yvegenc prymacov
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,523
- 1,912
Ktk kesi ya mbowe ya ugaidi,mahakama ilimkuta na kesi ya kujibu,mashabiki woote wa chadema waliilalamikia mahakama kwa kutumika kisiasa kukandamiza upinzani,wakasema mahakama za Tanzania ni hovyo kabisa na mahakimu hawana uweredi.
Lkn cha kushangaza,ktk kesi ya musiba v/s membe,wanachadema wanasema mahakama imetenda haki,na imetimiza wajibu wake sahihi kw kutafsiri sheria,
Unajiuliza,kumbe mahakama ikitimiza wajibu wake kwa chadema,inakuw ni tatizo,lkn kwa wengine ni sahihi,?