Fatma Karume na Membe Hamuitendei Haki Jamii

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,762
71,145
CYPRIAN MUSIBA.

Huyu mtu ametufefhehesha, kututukana, kututishia akilindwa na Magufuli na kutudhalilisha sana. Sio nyie wawili tuu bali wapenda haki wote Tanzania.
Sasa Fatma na mhe.Membe mkaamua kufuata mkondo wa sheria na haki ikapatikana sio kwenu tuu bali furaha ikawa ya wote.
Sasa hukumu haitekelezwi mko kimya, hatua hamchukui kwa nini?
Tunajua hamna njaa na pengine mnaweza kusema basi yaishe maana analialia sana. Mkumbuke hiyo hukumu haikuwa yenu bali yetu sote watetea demokrasia, hivyo hata kama hamna haja na fedha zake haramu basi malipo yatakayo patikana kwa kuuza mali zake YATUMIKE KUZIPATIA UWEZO TAASISI ZA KIDEMOKRASIA.
Au kashindwa kabisa hana mali ya kukamatwa aende JELA mpuuzi huyo.
Please, Fatma Katume na mzee wetu Bernard Membe hebu fanyeni yapaswayo, Mbinguni hawaendi eti kwa kuwasamehe watu kama Cyprian Musiba.

Unapenda maugomvi yasiyoisha mmeo anatabu sana

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CYPRIAN MUSIBA.

Huyu mtu ametufefhehesha, kututukana, kututishia akilindwa na Magufuli na kutudhalilisha sana. Sio nyie wawili tuu bali wapenda haki wote Tanzania.
Sasa Fatma na mhe.Membe mkaamua kufuata mkondo wa sheria na haki ikapatikana sio kwenu tuu bali furaha ikawa ya wote.
Sasa hukumu haitekelezwi mko kimya, hatua hamchukui kwa nini?
Tunajua hamna njaa na pengine mnaweza kusema basi yaishe maana analialia sana. Mkumbuke hiyo hukumu haikuwa yenu bali yetu sote watetea demokrasia, hivyo hata kama hamna haja na fedha zake haramu basi malipo yatakayo patikana kwa kuuza mali zake YATUMIKE KUZIPATIA UWEZO TAASISI ZA KIDEMOKRASIA.
Au kashindwa kabisa hana mali ya kukamatwa aende JELA mpuuzi huyo.
Please, Fatma Katume na mzee wetu Bernard Membe hebu fanyeni yapaswayo, Mbinguni hawaendi eti kwa kuwasamehe watu kama Cyprian Musiba.

Wakati mwingine unaweza kumuacha adui yako ''afe kwa kihoro'' na ikawa adhabu tosha. Hakuna adhabu mbaya kama kuishi kwa wasiwasi. Huyu jamaa popote alipo atakuwa anaishi maisha yaliyojaa kihoro. Jani la mti likidondoka kwenye paa lazima asikie kubanwa haja. BTW mbona nilisikia za vijiweni kuwa alishaonyeshwa cha mtema kuni na akaambiwa hakuna kulia. Labda ni story za vijiweni.
 
CYPRIAN MUSIBA.

Huyu mtu ametufefhehesha, kututukana, kututishia akilindwa na Magufuli na kutudhalilisha sana. Sio nyie wawili tuu bali wapenda haki wote Tanzania.
Sasa Fatma na mhe.Membe mkaamua kufuata mkondo wa sheria na haki ikapatikana sio kwenu tuu bali furaha ikawa ya wote.
Sasa hukumu haitekelezwi mko kimya, hatua hamchukui kwa nini?
Tunajua hamna njaa na pengine mnaweza kusema basi yaishe maana analialia sana. Mkumbuke hiyo hukumu haikuwa yenu bali yetu sote watetea demokrasia, hivyo hata kama hamna haja na fedha zake haramu basi malipo yatakayo patikana kwa kuuza mali zake YATUMIKE KUZIPATIA UWEZO TAASISI ZA KIDEMOKRASIA.
Au kashindwa kabisa hana mali ya kukamatwa aende JELA mpuuzi huyo.
Please, Fatma Katume na mzee wetu Bernard Membe hebu fanyeni yapaswayo, Mbinguni hawaendi eti kwa kuwasamehe watu kama Cyprian Musiba.

binti sidhani kama unamme na kama unaye anakazi kubwa ndani una ghubu isiyoisha
 
Utu uzima ni busara inawezekana wamemkaushia tu bado vijana Alina Musiba Wana mengi ya kujifunza ingawa zile kunguni alizokua anawasagia wenzie zilikua zinatisha.
 
Yaani Membe amsamehe Musiba? Labda Shangazi.
 
CYPRIAN MUSIBA.

Huyu mtu ametufefhehesha, kututukana, kututishia akilindwa na Magufuli na kutudhalilisha sana. Sio nyie wawili tuu bali wapenda haki wote Tanzania.
Sasa Fatma na mhe.Membe mkaamua kufuata mkondo wa sheria na haki ikapatikana sio kwenu tuu bali furaha ikawa ya wote.
Sasa hukumu haitekelezwi mko kimya, hatua hamchukui kwa nini?
Tunajua hamna njaa na pengine mnaweza kusema basi yaishe maana analialia sana. Mkumbuke hiyo hukumu haikuwa yenu bali yetu sote watetea demokrasia, hivyo hata kama hamna haja na fedha zake haramu basi malipo yatakayo patikana kwa kuuza mali zake YATUMIKE KUZIPATIA UWEZO TAASISI ZA KIDEMOKRASIA.
Au kashindwa kabisa hana mali ya kukamatwa aende JELA mpuuzi huyo.
Please, Fatma Katume na mzee wetu Bernard Membe hebu fanyeni yapaswayo, Mbinguni hawaendi eti kwa kuwasamehe watu kama Cyprian Musiba.

Musiba alikuwa 'barking dog' akitumiwa tu kubweka, muhimu ilikuwa kushughulika na mwenye mbwa.
 
CYPRIAN MUSIBA.

Huyu mtu ametufefhehesha, kututukana, kututishia akilindwa na Magufuli na kutudhalilisha sana. Sio nyie wawili tuu bali wapenda haki wote Tanzania.
Sasa Fatma na mhe.Membe mkaamua kufuata mkondo wa sheria na haki ikapatikana sio kwenu tuu bali furaha ikawa ya wote.
Sasa hukumu haitekelezwi mko kimya, hatua hamchukui kwa nini?
Tunajua hamna njaa na pengine mnaweza kusema basi yaishe maana analialia sana. Mkumbuke hiyo hukumu haikuwa yenu bali yetu sote watetea demokrasia, hivyo hata kama hamna haja na fedha zake haramu basi malipo yatakayo patikana kwa kuuza mali zake YATUMIKE KUZIPATIA UWEZO TAASISI ZA KIDEMOKRASIA.
Au kashindwa kabisa hana mali ya kukamatwa aende JELA mpuuzi huyo.
Please, Fatma Katume na mzee wetu Bernard Membe hebu fanyeni yapaswayo, Mbinguni hawaendi eti kwa kuwasamehe watu kama Cyprian Musiba.

🤣🤣🤣🤣
 
Shoga yeyote awaye,huwa anakuwa na Roho ya visasi kama wewe Chakazwa!
 
Wakati mwingine unaweza kumuacha adui yako ''afe kwa kiroho'' na ikawa adhabu tosha. Hakuna adhabu mbaya kama kuishi kwa wasiwasi. Huyu jamaa popote alipo atakuwa anaishi maisha yaliyojaa kiroho. Jani la mti likidondoka kwenye paa lazima asikie kubanwa haja. BTW mbona nilisikia za vijiweni kuwa alishaonyeshwa cha mtema kuni na akaambiwa hakuna kulia. Labda ni story za vijiweni.
Kwa muktadha huo; Kiroho = kihoro
 
CYPRIAN MUSIBA.

Huyu mtu ametufefhehesha, kututukana, kututishia akilindwa na Magufuli na kutudhalilisha sana. Sio nyie wawili tuu bali wapenda haki wote Tanzania.
Sasa Fatma na mhe.Membe mkaamua kufuata mkondo wa sheria na haki ikapatikana sio kwenu tuu bali furaha ikawa ya wote.
Sasa hukumu haitekelezwi mko kimya, hatua hamchukui kwa nini?
Tunajua hamna njaa na pengine mnaweza kusema basi yaishe maana analialia sana. Mkumbuke hiyo hukumu haikuwa yenu bali yetu sote watetea demokrasia, hivyo hata kama hamna haja na fedha zake haramu basi malipo yatakayo patikana kwa kuuza mali zake YATUMIKE KUZIPATIA UWEZO TAASISI ZA KIDEMOKRASIA.
Au kashindwa kabisa hana mali ya kukamatwa aende JELA mpuuzi huyo.
Please, Fatma Katume na mzee wetu Bernard Membe hebu fanyeni yapaswayo, Mbinguni hawaendi eti kwa kuwasamehe watu kama Cyprian Musiba.

UKWELI wasipomchukulia HATUA MUSIBA itakuwa ni kuichezea Mahakama na Wote Waliohusika mpaka HUKUMU IKATOLEWA huyu MUSIBA Lazima ATEKELEZE ADHABU aliyopewa ili iwe FUNDISHO kwa WAJINGA na WAPUMBAVU wa AINA yake.
Shangazi FATUMA na Mzee MEMBE kakazeni HUKUMU
 
CYPRIAN MUSIBA.

Huyu mtu ametufefhehesha, kututukana, kututishia akilindwa na Magufuli na kutudhalilisha sana. Sio nyie wawili tuu bali wapenda haki wote Tanzania.
Sasa Fatma na mhe.Membe wemkaamua kufuata mkondo wa sheria na haki ikapatikana sio kwenu tuu bali furaha ikawa ya wote.
Sasa hukumu haitekelezwi mko kimya, hatua hamchukui kwa nini?
Tunajua hamna njaa na pengine mnaweza kusema basi yaishe maana analialia sana. Mkumbuke hiyo hukumu haikuwa yenu bali yetu sote watetea demokrasia, hivyo hata kama hamna haja na fedha zake haramu basi malipo yatakayo patikana kwa kuuza mali zake YATUMIKE KUZIPATIA UWEZO TAASISI ZA KIDEMOKRASIA.
Au kashindwa kabisa hana mali ya kukamatwa aende JELA mpuuzi huyo.
Please, Fatma Katume na mzee wetu Bernard Membe hebu fanyeni yapaswayo, Mbinguni hawaendi eti kwa kuwasamehe watu kama Cyprian Musiba.

Wewe wala hujui kinachoendelea nyamaza tu. Lissu alivyoanza kumtukana magufuli kwamba nchi hii haijawahi kua na rais wa ovyo kama yeye ulifikiri kamtukana yeye tu au wote tuliyomchagua kwa kura zetu? Na je hakukitukana chama cha ccm kilichomsimamisha kama mgombea?
Magufuli binafsi katukanwa sana na vikaragosi nyie wakati mwenyewe hajibu kitu na halali kwa kufikiria nini kingine afanye kwa nchi hii. Kama hujui ndio sababu ya wazalendo kama msiba kujilipua kumtetea au kujibu yale binafsi jpm alikua anafanyiwa wala hajibu.
Ingekua magufuli ni mtu wa hamaki na dikteta kama watu kama wewe mlivyomuita magereza yangefurika sio hii mnamuhesabia tena bila ushahidi ooh ben saanane ooh lissu kavunjwa mguu.
Pumbafu fisadi wahed nyie mliyomchukia na mnaomchukia jpm kwa kuinyosha nchi hii kutoka mikononi mwa wahuni.
Saa hizi mumechanganyikiwa baada ya kumsifia sana mama bado hamna uhakika kama ni mtu wenu au la.
Mtakoma tu.
 
Back
Top Bottom