Rais, Waziri wa Fedha na TRA wanakuchimbia kaburi. Chukua hatua za haraka

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
380
763
Leo Wafanyabiashara wametoa ya moyoni kutokana na kero zinazowakabili katika biashara zao. Wafanyabiashara wamezungumza mengi ila nashauri yafuatayo:

(1) Vituo (gates) zilizopo njiani zitolewe mara moja njia yote toka nchini na kwenda nchi zote za jirani. Kituo kinachoongoza kwa Rushwa ni Migori (Iringa), Mikumi (Morogoro). Igeni mfano wa nchi ya Rwanda ambapo ukiishavuka utaenda mpaka kituo chako cha mwisho.

(2) Tozo zisizo na tija ziondolewe mara moja. Mfano tozo ya Fire. Hapa hakuna faida anayotoa Fire. Hakupi fire extinguisher, hakupi semina n.k, ikiwezekana tozo zote ziwe chini ya mwavuli moja. Mfano hotel levy, leseni, Osha n.k.

(3) Mifumo ziboreshwe ili kila mfanyabiashara ajue kinacholipwa siyo baadaye TRA wanamfuata kwa mazungumzo yasiyo rasmi.

(4) Faini ya EFD n.k, iwe ni flat rate kwa mfanyabiashara. Mfano ukikutwa na kosa la kutokata risiti TRA wanakueleza faini ni 1.5m mpaka 4.5m, hapa ndipo nafasi ya rushwa. Wanakutisha mpaka unalainike. Nashauri faini kama hizi angalau ziwe kama Tsh. 500,000.

Mhe. Rais Waziri wa Fedha na TRA wanakuchimbia kaburi na mema yote unayotenda wananchi watakugeuka wakati wa uchaguzi ujao.
 
Leo Wafanyabiashara wametoa ya moyoni kutokana na kero zinazowakabili katika biashara zao. Wafanyabiashara wamezungumza mengi ila nashauri yafuatayo:-
(1) Vituo (gates) zilizopo njiani zitolewe mara moja njia yote toka nchini na kwenda nchi zote za jirani. Kituo kinachoongoza kwa Rushwa ni Migori (Iringa), Mikumi (Morogoro). Igeni mfano wa nchi ya Rwanda ambapo ukiishavuka utaenda mpaka kituo chako cha mwisho.
(2) Tozo zisizo na tija ziondolewe mara moja. Mfano tozo ya Fire. Hapa hakuna faida anayotoa Fire. Hakupi fire extinguisher, hakupi semina n.k. Ikiwezekana tozo zote ziwe chini ya mwavuli moja. Mfano hotel levy, leseni, Osha n.k.
(3) Mifumo ziboreshwe ili kila mfanyabiashara ajue kinacholipwa siyo baadaye TRA wanamfuata kwa mazungumzo yasiyo rasmi.
(4) Faini ya EFD n.k. iwe ni flat rate kwa mfanyabiashara. Mfano ukikutwa na kosa la kutokata risiti TRA wanakueleza faini ni 1.5m mpaka 4.5m. Hapa ndipo nafasi ya rushwa. Wanakutisha mpaka unalainike. Nashauri faini kama hizi angalau ziwe kama Tshs.500,000.

Lakini Mwisho wa Kikao Mmemshangilia sana sana Mh. Mwigulu. Kuliko hata Waziri Mkuu. Yaani Star wa Game leo ni Waziri wa Fedha
 
Leo Wafanyabiashara wametoa ya moyoni kutokana na kero zinazowakabili katika biashara zao. Wafanyabiashara wamezungumza mengi ila nashauri yafuatayo:-
(1) Vituo (gates) zilizopo njiani zitolewe mara moja njia yote toka nchini na kwenda nchi zote za jirani. Kituo kinachoongoza kwa Rushwa ni Migori (Iringa), Mikumi (Morogoro). Igeni mfano wa nchi ya Rwanda ambapo ukiishavuka utaenda mpaka kituo chako cha mwisho.
(2) Tozo zisizo na tija ziondolewe mara moja. Mfano tozo ya Fire. Hapa hakuna faida anayotoa Fire. Hakupi fire extinguisher, hakupi semina n.k. Ikiwezekana tozo zote ziwe chini ya mwavuli moja. Mfano hotel levy, leseni, Osha n.k.
(3) Mifumo ziboreshwe ili kila mfanyabiashara ajue kinacholipwa siyo baadaye TRA wanamfuata kwa mazungumzo yasiyo rasmi.
(4) Faini ya EFD n.k. iwe ni flat rate kwa mfanyabiashara. Mfano ukikutwa na kosa la kutokata risiti TRA wanakueleza faini ni 1.5m mpaka 4.5m. Hapa ndipo nafasi ya rushwa. Wanakutisha mpaka unalainike. Nashauri faini kama hizi angalau ziwe kama Tshs.500,000.
Mhe. Rais Waziri wa Fedha na TRA wanakuchimbia kaburi na mema yote unayotenda wananchi watakugeuka wakati wa uchaguzi ujao.

Mzigo wa Milion 10

Faini laki 5?

Think twice mobimba
 
Back
Top Bottom