Kwa sasa hakuna chombo cha dola kinachochukiwa na wananchi kama jeshi la polisi, na kadri jeshi linavyochukiwa ndivyo wananchi wanavyozidi kuichukia serikali.
Jeshi la polisi linatuhumiwa kuhusika na matukio mbalimbali ya kihalifu ikiwemo utekaji (SATIVA).
Uhalifu unafanyika bila jeshi kuchukua hatua yeyote zikichukuliwa zinafanywa kwa upendeleo, watu wanauawa (Kibao) wanatekwa wanapotea (Polepole) polisi inasema inafanya uchunguzi, miezi miaka inapita jamii inaangalia.
Lawama za polisi kunyanyasa wananchi na upinzani (CHADEMA) ni kubwa kuliko miaka yote, kesi za kisiasa (Lissu) ni nyingi kuliko kipindi chochote, upendeleo kwa chama tawala umekuwa mkubwa na wazi bila kificho.
Jeshi haliheshimu haki za binadamu, ukifika kituoni haki yako lazima uinunue hata haki ya kudhaminiwa.
Chuki ikizidi sana hutokea uasi wa sheria.
Bila maboresho ya muundo wa Jeshi la Polisi kama ilivyoshauriwa na Tume ya Jaji Mstaafu Chande (2023), soon or later linakwenda kuizika CCM na serikali yake.
Save this thread.