HITIMISHO: Kilichomuingiza Membe Mioyoni mwa Watanzania ni uwezo wa kumkabili Magufuli

Master Legendary

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
549
785
Narudia tena Watanzania ni Wanafiki sana wanajua mema na mabaya ila wanayaficha Moyoni.Wanasiasa msidanganyike na Maneno ya Watanzania fanyeni kilicho sahihi muingie mioyoni mwao.

Bernard Camilius Membe ndiyo mwanaume pekee ndani ya CCM aliyeweza kusimama dhidi ya baadhi ya Matendo Magufuli yasiyokubalika katika kipindi ambacho wanaume wote ndani ya CCM waliufyata, kwa wanaofahamu zama zile ni dhahiri alihatarisha hata maisha yake.

Leo Taifa zima linazizima mwamba amelala kwasababu ya utetezi,uthubutu na ujasiri wake wa kukemea mabaya, alifanya kilicho sahihi kwa wakati sahihi akaingia Mioyoni mwa watu.

Nakumbuka shujaa Lissu pia alivyopigwa Risasi Taifa zima lilizizima sababu ni hizihizi za Membe, yeye pia alivaa ujasiri wa kupambana dhidi ya mabaya na kugeuka mtetezi wa watu.

Ninachoweza kuwaambia Jakaya na Samia wanapendwa na wako Mioyoni mwa Watanzania ila Watanzania ni wanafiki,keep my words time will tell.

Jumanne tujitokeze kumpumzisha Mwamba Mtwara.
 
Aliingia mioyoni ya kina nani wewe? Sio lazima kuanzisha uzi kwenye hili jamvi. Soma tu za wenzio.
 
Narudia tena Watanzania ni Wanafiki sana wanajua mema na mabaya ila wanayaficha Moyoni.Wanasiasa msidanganyike na Maneno ya Watanzania fanyeni kilicho sahihi muingie mioyoni mwao.

Bernard Camilius Membe ndiyo mwanaume pekee ndani ya CCM aliyeweza kusimama dhidi ya baadhi ya Matendo Magufuli yasiyokubalika katika kipindi ambacho wanaume wote ndani ya CCM waliufyata, kwa wanaofahamu zama zile ni dhahiri alihatarisha hata maisha yake.

Leo Taifa zima linazizima mwamba amelala kwasababu ya utetezi,uthubutu na ujasiri wake wa kukemea mabaya, alifanya kilicho sahihi kwa wakati sahihi akaingia Mioyoni mwa watu.

Nakumbuka shujaa Lissu pia alivyopigwa Risasi Taifa zima lilizizima sababu ni hizihizi za Membe, yeye pia alivaa ujasiri wa kupambana dhidi ya mabaya na kugeuka mtetezi wa watu.

Ninachoweza kuwaambia Jakaya na Samia wanapendwa na wako Mioyoni mwa Watanzania ila Watanzania ni wanafiki,keep my words time will tell.

Jumanne tujitokeze kumpumzisha Mwamba Mtwara.
Enzi za Magu ccm walibaki wanawakw tu, hakukua na wanaume hata mmoja, imagine dume zima linamuita mwanaume mwenzie mweshimiwa Mungu
 
Personal sipendi kudhihaki marehemu. Kazi ya mungu aina makosa.

Ila ukitaka kuona tofauti ya Membe na Magufuli wampitishe barabarani kuagwa uone kama alikuwa anapendwa.

Hata Ruge Mutahaba aliwasimamisha baadhi ya watu barabarani, embu wajaribu na Membe tuone watanzania walimkubali kwa kiwango gani.
In agreement with you.
Apumzike kwa Amani.
 
Narudia tena Watanzania ni Wanafiki sana wanajua mema na mabaya ila wanayaficha Moyoni.Wanasiasa msidanganyike na Maneno ya Watanzania fanyeni kilicho sahihi muingie mioyoni mwao.

Bernard Camilius Membe ndiyo mwanaume pekee ndani ya CCM aliyeweza kusimama dhidi ya baadhi ya Matendo Magufuli yasiyokubalika katika kipindi ambacho wanaume wote ndani ya CCM waliufyata, kwa wanaofahamu zama zile ni dhahiri alihatarisha hata maisha yake.

Leo Taifa zima linazizima mwamba amelala kwasababu ya utetezi,uthubutu na ujasiri wake wa kukemea mabaya, alifanya kilicho sahihi kwa wakati sahihi akaingia Mioyoni mwa watu.

Nakumbuka shujaa Lissu pia alivyopigwa Risasi Taifa zima lilizizima sababu ni hizihizi za Membe, yeye pia alivaa ujasiri wa kupambana dhidi ya mabaya na kugeuka mtetezi wa watu.

Ninachoweza kuwaambia Jakaya na Samia wanapendwa na wako Mioyoni mwa Watanzania ila Watanzania ni wanafiki,keep my words time will tell.

Jumanne tujitokeze kumpumzisha Mwamba Mtwara.
Bao la dakika ya 89
Niguse ninuke
 
Tanzania kuna wanaume watatu tu walioweza kuongea kitu enzi hzo za mshamba jiwe kutoka shamba chato ni Nay wa mitego,Membe na Lissu
 
Narudia tena Watanzania ni Wanafiki sana wanajua mema na mabaya ila wanayaficha Moyoni.Wanasiasa msidanganyike na Maneno ya Watanzania fanyeni kilicho sahihi muingie mioyoni mwao.

Bernard Camilius Membe ndiyo mwanaume pekee ndani ya CCM aliyeweza kusimama dhidi ya baadhi ya Matendo Magufuli yasiyokubalika katika kipindi ambacho wanaume wote ndani ya CCM waliufyata, kwa wanaofahamu zama zile ni dhahiri alihatarisha hata maisha yake.

Leo Taifa zima linazizima mwamba amelala kwasababu ya utetezi,uthubutu na ujasiri wake wa kukemea mabaya, alifanya kilicho sahihi kwa wakati sahihi akaingia Mioyoni mwa watu.

Nakumbuka shujaa Lissu pia alivyopigwa Risasi Taifa zima lilizizima sababu ni hizihizi za Membe, yeye pia alivaa ujasiri wa kupambana dhidi ya mabaya na kugeuka mtetezi wa watu.

Ninachoweza kuwaambia Jakaya na Samia wanapendwa na wako Mioyoni mwa Watanzania ila Watanzania ni wanafiki,keep my words time will tell.

Jumanne tujitokeze kumpumzisha Mwamba Mtwara.
Acha kijitoa ufahamu wewe pimbi. Jisemeee wewe na familia yako labda ndio yuko mioyoni mwenu huyo mwana mtama wenu. Kadri alivyompimia mwanachatle kifo ndivyo hivyo hivyo leo tunamsikia, kifo hakidhihakiwi. Mjifunze kuanzia leo
 
Ila ukitaka kuona tofauti ya Membe na Magufuli wampitishe barabarani kuagwa uone kama alikuwa anapendwa.
Jiwe hakupendwa kabisa. Misukule ya jiwe ilijaribu kuweka mpk waigizaji wa kuzimia lkn walifeli kuandaa script, ikatokea waigizaji wanazimia huku wameshikilia mifuko ya plastiki.

Misukule ya jiwe ikawatumia polisi kuwakamata watanzania walipotaka kushangilia kifo cha jiwe
 
Narudia tena Watanzania ni Wanafiki sana wanajua mema na mabaya ila wanayaficha Moyoni.Wanasiasa msidanganyike na Maneno ya Watanzania fanyeni kilicho sahihi muingie mioyoni mwao.

Bernard Camilius Membe ndiyo mwanaume pekee ndani ya CCM aliyeweza kusimama dhidi ya baadhi ya Matendo Magufuli yasiyokubalika katika kipindi ambacho wanaume wote ndani ya CCM waliufyata, kwa wanaofahamu zama zile ni dhahiri alihatarisha hata maisha yake.

Leo Taifa zima linazizima mwamba amelala kwasababu ya utetezi,uthubutu na ujasiri wake wa kukemea mabaya, alifanya kilicho sahihi kwa wakati sahihi akaingia Mioyoni mwa watu.

Nakumbuka shujaa Lissu pia alivyopigwa Risasi Taifa zima lilizizima sababu ni hizihizi za Membe, yeye pia alivaa ujasiri wa kupambana dhidi ya mabaya na kugeuka mtetezi wa watu.

Ninachoweza kuwaambia Jakaya na Samia wanapendwa na wako Mioyoni mwa Watanzania ila Watanzania ni wanafiki,keep my words time will tell.

Jumanne tujitokeze kumpumzisha Mwamba Mtwara.
Ni kweli
 
Mwamba wa goli au mwamba wa unafiki
 
Alisimamaje?na alisimama wapi?
Huyu Membe si ndio alialia kurudi CCM?
 
Back
Top Bottom