Hofu yatanda kwa Wabunge wa CCM, baada ya Tulia Ackson sasa Mrisho Gambo ataka jimbo la Arusha ligawanywe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,231
Hali ya Wabunge wa ccm Majimboni ni Dhooful Hali, baada ya 2020 kubebwa kama watoto njiti wenye utapia mlo na Mbeleko ya Magufuli, Dkt. Mahera na Wakurugenzi wa Halmashauri , sasa kila mmoja anapambana kivyake ili asisombwe na upepo mkali wa CHADEMA.

Mbunge wa Arusha Mjini ndugu Mrisho Gambo naye amejitokeza hadharani kuomba Serikali ya Tanzania kupanua goli kwa kuligawa Jimbo la Arusha Mjini na kuleta Jimbo Jipya la Murriet , hofu yake kuu ikiwa ni kupambana na Godbless Lema.

Tunatoa wito kwa wabunge wengine wa ccm wenye hofu ya kuangukia pua 2025 wajiorodheshe ili serikali ambayo nayo ni ya ccm iwafanyie wepesi.
---

Hapajawahi kuwa hoja ya kuligawa Jimbo la Arusha Mjini ili liwe na majimbo 2. Jimbo hili ni dogo sana na linaingia zaidi ya mara 40 ya Jimbo la Ngorongoro ambalo ni moja. Acheni kuweweseka, tukutane Field!

1683271958104.png
 
Hata likigawanywa... Hapo Murriet atakuwa na kazi ya ziada kushinda..

Tunapokea misaada mingi kutoka kwa Mabeberu... Wametoa masharti makali sana.. Hasa Utawala Bora, Haki za Binadamu, Demokrasia huru..

Mfano Jimbo la Karatu mbunge anajua fika kuwa hatoboi.. Na anayetoa taarifa hizi ni msaidizi wake
 
Mungu Wabariki Wazungu
 
Kugawanya majimbo ni kuongeza gharama maana mbunge mpya atahitaji gari, mshahara na benfits nyinginezo. Nchi hii kila mwanasiasa anapigania tumbo lake sio upinzani wala CCM. Asije kudanganya mtu kuwa ana uchungu sana na nchi . Hizo huwa ni hadaa tu.

Nchi hujengwa kwa kuanza na mtu binafsi then familia na ndicho wanasiasa wa nchi hii wanafanya kwa kupigania maslahi yao binafsi na familia zao huku wakijificha kwenye kichaka cha kutetea wanyonge.
 
Kusaza uhai wa wana🍀,ni bora hivyo 😂😂😂
 
Mama asikubali huu ujinga wakuongeza majimbo kisa tamaa za wanasiasa
 
Back
Top Bottom