Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,028
- 6,875
Baada ya ukimya wa siku kadhaa na madai pia waliotoa kutaka kutekwa! Sasa wale Watangazaji wa Radio 47 ya Kenya akiongozwa na Billy Miya leo waimeibuka na jambo jipya la kusema Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anataka kumharibu Rais William Ruto wa Kenya ambaye ni Rais wao walitoka naye mbali na wanampenda.
Soma Pia: Samia: Nimeongea na Rais Ruto, wale watoto wetu watovu wa adabu, wakija kwako chapa mikwaju, wakija kwangu nachapa mikwaju
Na moja pia ya jambo walizungumza ni kushangazwa na kauli ya Rais Samia aliyotoa jana katika Kongamano la Biashara kati ya Tanzania na Kenya lililofanyika Mei 4 ya kusema Nimeongea na Rais Ruto, wale watoto wetu ( Gen Z ) watovu wa adabu, wakija kwako chapa mikwaju, wakija kwangu nachapa mikwaju