Zitto Kabwe aambiwa atoe salamu kwa niaba ya vyama vya Upinzani yeye akataa atoa salamu zake Binafsi adai hawajamtuma!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,112
Ubinafsi wa vyama vya Siasa umebainika leo wakati Zitto Kabwe alipotumia Muda wa salamu za vyama vya Upinzani kwa family ya Membe kutoa salam zake Binafsi na kuwafanya Godbless Lema wa Chadema na mzee Cheyo wa UDP kushikwa na mshangao

Zitto alisema " nimeambiwa nitoe salamu za vyama vya Upinzani lakini mimi natoa salamu Zangu Binafsi kwa sababu sijaagizwa na vyama kuvisemea'

Baada ya hapo ndio Msibani pakageuka eneo la mafumbo

Rip Membe
 
Zitto kapagawa sana na katia aibu hadi msibani eti anadai marehemu aandikwe aliwahi kua ACT wachambaleo
 
Ubinafsi wa vyama vya Siasa umebainika leo wakati Zitto Kabwe alipotumia Muda wa salamu za vyama vya Upinzani kwa family ya Membe kutoa salam zake Binafsi na kuwafanya Godbless Lema wa Chadema na mzee Cheyo wa UDP kushikwa na mshangao

Zitto alisema " nimeambiwa nitoe salamu za vyama vya Upinzani lakini mimi natoa salamu Zangu Binafsi kwa sababu sijaagizwa na vyama kuvisemea'

Baada ya hapo ndio Msibani pakageuka eneo la mafumbo

Rip Membe
Sidhani kama ni dhambi. Hajatumwa ndio, ulitaka awe mnafiki? Ili kesho mpate cha kusema?!
 
Ubinafsi wa vyama vya Siasa umebainika leo wakati Zitto Kabwe alipotumia Muda wa salamu za vyama vya Upinzani kwa family ya Membe kutoa salam zake Binafsi na kuwafanya Godbless Lema wa Chadema na mzee Cheyo wa UDP kushikwa na mshangao

Zitto alisema " nimeambiwa nitoe salamu za vyama vya Upinzani lakini mimi natoa salamu Zangu Binafsi kwa sababu sijaagizwa na vyama kuvisemea'

Baada ya hapo ndio Msibani pakageuka eneo la mafumbo

Rip Membe
Kachanganyikiwa na mzoga wa kenge wa rundo
 
Yuko sahihi kwa sababu wawakilishi wa hivyo vyama walikuwepo na wana salamu zenye content tofauti.
 
Ubinafsi wa vyama vya Siasa umebainika leo wakati Zitto Kabwe alipotumia Muda wa salamu za vyama vya Upinzani kwa family ya Membe kutoa salam zake Binafsi na kuwafanya Godbless Lema wa Chadema na mzee Cheyo wa UDP kushikwa na mshangao

Zitto alisema " nimeambiwa nitoe salamu za vyama vya Upinzani lakini mimi natoa salamu Zangu Binafsi kwa sababu sijaagizwa na vyama kuvisemea'

Baada ya hapo ndio Msibani pakageuka eneo la mafumbo

Rip Membe

"--Sijaagizwa na vyama kuvisemea."--- Zitto yupo sahihi kwani ilipaswa kila chama kitoe salamu kivyake jinsi zilivyomjua Marehemu katika mtazamo wa chama chao la sivyo ilipaswa vyama vikae pamoja na kuandika salamu ya pamoja ili iwe ni salamu ya vyama vyote.
 
Back
Top Bottom