Je, Lowassa angeweza kusimama masaa 2 kujibu maswali?

Je, Lowassa angeweza kusimama masaa 2 kujibu maswali?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,714
Reaction score
58,853
Wakuu nimewaza tu kwa umakini mkubwa kama lowassa angelikuwa ndiye Rais wetu sasa angeweza kusimama kwa masaa 2 kujibu maswali yote ya waandishi wa habari.

Rais Magufuli pamoja na kuwa maswali mengi yamemshinda kuyajibu kwa kuyajibu kwa juu juu lakini ..

Je angelikuwa Lowassa ingelikuwaje?
Je angejibu na kuweza kusimama kwa Masaa mawili mfululizo?

Kama tu kwenye kampeni za kueneza Sera alikuwa akiongea dakika 5 na kuondoka ..

Je ingelikuwa sasa ambapo ameshaupata urais angeweza au ndio angejibu maswali amekaa?

Kuna umuhimu wa kujilaumu kwa baadhi ya maamuzi lakini si hili la kutomchagua Lowassa awe rais .

Hata kama simpendi sana Magufuli lakina kwa Lowassa na Magufuli bora Magufuli aisee.

Kuna mambo mengi yanaitaji sana kufikiria kwa kina kabla ya kufanya maamuzi lakini kwa hili la kumkataa Lowassa na kumchagua Magufuli bado naona mungu anawapenda sana watanzania .
 
Wakuu nimewaza tu kwa umakini mkubwa kama lowassa angelikuwa ndiye rais wetu sasa angeweza kusimama kwa Massa 2 kujibu maswali yote ya waandishi wa habari.

Rais magufuli pamoja na kuwa maswali mengi yamemushinda kuyajibu kwa kuyajibu kwa juu juu lakini ..

Je angelikuwa lowassa ingelikuwaje?
Je angejibu na kuweza kusimama kwa Massa mawili mfululizo?

Kama tu kwenye kampeni za kueneza Sera alikuwa akiongea dakika 5 na kuondoka ..

Je ingelikuwa sasa ambapo ameshaupata urais angeweza au ndio angejibu maswali amekaa?

Kuna umuhimu wa kujilaumu kwa baadhi ya maamuzi lakini si hili la kutomchagua Lowassa awe rais .

Hata kama simpendi sana magufuli lakina kwa Lowassa na magufuli bora magufuli aisee.

Kuna mambo mengi yanaitaji sana kufikiria kwa kina kabla ya kufanya maamuzi lakini kwa hili la kumkataa lowassa na kumchagua magufuli bado naona mungu anawapenda sana watanzania .
Achana na mambo ya kijinga kama bado unamfikiria lowassa vs mh. Rais magufuri mpambano wao ulisha kwisha kwa sasa tujadili utendaji kazi tu
 
Wakuu nimewaza tu kwa umakini mkubwa kama lowassa angelikuwa ndiye rais wetu sasa angeweza kusimama kwa Massa 2 kujibu maswali yote ya waandishi wa habari.

Rais magufuli pamoja na kuwa maswali mengi yamemushinda kuyajibu kwa kuyajibu kwa juu juu lakini ..

Je angelikuwa lowassa ingelikuwaje?
Je angejibu na kuweza kusimama kwa Massa mawili mfululizo?

Kama tu kwenye kampeni za kueneza Sera alikuwa akiongea dakika 5 na kuondoka ..

Je ingelikuwa sasa ambapo ameshaupata urais angeweza au ndio angejibu maswali amekaa?

Kuna umuhimu wa kujilaumu kwa baadhi ya maamuzi lakini si hili la kutomchagua Lowassa awe rais .

Hata kama simpendi sana magufuli lakina kwa Lowassa na magufuli bora magufuli aisee.

Kuna mambo mengi yanaitaji sana kufikiria kwa kina kabla ya kufanya maamuzi lakini kwa hili la kumkataa lowassa na kumchagua magufuli bado naona mungu anawapenda sana watanzania .
Wewe jamaa unabadilika kama kitumbua
 
Masaa mawili ya kujibu maswali uliyoshayafanyia homework mbona machache hata babu yangu kijijini angeweza kusimama vizuri.

Huyo unayemsifia apewe maswali matatu seriously utaona atakavyotetemeka nusu saa hasimami kawaulize wanasaikolojia,mnaandikiana maswali na kujijibu unadhani hatujawastukia!
 
Hawezi kusimama kwa saa 2, lakini anaweza kutatua kero za wananchi kwakuwa shida za wananchi sio kumdu kusimama kwa saa 2 na nusu, bali utatuzi wa kero zao
Mbona mnadanganyika na huyo MTU ambaye rekodi yake Serikali sio nzuri kimaadili. Rejea Richmond Saga!!
 
Mkuu kwa maoni yangu,naona si vema kusababisha sintofahamu ili uonyeshe
umahili wa kujibu maswali yaliyozalishwa na sintofahamu hizo.
Binafsi naweza kumsifia yule anayeyajibu maswali mioyoni mwa watu
wakapata majibu,badala ya kusababisha maswali mengi
ambayo hata ukiyajibu wa kukusifia ni yule aliyejibiwa
wala si wewe uliyejibu maana unaweza ukatoa majibu
ya maswali na si majawabu.

kila Swali lina jibu bali si kila jibu la swali ni jawabu.
 
Back
Top Bottom