Mbunge Waitara aonywa kwa utovu wa nidhamu, atakiwa kujirekebisha

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,987


WAITARA NAONYWA KWA UTOVU WA NIDHAMU, ATAKIWA KUJIREKEBISHA
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amepewa onyo baada ya kuonesha vitendo vya utovu wa nidhamu kwa kukiuka Kakuni ya Bunge 83: 1 (c).

Waitara alitoka nje ya Ukumbi wa Bunge akionesha kutoridhishwa na majibu ya Serikali kuhusu Wananchi wanaodai fidia maeneo ya Mgodi wa Barrick North Mara Komarera, Nyamichele na Murwambe.

Naibu Spika, Mussa Azan Zungu amesema “Hii ni mara ya pili kwa Waitara kukiuka kanuni, hivyo si vitendo vya Kibunge, humu Bungeni hata ukihama kwenye kiti chako kwenda kiti kingine ni kosa, inaitwa ‘Kutangatanga ndani ya Bunge’.”

 
DMDP imelisahau Jimbo la KIBAMBA haswa barabara ya kuelekea shule za sekondari Hondogo A na B, wanafunzi wetu na wananchi wa maeneo hayo wanapata taabu sana.

TARURA Wilaya ya Ubungo wamelala, waamke wazikarabati barabara za eneo hilo nililo litaja

Ni vyema TARURA wakijielekeza kwenye hizi barabara za pembezoni
 
Back
Top Bottom