PostGE2025 Jaji Chande: Tume imepokea ushahidi toka kwa Watu 63,603
Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,161
Reaction score
17,622

Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume hiyo imepokea ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kwa njia mbalimbali.

Amesema ushahidi huo umepatikana kupitia mahojiano ya ana kwa ana yaliyohusisha watu 1,323, mashahidi wa viapo (affidavit) watu 553, madodoso yenye maswali bila kutaja majina ya wahusika watu 4,891, pamoja na mikutano ya makundi 202.

Aidha, Jaji Chande amesema idadi kubwa ya ushahidi imepokelewa kupitia njia ya simu na ujumbe mfupi, ambapo watu 56,445 waliwasilisha taarifa zao kwa njia hiyo.


Soma:
 
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume hiyo imepokea ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kwa njia mbalimbali.

Amesema ushahidi huo umepatikana kupitia mahojiano ya ana kwa ana yaliyohusisha watu 1,323, mashahidi wa viapo (affidavit) watu 553, madodoso yenye maswali bila kutaja majina ya wahusika watu 4,891, pamoja na mikutano ya makundi 202.

Aidha, Jaji Chande amesema idadi kubwa ya ushahidi imepokelewa kupitia njia ya simu na ujumbe mfupi, ambapo watu 56,445 waliwasilisha taarifa zao kwa njia hiyo.

Soma:
Sampling method ilikuwa ipi? This is very important. Very important! Are you sure your sampling method was not biased!
 
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume hiyo imepokea ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kwa njia mbalimbali.
Kwa sisi tuliojitokeza kuipa ushirikiano tume hiyo hatuna budi kujipongeza kama na mimi nisinge jitokeza, idadi ingekuwa ni watu 63,602, kutokana na mimi kujitokeza idadi imekuwa 63,603, huyo wa 63,603 ni mimi!.

Nipongezeni jameni.

P
 
1,323, mashahidi wa viapo (affidavit) watu 553, madodoso yenye maswali bila kutaja majina ya wahusika watu 4,891, pamoja na mikutano ya makundi 202.

Kwa taarifa hii ya dokezo, kuna wasiwasi mwingi Ushahidi wa kisanyasi mwingi unaonekana hautatolewa hiyo siku ya tarehe 23 April 2026 ikiwemo ushahidi kama wa :

  • forensic evidence,
  • ushashidi wa digital footprint,
  • ushahidi wa mawasiliano wa kidigitali,
  • Ushahidi wa analogue,
  • ushahidi wa video,
  • ushahidi wa picha mnato
  • Ushahidi wa vyombo vya mawasiliano vya simu za mikononi
  • Ushahidi wa simu za upepo
  • N.k
Pia Kuna matundu mengi ya kisheria na kitaalamu, kilogistiki kuhusu movement / patrol ya vyombo vya usalama
 
Pretoria, RSA
Tume ya Ukweli na Maridhiano (TRC) Africa ya Kusini

Tume ya Ukweli na Maridhiano (TRC) nchini Afrika Kusini, iliyoanzishwa mwaka 1995 na kuongozwa na Askofu Mkuu Desmond Tutu, ilitumoa mbinu ya haki ya kurejesha uadilifu kama mahakama, kushughulikia ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu uliofanywa kati ya 1960 na 1994. Kwa kuachana na mbinu ya jadi ya kulipiza kisasi ya kesi za Nuremberg ya Ujerumani dhidi ya vigogo wa utawala wa Hitler, TRC ililenga kusema ukweli, ushuhuda wa umma, na msamaha wa masharti ili kukuza maridhiano ya kitaifa.

Mbinu hiyo iliundwa kwa kuzingatia kamati kuu tatu, zikifanya kazi kupitia michakato ifuatayo:

1. Muundo na Kamati
  • Kamati ya Ukiukaji wa Haki za Kibinadamu: Ilichunguza ukiukwaji kama vile mateso, mauaji, kutoweka, na utekaji nyara uliofanywa na serikali ya ubaguzi wa rangi na harakati za ukombozi.
  • Kamati ya Msamaha: Ilizingatia maombi ya msamaha kutoka kwa watu binafsi waliofanya uhalifu uliochochewa kisiasa, mradi watoe taarifa kamili ya matendo yao.
  • Kamati ya Fidia na Urekebishaji: Ililenga kurejesha heshima ya waathiriwa na kutunga mapendekezo ya ukarabati na fidia.

2. Vipengele Vikuu vya Mbinu
  • Vikao Vinavyolenga Waathiriwa: Tume ililenga ushuhuda wa waathiriwa, ikipokea zaidi ya kauli 22,000 na kufanya vikao vya hadhara ambapo waathiriwa wangeweza kushiriki uzoefu wao.
  • Msamaha wa Ukweli: Wahalifu wanaweza kuomba msamaha, kwa "njia ya tatu" kati ya mashtaka na msamaha wa kitaifa, kwa kutumia ufichuzi ili kupata kinga dhidi ya mashtaka ya kiraia na jinai.
  • Uwazi wa Umma: TRC ilifanya mikutano ya hadhara kote nchini—mara nyingi katika makanisa ya ndani na kumbi za miji—iliyorushwa kwenye televisheni ili kurahisisha uelewa wa kitaifa na utambuzi wa umma wa yaliyopita.
  • Haki ya Marejesho na Ubuntu: Mchakato huo uliathiriwa sana na dhana ya Kiafrika ya Ubuntu , ambayo inalenga kurejesha maelewano, kutambua muunganiko, na kukuza upatanisho badala ya kulipiza kisasi.
  • Ukweli Mwingi: Mbinu hiyo ililenga kuanzisha aina nne za ukweli: ukweli/uchunguzi wa kisayansi (ushahidi), hadithi binafsi/masimulizi (uzoefu), mazungumzo ya kijamii (mazungumzo ya jamii), na uponyaji/urejeshaji (malipo).

Takwimu Muhimu na Matokeo
  • Kuchukua Taarifa: Zaidi ya taarifa 21,000 zilishughulikiwa kutoka kwa waathiriwa wa ukiukwaji wa haki za binadamu.
  • Mchakato wa Msamaha: Zaidi ya maombi 7,000 ya msamaha yalipokelewa, huku zaidi ya msamaha 1,500 ukitolewa.
  • Ripoti ya Mwisho: Tume ilichapisha ripoti ya vitabu vingi, ikiandika kuhusu unyanyasaji wa enzi ya ubaguzi wa rangi, ambayo iliwasilishwa kwa Rais Nelson Mandela.
Ingawa TRC ilisifiwa kama mfumo bunifu wa kujenga amani, ilikabiliwa na ukosoaji kwa kuzingatia kwake ukiukwaji mkubwa, ukiondoa athari za kimfumo za ubaguzi wa rangi, na kwa utekelezaji wa polepole wa fidia
 
Madikteta kama Samia, Fransicsco Franco wa Spain, Pinochet wa Argetina, Salazar wa Portugal , Idi Amin n.k hawawezi kusafishika kwa kutumia Tume walizoziteua

Yani namna hawa askari walivyokuwa wanamimina risasi kwa wananchi ni kama walikuwa wanauwa wanyama wa mwituni walivamia makazi ya watu.

Yani wanashusha risasi bila huruma yoyote hile! Huzuni sana hii haikubaliki kabisa


uharamia, hawana kosa lolote la kishetia, ndiyo maana vyombo vya dola vinawateka, kuwapeleka porini kuwapiga, kuwatesa, kuwavunja mikono na miguu, na kuwatupa huko huko porini.

Utawala wa madiktekta uchwara hapa Tanzania una kopi na ku paste yafuatayo kutoka tawala za ma dictator:

NJAMA KUBWA ZA VYOMBO VYA USALAMA DHIDI YA WAPINZANI / RAIA HURU HUKO LATIN AMERICA (CHILE)

Operation Condor​

A criminal conspiracy to forcibly disappear people​

1. COORDINATED REPRESSION
2. CONDOR I, II AND III
3. ORLETTI II
4. SOME OF THE STORIES TOLD DURING THE TRIAL
5. THE RIGHT TO TRUTH
6. THE ACCUSED AND THE VICTIMS
7. THE VERDICT

Nosotros no sabíamos | León Ferrari

Within the context of Operation Condor, the coordinated repression passed through different phases:

-In the first, a centralized database was created on guerrilla movements, left-wing parties and groups, trade unionists, religious groups, liberal politicians and supposed enemies of the authoritarian regimes involved in the operation.

-In the second, people considered political “enemies” at the regional level were identified and attacked.


-In the third and final phase, operations were carried out to track down and eliminate persons located in other countries in the Americas and Europe.

The declassified documentation available shows that various US government agencies had early knowledge of the scope of the repressive coordination and did not make much effort to stop it until it had reached the third phase, which proved the most problematic because the operations could no longer be kept under wraps

READ source : Operation Condor


trialinternational.org
Augusto Pinochet-Ugarte

6 Nov 2012 — The mental state of General Pinochet however was still subject to controversy at the time. 2. Second case: «Operation Condor

Operation Condor (case closed on 17 June 2005)

Acts of torture, abductions, forced disappearances and summary executions were committed during the dictatorship.

The elected government which succeeded Pinochet published, on 4 March 1991, an official report listing 3,197 deaths and 967 disappearances during the 17 years of Pinochet’s presidency.

The National Commission on Political Imprisonment and Torture, set up in August 2003, transmitted to President Ricardo Lagos, on 11 November 2004, a report indicating that torture was practised systematically under the Pinochet regime.

More than 200 criminal complaints were filed against Pinochet in Chile by close relatives of the victims. The proceedings, conducted mainly by Judge Juan Guzman Tapia, were based on two events.


First, the abduction of 75 political opponents followed by the summary execution of 56 of them and the disappearance of 19 others:

these acts were committed by a military unit known by the name of the “Caravan of Death” which criss-crossed the country in the months following the coup d’état.

The second event related to the so-called “Operation Condor”, a quasi network of all the Secret Services of the South-American dictatorships (Argentina, Bolivia, Brazil, Chile, Paraguay and Uruguay) whose purpose was to eliminate political opponents abroad.


The Chilean Secret Service (the DINA), under the command of Manuel Contreras, a close ally of Pinochet, was thought to have played an important, if not fundamental, role in promoting this project.


Manuel Contreras was judged and convicted in Chile. It was during his trial in 1997 that Pinochet’s responsibility as the real head of the DINA became apparent.

READ MORE : Augusto Pinochet-Ugarte - TRIAL International


https://www.latinamericanstudies.org › ...
Operation Condor - LatinAmericanStudies.org

Operation Condor was an intelligence organization in which multinational teams tracked down dissidents outside their home countries, captured and

MATUKIO YA UTEKAJI NA KUTUPWA PORINI TANZANIA, KESI YA KISUTU
1776778426745.jpeg



1776778482937.jpeg



1776778512253.jpeg
 
Back
Top Bottom