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Akihutubia wakati wa maonesho ya Dubai Expo 2020 mjini Dubai, tarehe 26 Februari 2022, Rais Samia Suluhu Hassan aliwakaribisha wawekezaji na wafanyabiashara nchini. Matokeo Kituo cha Uwekezaji...
0 Reactions
0 Replies
424 Views
Kutokana na uwepo wa mazingira salama nchini yaliyotengenezwa na Rais Samia Suluhu Hassan, uwekezaji nchini umeongeza na hili linathibitika kwa idadi ya miradi iliyosainiwa kuanzia mwezi Julai...
0 Reactions
0 Replies
572 Views
VIDEO: Kutoka Bungeni jijini Dodoma, Swali la Mbunge wa Kisesa Mhe. Mpina lajibiwa na Serikali Ambapo Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Atupele Mwakibete amethibitisha kuwa hakuna...
0 Reactions
2 Replies
713 Views
Ukimsikiliza waziri Bashe unagundua nchi hii tunarudia makosa yale yale ya siku zote na ni wagumu sana kujifunza kutokana na Historia. Bashe anazungumzia nadharia nzuri na maneno matamu sana...
10 Reactions
51 Replies
3K Views
Picha: Prof. Kitila Mkumbo Habari Prof! Njoo hapa tuambie, ulipokuwa Katibu Mkuu Wizara ya maji, bajeti ya wizara yako ilikuwa bil 600. Wadau walipokuuliza kama zitatosha, ulijjibu ndiyo...
0 Reactions
1 Replies
500 Views
Jeshi la Polisi limetangaza kwamba IGP mstaafu ataagwa rasmi kesho na Jeshi hilo kwenye hafla itakayofanyika kwenye viwanja vya chuo cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam Msemaji wa Polisi...
6 Reactions
48 Replies
5K Views
Ingawa tunajua kwamba chuki dhidi ya Lissu inatokana zaidi na uwezo wake wa kijasiri wa kusema kile anachokiamini dhidi ya watawala, lakini pia wapo watu wanaomchukia Lissu kwa kuwa tu yupo hai...
13 Reactions
37 Replies
2K Views
Katika kipindi hiki ambacho tunakiita cha ukombozi kutoka katika udikteta wa miaka 7 tunachokiona ni Vyombo vya habari na waandishi wa habari kutuangusha kwa kujikita kwenye habari za kijinga na...
1 Reactions
7 Replies
666 Views
Nawasalimu wote. CHADEMA tulikuwa na wabunge wengi kabla ya ukatili na chafuzi za yule mshamba, tukanyang'anywa kwa Hila, vipigo,vifo, vifungo na mateso. Haya matatizo na uonevu tulifanyiwa na...
4 Reactions
12 Replies
862 Views
Kwa heshma na taadhima naomba kura kwa Harold Sungusia. Ni wakati wa TLS kutoka kwenye mkwamo na kurudi kutumikia wanachama. Sungusia ni nani? Mbali na uzoefu wake wa zaidi ya miaka 20 kwenye...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
1. Umejaa rushwa 2. Vijana waliochaguliwa ni wa mijini ambao hata hawajawahi waza kilimo 3. Umejaa matumizi mabaya ya fedha za umma. 4. Umeletwa kwa muhemko kuliko uhalisia. Vigezo vinavyo...
19 Reactions
41 Replies
3K Views
WAZIRI MKUU AMEZUIA MAPATO KUKOPESHWA Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezuia mapato ya mwezi Aprili, Mei na Juni ya Halmashauri zote nchini kutokopeshwa kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu...
0 Reactions
0 Replies
575 Views
Wakuu, Tunafahamu kumekuwa na minongono kuwa ndani ya CHADEMA kuna tofauti juu ya maridhiano yanayoendelea na CCM. Pamoja na Mh Mama Samia kukiri kuna wahafidhina Chadema na CCM wanaokataa...
2 Reactions
5 Replies
402 Views
Mkuu wa mkoa wa Mara amesema Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara ni Mzushi na Muongo hajatukanwa na yoyote. RC anasema wamekuwa Wataalamu wa Ardhi na kuweka barcon yeye Waitara kama Mbunge...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…