Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akihutubia umati mkubwa wa wananchi kwenye Kata ya Igawilo, Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Mwekezaji, Mfanyabiashara wa Kimataifa na Mfungwa wa kisiasa, baada ya kufungwa jela kisiasa kwa...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Akielezea hali ya mazingira yalivyo katika Juma Idris Chombo ambaye ni Makamu Mwenyekiti Soko la Mabibo Dar es Salaam anaelezea: Makusanyo ya Tozo tunayokusanya hapa ni shilingi miamia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za muda mabibi na mabwana! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni...
34 Reactions
4K Replies
358K Views
Nimesoma mahojiano ya Mheshimiwa Membe na Gazeti la Jamhuri akilalama kwamba Marehemu Magufuli alimuwekea roho ya Korosho ili asiwe Katibu Mkuu wa Jumuia ya Madola.Kasema mengi ikiwemo jinsi hiyo...
8 Reactions
41 Replies
4K Views
Halmashauri kuu ya CCM imemsamehe Katibu mkuu mstaafu kanali Kinana ambaye alipewa onyo kali na kuwekwa katika matazamio. Halmashauri kuu pia imemfukuza kabisa yule mwingine ( Membe) ambaye...
8 Reactions
109 Replies
14K Views
Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (68), hatimaye amefichua mambo yaliyomfanya asielewane na aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli. Membe...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Mutungi amesema Ofisi yake imepokea maombi ya vyama vipya 18. Kati ya hivyo vyama 6 vimeshakidhi vigezo na kupewa Usajili wa Muda/awali. Mutungi amesema...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Narudia tena Watanzania ni Wanafiki sana wanajua mema na mabaya ila wanayaficha Moyoni.Wanasiasa msidanganyike na Maneno ya Watanzania fanyeni kilicho sahihi muingie mioyoni mwao. Bernard...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Ukisoma vitabu vitakatifu utabaini viongozi wengi walibarikiwa vipawa, nguvu na maisha marefu. Utabaini viongozi wengi wanaombewa waishi sana; utabaini kwamba viongozi wengi walikuwa wana ulinzi...
0 Reactions
5 Replies
622 Views
Kabla ya utekelezaji wa mkataba wa kufunga Ziwa Tanganyika, lazima tuyajue mambo kadhaa Kwa uhalisia wake. Mwambao mwa ziwa Tanganyika mkoani Kigoma kuanzia Kata ya Kagunga( Mpakani) Mpaka Kata...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
PUSH UP ZA MAGUFULI ZILIANDIKWA MIAKA 2000 ILIYOPITA Kuna andishi la muda mrefu sana. Liliandikwa na Tulius Quintus Cicero zaidi ya 2000 iliyopita. Kwa Kiingereza linaitwa On Winning Election...
7 Reactions
20 Replies
5K Views
Kuna uwezekano mkubwa ikitokea Magufuli kwa bahati mbaya au CCM ikitumia umafia kuiba kura halafu ikaingia Ikulu atajikuta anapata wakati mgumu sana kuongoza. 1.Hana uwezo na busara za kiuongozi...
3 Reactions
47 Replies
7K Views
Wakati Rais Magufuli akiingia madarakani mwaka 2015 aliikuta jamii ya Watanzania wengi iliyokuwa imekata tamaa (A desperate society) kwa sababu ya ugumu wa maisha. Ugumu huo wa maisha...
20 Reactions
116 Replies
11K Views
Hongereni Wapambanaji: Sasa Rais Magufuli anahitaji maombi ya kumjenga kiroho aelewe kuwa Malaika wa Mungu hatendi kwa Tamaa za Mtu. Leo sitoi Onyo wala Angalizo. Sitoi Tahadhari.Natoa pongezi...
94 Reactions
323 Replies
36K Views
Tumechoshwa na vitendo vya kuzomewa kwa mgombea wetu. Kuanzia kule Mbeya na hata hapa Dar es Salaam,Dr. Magufuli amekuwa akizomewa na kuoneshwa wazi kuwa hatakiwi. Yeye hujikaza kisabuni tu...
2 Reactions
50 Replies
6K Views
Hotuba za Magufuli - dakk 15 anasalimia kwa lugha za makabila yote - dakika 15 analalamikia serikali ya ccm na kushangaa kwanini mambo hayaendi na kusahau yeye naye ni sehemu ya serikai hiyohiyo -...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
KWANZA naomba radhi wasomaji wangu kutokana na kuchelewa kuendeleza makala yangu "Hawana jipya, CCM wamepoteza mwelekeo'' kama nilivyoahidi katika makala iliyopita nilipojibu makala ya Dk. Hamisi...
12 Reactions
30 Replies
5K Views
Wakuu nimewaza tu kwa umakini mkubwa kama lowassa angelikuwa ndiye Rais wetu sasa angeweza kusimama kwa masaa 2 kujibu maswali yote ya waandishi wa habari. Rais Magufuli pamoja na kuwa maswali...
27 Reactions
322 Replies
22K Views
Wengi wanadhani kuna tofauti Kati ya Mbowe na Lissu kuhusiana na suala zima la Maridhiano. Ila ukiangalia kwa umakini utagundua Tundu Lisu anaamini Maridhiano ni Upatanisho ambapo baada ya...
1 Reactions
2 Replies
747 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…