Wakenya: Samia, sisi si kama watanzania, hatuogopi Ruto, si boss wetu. Kenya inahitaji mazuri zaidi ya Ruto

Wakenya: Samia, sisi si kama watanzania, hatuogopi Ruto, si boss wetu. Kenya inahitaji mazuri zaidi ya Ruto

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,188
Reaction score
29,933

Mama Samia kasema na kumwomba Ruto awashughulikie wapinzani huko Kenya kama yeye anvyowashughulikia huku Tanzania.
Hii kauli si tu kuwa ni undiplomatic lakini ni kuingilia mambo ya ndani ya nchi jirani.

Kwa viwango vyovyote si kauli ya kistaarabu kisiasa.
Hapo ndio najiuliza kama speech writers wa Rais kama wako likizo.

Kauli ya mama ni ya viwango vya -"who are you?", visivyo na tija kwa mustakabali wa mahusiano mema kati yetu na majirani.
 
Huyu mama sijuwi kama atakuja kwenda kenya 😄

Ova
 
View attachment 3584433
Mama Samia kasema na kumwomba Ruto awashughulikie wapinzani huko Kenya kama yeye anvyowashughulikia huku Tanzania.
Hii kauli si tu kuwa ni undiplomatic lakini ni kuingilia mambo ya ndani ya nchi jirani.

Kwa viwango vyovyote si kauli ya kistaarabu kisiasa.
Hapo ndio najiuliza kama speech writers wa Rais kama wako likizo.

Kauli ya mama ni ya viwango vya -"who are you?", visivyo na tija kwa mustakabali wa mahusiano mema kati yetu na majirani.
Akili ndogo kuitawala akili kubwa ni matatizo.
Akili ndogo huwa inadadavua matatizo kwa level yake ndogo, CCM sasa ni kichekesho, wote akili kwishney!
 
Ndiyo wamesema hivyo?Who are they?Samia ashauriwe haraka ili awafuate hao Gen-Z wa Kenya akawalambishe mikwaju.
Atafika lini?
Screenshot_20260415-144632~2.png
 
Msaada mwenye matokeo ya kidato cha nne ya SAMIA SULUHU HASSAN na WANU HAAFIDH AMEIR yawekwe hapa tuyaone

halafu huyo wa mwisho ndiyo yuko responsible na elimu ya tanzagiza, i.e future ya watoto wetu kielimu iko chini yake, swali ambalo sijapata jibu lake mpaka leo hii kwa nini ktk wizara zoote ampe ya elimu ambayo ni technical na inahitaji mwenye elimu? ...

btw cv ya waziri wa elimu afghstani Sheikh Hadith Maulvi Habibullah Agha Sab (talibani) huyo shehe ndiyo yuko responsible na elimu yote ya nchi ya afghstan. chanzo wikipedia

Habibullah Agha was born in Vach Bakhto, Shah Wali Kot, Kandahar in 1954 or 1955. He received basic Islamic education in his village. Agha continued his higher Islamic education in Pakistan
 
Back
Top Bottom