CHADEMA tuwahi kumbeba Dkt. Bashiru, atafaa 2025

Matapu22

New Member
Nov 24, 2022
2
3
Chama changu CDM tufanye himahima tuwapige bao CUF, tumteke Dr. Bashir huyo ni karata turufu kuzoa kura za mafuriko Kanda ya Ziwa uchaguzi mkuu wa 2025. Viongozi wangu watukufu tulizeni akili, Dr Bashiru anafaa kwa vile ni muadilifu na mzalendo wa kweli.

Tusifanye makosa kumteua Tundu Lissu asiye na uchungu na nchi, pia ni kuwadi wa mabeberu aliyepoteza uzalendo kwa kitendo cha kuwaombea watoto wake uraia wa USA huku muda mwingi akiutumia kula bata huko Ulaya akiwatosa wanyaturu huko Ikungi.

Shimeshime, 2025 twende pamoja na Dr. Bashiru. Anatosha, aliyepikwa vya kutosha na Hayati Rais JPM.
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
36,731
42,611
Chama changu CDM tufanye himahima tuwapige bao CUF, tumteke Dr Bashir huyo ni karata turufu kuzoa kura za mafuriko Kanda ya Ziwa uchaguzi mkuu wa 2025, viongozi wangu watukufu tulizeni akili Dr Bashir anafaa kwa vile ni muadilifu na mzalendo wa kweli. Tusifanye makosa kumteua Tundu Lissu asiye na uchungu na nchi pia ni kuwadi wa mabeberu aliyepoteza uzalendo kwa kitendo cha kuwaombea watoto wake uraia wa USA huku muda mwingi akiutumia kula Bata huko Ulaya akiwatosa wanyaturu huko Ikungi. Shime shime 2025 twende pamoja na Dr Bashir, Anatosha aliyepikwa vya kutosha na Hayati Rais JPM
Huu Utopolo wako washirikishe wanaccm wenzako. Chadema haiwezi kumkaribisha mtu ambaye mikono yake imejaa damu za wanachadema na wapinzani wengine. Hatujasahau yaliyotokea kwenye mchakato wa uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu uliopita,watu wengi waliuwawa kule Zanzibar, Bashiru alikuwa sehemu ya maovu haya hatuwezi kushirikiana na mtu sampuli hii.
 
Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
1,249
1,947
Chama changu CDM tufanye himahima tuwapige bao CUF, tumteke Dr Bashir huyo ni karata turufu kuzoa kura za mafuriko Kanda ya Ziwa uchaguzi mkuu wa 2025, viongozi wangu watukufu tulizeni akili Dr Bashir anafaa kwa vile ni muadilifu na mzalendo wa kweli.

Tusifanye makosa kumteua Tundu Lissu asiye na uchungu na nchi pia ni kuwadi wa mabeberu aliyepoteza uzalendo kwa kitendo cha kuwaombea watoto wake uraia wa USA huku muda mwingi akiutumia kula Bata huko Ulaya akiwatosa wanyaturu huko Ikungi.

Shime shime 2025 twende pamoja na Dr Bashir, Anatosha aliyepikwa vya kutosha na Hayati Rais JPM
MPELEKE KWA ZITTO kile cha UPINZANI DHIDI YA CHADEMA
 
Dawa ya Uvccm

JF-Expert Member
Aug 3, 2021
346
2,177
Chama changu CDM tufanye himahima tuwapige bao CUF, tumteke Dr Bashir huyo ni karata turufu kuzoa kura za mafuriko Kanda ya Ziwa uchaguzi mkuu wa 2025, viongozi wangu watukufu tulizeni akili Dr Bashir anafaa kwa vile ni muadilifu na mzalendo wa kweli.

Tusifanye makosa kumteua Tundu Lissu asiye na uchungu na nchi pia ni kuwadi wa mabeberu aliyepoteza uzalendo kwa kitendo cha kuwaombea watoto wake uraia wa USA huku muda mwingi akiutumia kula Bata huko Ulaya akiwatosa wanyaturu huko Ikungi.

Shime shime 2025 twende pamoja na Dr Bashir, Anatosha aliyepikwa vya kutosha na Hayati Rais JPM
machawa ya samia 2025 jiandaeni kwenda burundi
 
Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
50,072
86,370
Chama changu CDM tufanye himahima tuwapige bao CUF, tumteke Dr Bashir huyo ni karata turufu kuzoa kura za mafuriko Kanda ya Ziwa uchaguzi mkuu wa 2025, viongozi wangu watukufu tulizeni akili Dr Bashir anafaa kwa vile ni muadilifu na mzalendo wa kweli.

Tusifanye makosa kumteua Tundu Lissu asiye na uchungu na nchi pia ni kuwadi wa mabeberu aliyepoteza uzalendo kwa kitendo cha kuwaombea watoto wake uraia wa USA huku muda mwingi akiutumia kula Bata huko Ulaya akiwatosa wanyaturu huko Ikungi.

Shime shime 2025 twende pamoja na Dr Bashir, Anatosha aliyepikwa vya kutosha na Hayati Rais JPM

Bashiru awasaidie CDM Kupata kura kanda ya ziwa, wakati yeye mwenyewe akiwa na Magufuli ilibidi wanajisi uchaguzi ili Magufuli atangazwe mshindi kwa shuruti?
 
Nzie ya Mana

JF-Expert Member
Aug 23, 2020
1,120
1,230
Chama changu CDM tufanye himahima tuwapige bao CUF, tumteke Dr Bashir huyo ni karata turufu kuzoa kura za mafuriko Kanda ya Ziwa uchaguzi mkuu wa 2025, viongozi wangu watukufu tulizeni akili Dr Bashir anafaa kwa vile ni muadilifu na mzalendo wa kweli.

Tusifanye makosa kumteua Tundu Lissu asiye na uchungu na nchi pia ni kuwadi wa mabeberu aliyepoteza uzalendo kwa kitendo cha kuwaombea watoto wake uraia wa USA huku muda mwingi akiutumia kula Bata huko Ulaya akiwatosa wanyaturu huko Ikungi.

Shime shime 2025 twende pamoja na Dr Bashir, Anatosha aliyepikwa vya kutosha na Hayati Rais JPM
Wewe ni mshenzi na mnafiki Sana!
 
Mulokozijr12

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
3,850
4,403
Nitawashangaa Chadema, kwasasa wanatakiwa waibue vipaji vipya ambavyo havitakuwa vinaogopa kupigania maslahi ya wananchi, ni aibu sasa vijana wapo busy na Zuchu badala ya kujua mustakabali wa maisha yao ya baadae.

Hebu Chadema leteni movement kama M4C kutoa hamasa kwa vijana.
 
econonist

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
5,325
6,650
Chama changu CDM tufanye himahima tuwapige bao CUF, tumteke Dr Bashir huyo ni karata turufu kuzoa kura za mafuriko Kanda ya Ziwa uchaguzi mkuu wa 2025, viongozi wangu watukufu tulizeni akili Dr Bashir anafaa kwa vile ni muadilifu na mzalendo wa kweli.

Tusifanye makosa kumteua Tundu Lissu asiye na uchungu na nchi pia ni kuwadi wa mabeberu aliyepoteza uzalendo kwa kitendo cha kuwaombea watoto wake uraia wa USA huku muda mwingi akiutumia kula Bata huko Ulaya akiwatosa wanyaturu huko Ikungi.

Shime shime 2025 twende pamoja na Dr Bashir, Anatosha aliyepikwa vya kutosha na Hayati Rais JPM

Kwanza mlianza na Ndugai leo mmehamia kwa Bashiru. Keshokutwa mtasema CHADEMA imteuwe Gaudensia Kabaka.
 
econonist

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
5,325
6,650
Chama changu CDM tufanye himahima tuwapige bao CUF, tumteke Dr Bashir huyo ni karata turufu kuzoa kura za mafuriko Kanda ya Ziwa uchaguzi mkuu wa 2025, viongozi wangu watukufu tulizeni akili Dr Bashir anafaa kwa vile ni muadilifu na mzalendo wa kweli.

Tusifanye makosa kumteua Tundu Lissu asiye na uchungu na nchi pia ni kuwadi wa mabeberu aliyepoteza uzalendo kwa kitendo cha kuwaombea watoto wake uraia wa USA huku muda mwingi akiutumia kula Bata huko Ulaya akiwatosa wanyaturu huko Ikungi.

Shime shime 2025 twende pamoja na Dr Bashir, Anatosha aliyepikwa vya kutosha na Hayati Rais JPM

Agombee huko huko CCM .
 
econonist

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
5,325
6,650
Chadema hawana ideology wao wanabeba yeyote hata Pole Pole akitaka. Chadema ni sawa na mwanamke, hana dini, atakayemuoa ndiye ataamua dini yake

Njoo wewe wakubebe Kama unadhani ni rahisi. Mbona Kuna mawaziri na wakuu wa Wilaya wametokea CHADEMA?.
 
3 Reactions
Reply
Top Bottom