Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 877
- 4,105
Nimemsikiliza Daktari wa Familia ya Mzee Membe, ameeleza kitaalam kwamba Membe alikuwa na mafua ya kawaida kwa siku tatu na mwisho kupelekea kifo chake baada ya virus kushambullia mfumo wa damu.
Hawa Virus naamini kama wameweza kufanya damu kuganda hadi kusababisha kifo watakuwa hatari sana na yawezekana awapo kwenye mataifa mengine bali wapo Tanzania.
Napendekeza watoa maamuzi wachukue hatua ya kufanya uchunguzi kuhusu sampuli za virus hao na kuona namna ya kushughulika nao.
Tusipuuze au tufanye kazi kulinda afya zetu