Mbunge Waitara Avua Koti na Tai Baada ya Kutoridhishwa na Majibu ya Serikali Kuhusu Fidia ya Wananchi wa North Mara

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,226
5,949
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara ametoka nje ya ukumbi wa Bunge huku akivua koti na tai yake baada ya kuonesha kutoridhidhishwa na majibu ya Serikali Bungeni wakati wa kipindi cha maswali na majibu Jijini Dodoma leo May 9, 2023.

Mbunge Waitara alitaka kujua lini Wananchi wanaodai fidia katika maeneo ya Mgodi wa Barrick North Mara Komarera, Nyamichele na Murwambe watalipwa na majibu ya Serikali yalisema “Mgodi wa Barrick North Mara ulionesha nia ya kutaka kuchukua baadhi ya maeneo ya Vijiji vya Komarera, Nyamichele na Murwambie ambavyo ni sehemu ya Vijiji vinavyozunguka mgodi huo”

“Baada ya Wananchi wa Vijiji hivyo kupata taarifa ya maeneo yao kuhitajiwa na mgodi wa Barrick North Mara, walianza kuongeza majengo harakaharaka (maarufu kama Tegesha), hali hiyo ilipelekea mgodi huo kuachana na maeneo hayo kwani hayaathiri uendeshaji wa shughuli zao za kila siku”

Baada ya majibu hayo Mbunge Waitara hakuridhishwa hivyo badala ya kuuliza swali la nyongeza kama ulivyo utaratibu alisimama na kuanza kulalamika kutoridhishwa na majibu na kutoka nje ya Bunge.
 
Watu wa Tarime wameumiza sana uchumi wa nchi hii kwa wizi wa dhahabu, kuhujumu migodi, kuvusha dhahabu kwenda Kenya, na bidhaa za Kenya kuja Tanzania; kwa ufupi kwa ujumla wao wanastahili kuitwa wahujumu uchumi
 
Hiyo unayoita tegesha itaigharimu serikali na
mgodi kwa ujumla,chezea wakurya wewe

Muda ni mwalimu mzuri
Kwa hiyo tuwaogope au ndo wameanza na DR yule wa Nyangoto
 
Mkuu vipi ile kesi ya ugaidi ya mbowe alifungwa ulivyokuwa unashabikia?
Gaidi Mbowe alipatikana na kesi ya kujibu serikali ikaiweka barafuni- atakuja ajibu tu kama siyo hapa , mbinguni
 
Watu wa Tarime wameumiza sana uchumi wa nchi hii kwa wizi wa dhahabu, kuhujumu migodi, kuvusha dhahabu kwenda Kenya, na bidhaa za Kenya kuja Tanzania; kwa ufupi kwa ujumla wao wanastahili kuitwa wahujumu uchumi
Naona unabweka bladifakeni. Kuna sehemu report ya CAG imewataja watu wa Tarime. Msiwazungumzie wakurya kila mnapojisikia. Na wewe kavushe hiyo dhahabu tuone swain.
 
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara ametoka nje ya ukumbi wa Bunge huku akivua koti na tai yake baada ya kuonesha kutoridhidhishwa na majibu ya Serikali Bungeni wakati wa kipindi cha maswali na majibu Jijini Dodoma leo May 9, 2023.

Mbunge Waitara alitaka kujua lini Wananchi wanaodai fidia katika maeneo ya Mgodi wa Barrick North Mara Komarera, Nyamichele na Murwambe watalipwa na majibu ya Serikali yalisema “Mgodi wa Barrick North Mara ulionesha nia ya kutaka kuchukua baadhi ya maeneo ya Vijiji vya Komarera, Nyamichele na Murwambie ambavyo ni sehemu ya Vijiji vinavyozunguka mgodi huo”

“Baada ya Wananchi wa Vijiji hivyo kupata taarifa ya maeneo yao kuhitajiwa na mgodi wa Barrick North Mara, walianza kuongeza majengo harakaharaka (maarufu kama Tegesha), hali hiyo ilipelekea mgodi huo kuachana na maeneo hayo kwani hayaathiri uendeshaji wa shughuli zao za kila siku”

Baada ya majibu hayo Mbunge Waitara hakuridhishwa hivyo badala ya kuuliza swali la nyongeza kama ulivyo utaratibu alisimama na kuanza kulalamika kutoridhishwa na majibu na kutoka nje ya Bunge.
Sio kutoka kwa dhati ya moyo wake,sikuamini tangu alivyowatoroka wapigakura wake,waliokuwa na mgogoro wa ardhi,na akikimbia kambi yake,na kujiunga na watesi wa wananchi wa wakati ule🤔
 
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara ametoka nje ya ukumbi wa Bunge huku akivua koti na tai yake baada ya kuonesha kutoridhidhishwa na majibu ya Serikali Bungeni wakati wa kipindi cha maswali na majibu Jijini Dodoma leo May 9, 2023.

Mbunge Waitara alitaka kujua lini Wananchi wanaodai fidia katika maeneo ya Mgodi wa Barrick North Mara Komarera, Nyamichele na Murwambe watalipwa na majibu ya Serikali yalisema “Mgodi wa Barrick North Mara ulionesha nia ya kutaka kuchukua baadhi ya maeneo ya Vijiji vya Komarera, Nyamichele na Murwambie ambavyo ni sehemu ya Vijiji vinavyozunguka mgodi huo”
Ndiyo mambo ya kuwaahidi wananchi Noah kumbe uwezo wa kifedha hamna
 
Hiyo unayoita tegesha itaigharimu serikali na
mgodi kwa ujumla,chezea wakurya wewe

Muda ni mwalimu mzuri
Yaan watu wategeshe mazao na nyumba kwa Lengo la kujipatia Fedha halafu waogopwe
! Yaan wanajua uthamini wa fidia unafanyika wanapanda vitu vipya halafu waogopwe😩😩
 
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara ametoka nje ya ukumbi wa Bunge huku akivua koti na tai yake baada ya kuonesha kutoridhidhishwa na majibu ya Serikali Bungeni wakati wa kipindi cha maswali na majibu Jijini Dodoma leo May 9, 2023.

Mbunge Waitara alitaka kujua lini Wananchi wanaodai fidia katika maeneo ya Mgodi wa Barrick North Mara Komarera, Nyamichele na Murwambe watalipwa na majibu ya Serikali yalisema “Mgodi wa Barrick North Mara ulionesha nia ya kutaka kuchukua baadhi ya maeneo ya Vijiji vya Komarera, Nyamichele na Murwambie ambavyo ni sehemu ya Vijiji vinavyozunguka mgodi huo”

“Baada ya Wananchi wa Vijiji hivyo kupata taarifa ya maeneo yao kuhitajiwa na mgodi wa Barrick North Mara, walianza kuongeza majengo harakaharaka (maarufu kama Tegesha), hali hiyo ilipelekea mgodi huo kuachana na maeneo hayo kwani hayaathiri uendeshaji wa shughuli zao za kila siku”

Baada ya majibu hayo Mbunge Waitara hakuridhishwa hivyo badala ya kuuliza swali la nyongeza kama ulivyo utaratibu alisimama na kuanza kulalamika kutoridhishwa na majibu na kutoka nje ya Bunge.
Atarudi Chadema Kwa kutambaa, CCM hawamjui kabisa
 
Hivi kweli hapa inabidi uwelewa zaidi unataka watu waliotegesha walipwe na unaona ni haki!?
Unataka watu watumie eneo nyeti la asili LENYE vyanzo vya wanyama bila kutafakali MATOKEO ya kuvamia HIFADHI za Taifa!?

Hata hivyo nchi hii Kuna kitu cha kujifunza tunawashangaa wale wa NCHI jirani kwamba wamekuwa brain washed lakini tunasahau kwetu kunaungua mno.
Mgodi wa North Mara ni SHAMBA la Bibi la Wakurya kuanzia watumishi wa Ngazi mbalimbali wa Mgodi,majirani mpaka WAGENI Kutoka Nje ya NCHI kama ni uhujumu uchumi wa kiwango cha lami upo pale na ndiyo maana Leo Mategesha yapo pale na WAHUSIKA Wakuu wa Mategesha ni aibu tupo.
Hiyo BIASHARA ya uchimbaji asilimia 90 ni Wizi na ubadhilifu katika kila eneo la mgodi tatizo hatuna chombo mahususi cha kupambana na uhujumu uchumi wa ENEO HILI
 
Naona unabweka bladifakeni. Kuna sehemu report ya CAG imewataja watu wa Tarime. Msiwazungumzie wakurya kila mnapojisikia. Na wewe kavushe hiyo dhahabu tuone swain.
Tukana unavyotaka-unajifanya mwamba wakati kinoke mmoja alwafanya Tarime wote mkawa mlala saa 9 mchana. Ni kitu ganu hatujui nchi hii. Mmmeibia makampuni ya migodi hela kupitia TEGESHA halafu manajifanya mna akili sana ya kutafuta hela. Kujua hilo hatuhitaji CAG na CAG wetu ni Mungu
 
Back
Top Bottom