Akitoa taarifa fupi ya Mradi huo Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng: Rogatus Mativila amesema Ujenzi wa barabara Wasso hadi Sale (km 49) ni sehemu ya juhudi za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...
Mabere Nyaucho Marando Through The Seasons:The Purpoted Senior Lawyer?
From a scratch.UDSM,law industry,business,to politics.Who is he and should we discuss this?His past,future,aspirations...
Tatizo ni Bunge kutunga sheria mbovu za kodi.
Lkn lenyewe limekaa kimya kama halihusiki. Na wadau nao wamekaa kimya hata hawajadili.
Pale Naibu Speaker alipaswa kupopolewa mno lkn aaahhh wapi
Leo Wafanyabiashara wametoa ya moyoni kutokana na kero zinazowakabili katika biashara zao. Wafanyabiashara wamezungumza mengi ila nashauri yafuatayo:
(1) Vituo (gates) zilizopo njiani zitolewe...
Poleni kwa msiba wa Benard Membe na William Malchela.
Najiuliza tu na kuwauliza tu kwamba kwanini Zitto Kabwe akitajwa na kusifiwa kwa jambo lolote hawa ndugu wa CHADEMA hukosa raha?
Ni kwa...
Habari zenu Wakuu,
Nafikiri tuwe Serious kidogo kama tumedhamiria kupambana na Rushwa. Ili Rushwa iondoke lazima mmoja kati ya Mla Rushwa na Mtoa Rushwa mmoja wapo ndiye apewe adhabu huku...
Mabadiliko haya iltakiwa Amos Makala aachwe,kazi imemshinda,kama ambavyo Magufuli aliona hafai.
Kwa kuwa Makala ana Magodfaza, Rais Samia akaambiwa amteue, ukweli umedhihirika si chochote...
Wakati baadhi ya maduka katika eneo la Kariakoo yakiendelea kufungwa kwa siku ya tatu sasa, wafanyabiashara wa soko hilo tayari wamewasili ukumbi wa Arnaoutoglou jijini hapa kufanya mazungumzo na...
Kwenye kikao cha wafanyabiasha na Waziri Mkuu kilichoitishwa ili kutatua changamoto zao kufuatia mgomo wa wafanyabiara ulioanza tar. 15.05.2022. Wafanyabiasha wawatuhumu maafisa wa TRA kuwaomba...
Mh Rais ni kweli umeamua kuuwa uchumi na biashara kabisa? Hivi kweli umeruhusu kadi za namna hii?
Hii nimeikopi kwa mwana jf wakukurupuka1
Nanukuuu
“Leo Kuna mgomo kwa wafanya biashara soko kuu...
Tunashuhudia nyomi kwenye mikutano yake lakini hiyo nyomi haihusiani kabisa na mvuto wake kisiasa. Watu wanakuja kumtazama mtu aliyekuwa "amekufa" kisha "kufufuka". Biashara inaishia hapo!
Kikao cha Kariakoo ki ukweli kimekuwa kikubwa sana tofauti na matarajio ya wengi.
Je, kwa muelekeo wa Kikao nani ataondoka?
1. Waziri wa Fedha?
2. Waziri wa Biashara?
3. CG wa TRA?
4. Manager...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana leo Mei 17, 2023 ameongoza kikao cha Mawaziri wanaohusika na Michezo wa nchi za Tanzania, Kenya na Uganda ambao ni Mhe. Peter...
Siamini sana katika siasa za nchi. Lakini, ikitokea naambiwa nimpigie Majaliwa kura awe kiongozi mkubwa, Yes nampigia.
Kuna namna kafanikiwa kunidanganya kwamba he is capable. Sasa sijui...
Tatizo kubwa la waziri wa f edha dk. mwigulu nchemba na waziri wa viwanda, dk. ashatu kijaji lina sababishwa na rais mwenyewe kwa maoni yangu.
Unawezaje kukaa na waziri ambaye alishawakashifu...
Nafikiri usiku wa leo Waziri wa Fedha Dr Mwigulu PhD atalala Kanisani huku akijitafakari sana
Wale Wafanyabiashara ni kana kwamba walimpania
Bado tuna safari ndefu sana!
Watu wengi wanazungumza kuhusu sakata la TRA na Wafanyabiashara lakini wanamung'unya maneno na kupata kigugumizi kumtaja Mwigulu ambaye ndio mwanzilishi wa uchafu huu wote.
Ili kuleta amani ya...
Shehe mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja amesikika na kuonekana hadharani akipinga vikali chanjo ya malaria kwa watanzania kwa kuhofia kuwa huenda imechanganywa na homoni za...
Habari,
Wakuu kama tunafatilia habari na mitandao tunatambua wiki hii nchini wetu imetawaliwa na matukio mengi. Miongoni mwa tukio lililogusa vituo vya habari ni pamoja na Mgombo wa wafanya...
Pamoja na kwamba tuna mifumo mibaya ya uendeshaji wa Nchi bado tatizo kubwa la Tanzania ni Watanzani wenyewe.
Yaani Mtanzania mwenye level ya elimu angalau Form Four au Diploma ama tuseme hata...