BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,376
- 8,118
Rais Samia amesema hakuna Taifa linaloendelea Kiuchumi na Kijamii kwa kukiuka Utawala Bora na Haki za Binadamu na Nchi yotote yenye mifumo Mibovu ya Utawala wa Sheria inakosa mafanikio endelevu.
Rais ameyasema hayo leo Nov 24, 2022 wakati akifungua Mkutano wa 27 wa Jumuiya ya Wanasheria Afrika Mashariki (EALS), jijini Arusha.
Amesema “Sijawahi kuona Taifa lililofikia Mageuzi Kijamii na Kiuchumi kwa kukiuka Utawala wa Sheria. Hata wakikua Kiuchumi wanakuwa katika makaratasi lakini Uchumi hauendi chini kwa Wananchi.”
Aidha, ameongeza kuwa, “Kutenda Haki na kuheshimu Utawala Bora ni misingi ambayo Serikali yoyote inayotokana na Watu inapaswa kuifuata bila shinikizo kutoka nje, sisi tumeamua kuijenga Tanzania yenye Haki, Demokrasia na Usawa.”