Mpina: Fedha za maendeleo za kilimo zimepigwa

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,006
Reaction score
28,346
Hapa jamaa yuko mbele sana hapa anachambua hadi Bashe anakalia moja

Kumbe walipiga pesa za kilimo za maendeleo,walizibadilishia matumizi,upigaji

Mfumo wa kufunga GPS ni kutafuta matumizi upigaji hatuna fungu hilo ni matumizi mabaya huku hakuna pesa

Mfumo wa kukusanya data za wakulima hasa ugawaji wa mbolea uliruhusu wizi mkubwa wa pesa

My take,mpina ni Lisu kumi na Dk slaa kumi

Clip
 
Mwambie arudishe ranchi ya wananchi wa mvomero aliyokwapua akiwa waziri wa Mifugo na Uvuvi
 
Huyu Mpina mwehu anaongea kwa chuki tu anatamani marehemu afufuke. No objectivity at all.
Akili ndogo huwezi kumuelewa....MTU anatoa fact mpaka waziri anakuwa bubu wewe unasema ana chuki. Anaongea fact maana hata kwenye issue ya mbolea ya ruzuku aliongea mwisho wa siku mifuko ya mchanga ikakamatwa kwenye magodown
 
Hapana, tuwaheshimu wazazi ndugu zangu, siasa tu hizi tena za mitandaoni zisitufikishe kwa wazazi kuwatusi, Nilipoteza wazazi wangu wote wawili so i know the value ya mzazi
Anayekutusi mtusi
 
Back
Top Bottom