CHADEMA yaingia Makete, Mkutano wa Hadhara unaendelea muda huu

CHADEMA yaingia Makete, Mkutano wa Hadhara unaendelea muda huu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
142,957
Reaction score
288,126
Wakati Tunaomboleza Msiba wa Membe bado kuna mambo mengine yanaendelea nchini mwetu .

Huko Makete Chama cha Demokrasia na Maendeleo kinaendelea kutoa elimu kuhusu Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi .

Hali ndio kama mnavyoiona wenyewe

FB_IMG_1684069320671.jpg
FB_IMG_1684069279358.jpg
FB_IMG_1684069263604.jpg


Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
CHADEMA kumbe bado inapumua ata kwea mashine....Sioni kam CHADEMA itakua na mgombea kiti cha Urais mwaka 2025 labda kumuunga mkono Mama yetu Samia Suluhu Hassan
 
Back
Top Bottom