Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Igunga kunufaika na minara ya mawasiliano ya simu kwenye kata kumi na moja. Tarehe 13 Mei, 2023 serikali imesaini mikataba na makampuni kwa ajili ya ujenzi wa minara ya mawasiliano ya simu. Halfa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani viongoz i wa Urambo kuanzía Mkuu wa Wilaya, mkurugenzi na Baraza la madiwani mnaruhusu gereji za pikipki kuzagaa kila mahali kwenye ka mji kenu yaaani mmekosa eneo moja la kufunguà gereji...
0 Reactions
3 Replies
563 Views
Nimekuwa nikisikia mara nyingi kuwa kauli ya Rais ni sheria! NImejaribu kupekua Katiba yetu ya Tanzania ya mwaka 1977 na marekebisho yake ya mwaka 2008 sijaona ibara yoyote ya katiba yetu kuwa...
8 Reactions
23 Replies
3K Views
Watanzania na wapiga kura wenzangu salaam, Mimi Bernard Kamillius Membe ni mgombea wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo. Tarehe 28/10/2020 ni siku...
52 Reactions
174 Replies
16K Views
Ki sakata ( uchwara ) kidogo cha Kariakoo kimetuonyesha ni kwa namna gani demokrasia inaweza kusababisha usumbufu wa hovyo kwa wananchi! Hivi ki sakata cha kumalizwa na RC ndiyo kinasumbua watu...
16 Reactions
49 Replies
5K Views
Ukweli usemwe na Rais kama anapitia hapa ashaurike pia. Haya Mabango ni pesa ndefu sana; ukienda hospital ukakuta huduma sio nzuri, mara dawa hakuna ghafla unatoka nje unakutana na bango la Rais...
19 Reactions
41 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amefanya ziara ya kutembelea machinga mitaa ya mwenge , makumbusho na ubungo (simu 2000) kujua nini kinafanyika kwenye biashara hizo kabwa ya kuanza kazi rasmi awe na...
2 Reactions
8 Replies
745 Views
Sisi wakaazi wa jiji la Dar es Salaam tupo tayari kukupokea na kukupa ushirikiano ndugu Chalamila. Wana Dar es salaam tunaweza kuchangia mapato ya Serikali kwa kiulaini sana kupitia kupiga tungi...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Kweli ulevi haufai popote pale duniani. Tazameni Mkuu wa Mkoa anawalazimisha wananchi wenye ndoa wasiachane. Hivi huu ulevi ameutoa wapi au kwa sheria ipi anayotumia kuingilia ndoa za watu...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Ukifatilia kwa makini tatizo lililopo kati ya TRA na wafanyabiashara sehemu nyingi hapa nchini ni hawa watendaji walioajiriwa hivi karibuni na kupewa majukumu makubwa. Sehemu kubwa ya watendaji...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
*RC MAKALLA AFANYA MAAMUZI MAGUMU, AAGIZA MABORESHO YA KWANZA SOKO LA SIMU 2000 NA SOKO LA MABIBO - Asema hoja Za Wafanyabiashara zina uzito hivyo waboreshewe kwanza kisha kamati ya soko Na...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Brother akajua mkutano utakuwa Jumamosi si ndiyo akanunua Mechi yote uwanja mzima akalipia KiingilioBrother akajua mkutano Jumatatu si ndiyo akarudisha pesa ya Chopper yote na fidia Juu watugomee...
1 Reactions
11 Replies
947 Views
Wakuu bado tunaendelea kutoa pole kwa misiba iliyotokea, lakini kwa sasa tunaongeza na pole nyingine kwa ajili ya migomo inayoendelea. Hata hivyo pamoja na changamoto hizo bado kama nchi mambo...
9 Reactions
49 Replies
4K Views
Wao walifanya sherehe tena ikiwa hata jamii ya watanzania haijatangaziwa kuwa Magufuli kafariki,walibeza wakatutukana na kutuita mzoga wetu ,analiwa na finyo,hata simama,anayemtaka akazikwe naye...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Tundu Antipas Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chadema kaanzia safari yake Dar hadi Kigoma kwa barabara Ikumbukwe Lissu hajamaliza matibabu nchini Ubelgiji na Juzi tu alikuwa huko kwa Check up...
1 Reactions
31 Replies
1K Views
Rondo. Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema kuwa uamuzi wa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe, kuhamia ACT-Wazalendo kutoka CCM mwaka 2020 na kuwania urais...
12 Reactions
28 Replies
4K Views
Huyu jamaa yangu natamani arudishwe kazini. Naona yeye bado wenzie wawili tayari. Serikali iwakumbuke hawa wenye vyeti fake wapewe ajira kwanza kuliko wale fresh from schools. Hawa wenye vyeti...
1 Reactions
11 Replies
917 Views
Bado maswali ni mengi na majawabu hakuna. Nani aliye amuru kuwekewa sumu mzee wetu Mangula na Tundu Lissu kupigwa risasi? Najiuliza hiyo sumu ina maana walikuwa wanatembea nayo ktk mabegi yao...
0 Reactions
0 Replies
261 Views
Hawawezi kukwepa kuwa sakata la Kariakoo lisinge fika hapo lilipo kama wange wajibika. Kulipo undwa Kikosi kazi (Task force) cha TRA kufuatilia kodi Kariakoo ndipo mianya ya rushwa ikapamba moto...
0 Reactions
0 Replies
555 Views
Inashangaza sana, hii nchi inawezekana hata sehemu zile nyeti kutakuwa na kundi kubwa la vilaza thus why mambo yanaendelea kuharibika kila uchwao , Nimesikia mara nyingi Bwana Membe akiitwa...
13 Reactions
72 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…