Ndugu zangu watanzania,
Wafanyabiashara Wameonyesha kuwa na Imani kubwa Sana na uongozi na serikali ya Rais Samia licha ya changamoto ndogo ndogo katika biashara zao,Ambazo serikali kupitia...
Wakuu.
Ukitizama vizuri hii picha ya Ikulu, ambayo naamini ilipigwa jana tarehe 18 May 2023, kuna bidhaa fulani ya biashara ya mtu binafsi inaonekana.
Je, hii ni sahihi kwa kiasi gani?
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mheshimiwa Mhandisi Geoffrey Kasekenya amesema barabara Mianzini hadi Ngaramtoni Juu inafunguliwa upya kwani kuna maeneo ya km 8 hayakuwa na barabara kabisa...
Watoto Milioni 1.5 wapatiwa chanjo
Wizara ya Afya imesema hadi kufikia mwezi Machi mwaka huu jumla ya watoto 1,596,951 sawa na asilimia 98.6 walikuwa wamechanjwa chanjo ya Penta3 kwa ajili ya...
Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) inatarajia kujenga kwa kiwango cha lami miradi mitatu mikubwa ya barabara mkoani Manyara ambayo itaunganisha mkoa huo na mikoa ya Jirani...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema huko tunapoenda tuweke utaratibu kuwa mtu akichaguliwa kuwa waziri, mtoto wake asome shule za serikali. Amesema hii itasaidia kufanya mawaziri wasimame...
Hii ni Kata ya Kumsenga leo tarehe 19/5/2023 , Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe akifundisha somo la WAJIBU WA MWANANCHI kwenye Mapambano ya Katiba mpya .
Usiondoke JF
Sent from my SM-J500H using...
Kwa ufupi,
Kiongozi wasasa wa nchi hakubaliki popote Tanzania Bara, hakubaliki kwa makundi yote hasa wananchi wa kawaida(common people).
Anapondwa mno kwa kushindwa kuwa dereva Bora na mwenye...
Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng: Rogatus Mativila akitoa taarifa fupi ya mradi huo amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) ilitenga fedha...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais John Magufuli ametoa onyo kwa viongozi wa Serikali na hasa anaowateua kuwaheshimu na kuzingatia maagizo yanayotolewa na viongozi wa chama hicho...
Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango, Uwekezaji, Viwanda na Biashara, TRA, na Katibu Mkuu Kiongozi.
Rais Samia Suluhu anahakikisha anatimiza lengo lake la...
Najua aliye rithi uraia yupo Maputo, Makamu wake yupo nje ya Africa amepeleka umbea wake yakuwa samaki wa ziwa Victoria wanaoshwa na maji ya mahitii
Sasa anashikia Ikulu ni Kassimu Majaliwa na...
Anaandika Chigaitan kutoka KivuDRC.
Leo nitaongea UKWELI Ifike mahali Watanzania tuiamini serikali yetu, tuthamini "Cabinet Ministry ya Taifa letu Kutekeleza SHERIA za taifa letu.
Ifike mahali...
Wakuu Salam,
Naomba nitangaze maslahi, mimi ni mfanyabiashara, nipo Kariakoo, nje ya Kariakoo na mkoa wa Pwani.
Malalamiko yetu wafanyabiashara mengi ni justifiable, lakini hili la kumlaumu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan apongezwa kwa kutoa kiasi cha Shilingi 970,600,000/= kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa kupitia mradi wa Boost katika...
Wabunge wameibua hoja sita katika mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka 2023/24. Hoja hizo ni miundombinu hatarishi shuleni na vyuoni...
Mtoto Georgina Magesa (8) ametimiza ndoto yake ya kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan na kumpatia zawadi ya kitabu, huku tukio hilo likivuta hisia za watu wengi baada ya Rais Samia kumkalisha...
Korona haina tiba wala haina kinga. Njia zote zinazoshauriwa ili kujikinga na korona ni za dhahania na nadharia tu. Ndiyo maana hakuna mahala popote walipofanikiwa kuiondoa na kuimaliza korona...
Kodi ndiyo roho ya serikali kiasi kwamba bila kodi hakuna serikali na kwa vile kodi inatokana na biashara, basi kimantiki biashara ndiyo serikali. Kwa tuliyoyashuhudia hali si shwari kati ya...
Wakuu haiingi akili hadi sasa Chama kikuu cha Upinzani CHADEMA kutokuwa na majengo yake ya ofisi kama chama ni aibu.
Ofisi ya pale ufipa ni aibu tupu kuwa yale ndiyo makao makuu ya chama. Hapana...