Ukweli: Rais Ruto aliogopa kumualika Rais Samia

Ukweli: Rais Ruto aliogopa kumualika Rais Samia

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,571
Reaction score
14,874
William Ruto aligopa kumualika Rais Samia nchini Kenya kuongelea refinery ya Tanga kwasababu aliogopa atazomewa na vijana Kenya na maandamano yangekuwepo. Lakini kwa akili yake ndogo haelewi kwasababu anaishi kwa kujidanganya danganya. Mama Samia kwasasa amekuwa na umashahuri wa utekaji, wizi wa kura, unyanyasaji na rushwa hauziki tena.
 
Kwa sisi ambao tupo tangu enzi ya Nyerere tunaona namna hali inavyozidi kuwa tete. Kama mambo yataendelea kuwa hivi, mtaani hakutakalika.
 
Rutto aligopa kumualika Mama kenya kuongelea refinery ya Tanga kwasababu aligopa atazomewa na vijana kenya na maandamano yangekuwepo. Lakini kwa akili yake ndogo haelewi kwasababu anaishi kwa kujidanganya danganya . Mama Samia kwasasa amekuwa na umashahuri wa utekaji, wizi wa kura, unyanyasaji na rushwa hauziki tena
Hizo zote ni cha motto, funga kazi ni uuaji! Unausahau vipi?!
 
Hizo zote ni cha motto, funga kazi ni uuaji! Unausahau vipi?!
Tena uuaji wenyewe ni ule wa..."nguvu iloyotumika si kubwa"...!Ni kama vile waliouwawa walipigwa mabusu hadi wakapata kizunguzungu na kufa.
 
Rutto aligopa kumualika Mama kenya kuongelea refinery ya Tanga kwasababu aligopa atazomewa na vijana kenya na maandamano yangekuwepo. Lakini kwa akili yake ndogo haelewi kwasababu anaishi kwa kujidanganya danganya . Mama Samia kwasasa amekuwa na umashahuri wa utekaji, wizi wa kura, unyanyasaji na rushwa hauziki tena
Kwani Maza alitaka kwenda kenya au alitaka kutaarifiwa kuhusu refinery kujengwa Tanga?..rais kupewa taarifa ni lazima aende kenya!?..hapa nani ana akili ndogo,Maza au wewe uliyeacha usingizi na kuandika shudu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom