Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna wakati ukiona maisha ya viongozi wakubwa wakisiasa yalivyo ya luxury unatamani ungekuwa mmoja wao au pengine hata watoto wako mmoja wao aje kuwa kiongozi mkubwa wa kisiasa kwasababu huko kuna...
5 Reactions
27 Replies
371 Views
Wakati wabunge na viongozi wa kidiplomasia kutoka nchi zaidi ya 140 wakimiminika jijini Arusha kwa ajili ya Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) utakaofanyika kuanzia Oktoba 5 hadi 9...
4 Reactions
15 Replies
250 Views
THE VICIOUS CYCLE OF YOUTH UNEMPLOYABILITY. Naomba leo nizungumze na mamlaka ya Serikali Ofisi ya Rais Tume ya Utumishi wa Umma chini ya Waziri Mhe. Ridhiwani Kikwete, pia Sekretarieti Ya Ajira...
2 Reactions
24 Replies
473 Views
Naomba niwakumbushe wafuasi wake kwamba wasifurahie mambo yaliyowasilishwa mbele ya hadhara kwa ajili ya mtuhumiwa, watesi wake bado wanamuwazia mabaya; kumbukeni ana risasi anatembea nayo, hii...
2 Reactions
3 Replies
140 Views
Jeshi la polisi linaendelea kuingia katika kashifa mbaya dhidi ya matukio ya mauaji yanayoendelea nchini Tanzania. Awamu hiii ukiondoa ile ya kigamboni ambapo, bwana mmoja alivutwagwa pumbu, na...
0 Reactions
6 Replies
272 Views
π— π—”π—‘π—˜π—‘π—’ 𝗬𝗔 π— π—­π—˜π—˜ π—œπ—¦π—”π—‘π——π—˜π—žπ—’ π— π—šπ—˜π—‘π——π—œ π—žπ—ͺ𝗔 π—ͺπ—”π—­π—œπ—₯π—œ π— π—žπ—¨π—¨ π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ π—‘π—–π—›π—˜π— π—•π—” β€œMheshimiwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, wewe ni mtu Muadilifu, Mtiifu, Muaminifu na Mchapa Kazi” πŸ“Nyamuswa-Mara πŸ“…Oktoba...
1 Reactions
5 Replies
163 Views
TUNDU LISSU ANAPIGANIA MAMBO YA MSINGI KULIKO HATA DUDU BAYA. LAKINI ANGALIA AKILI ZA WABONGO WENGI HOPELESSLY. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Ukitaka kujua akili za watu angalia yale...
30 Reactions
208 Replies
2K Views
π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ π—”π—Ÿπ—œπ—©π—¬π—’π—ͺ𝗔𝗕𝗔𝗑𝗔 π— π—žπ—¨π—₯π—¨π—šπ—˜π—‘π—­π—œ 𝗑𝗔 π— π—›π—”π—‘π——π—œπ—¦π—œ π—›π—”π—Ÿπ— π—”π—¦π—›π—”π—¨π—₯π—œ 𝗬𝗔 π—ͺπ—œπ—Ÿπ—”π—¬π—” 𝗬𝗔 𝗕𝗨𝗑𝗗𝗔 Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba alivyowabana Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda George...
1 Reactions
2 Replies
92 Views
π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ π—”π—žπ—”π—šπ—¨π—” 𝗠π—₯π—”π——π—œ π—ͺ𝗔 π—›π—’π—¦π—£π—œπ—§π—”π—Ÿπ—œ 𝗬𝗔 π—ͺπ—œπ—Ÿπ—”π—¬π—” 𝗬𝗔 𝗕𝗨𝗑𝗗𝗔 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Oktoba 03, 2026 amekagua mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara ambapo mpaka...
1 Reactions
3 Replies
67 Views
Kusambaa kwa picha za Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wa kiume Ikulu kumezua gumzo kubwa mitandaoni, likizua maswali mazito kuhusu heshima ya Ofisi ya Rais na maadili ya jamii. Hoja ya...
33 Reactions
219 Replies
17K Views
Wafuasi wa chadema wanafanya mambo ambayo hata ambaye hakwenda shule hawezi kufanya ni siasa za kipumbavu na za hovyo kuwahi kutokea nchini zilifanywa na Hilda newton ambaye ni kiongozi wa...
1 Reactions
18 Replies
209 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeunda kamati maalum ya Katiba mpya, itakayohakikisha katiba mpya inapatikana kabla ya 2027. Akizungumza na waandishi habari leo tarehe 17 Juni...
15 Reactions
15 Replies
393 Views
Ukiona Mambo yanavyokwenda unaona kabisa Kwamba Mwigulu hatodumu. Ukiona namna ya Nchimbi yalivyoanza basi huwezi kushangaa hali ilivyo kwa Mwigulu na kiukweli atakwenda na maji
30 Reactions
53 Replies
2K Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu, kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo, hili ni ombi kwa Jaji Mkuu wa Tanzania, CJ Masaju, kumkumbusha kuwa Mahakama ndie the costodian (Mlinzi ) wa Katiba ya...
3 Reactions
6 Replies
139 Views
Kundi la Wahafidhina na Wanamageuzi wa Ulaya (ECR Group) limeliomba Bunge la Ulaya kumtunuku Tundu Lissu, kiongozi wa upinzani nchini Tanzania na mtetezi wa haki za binadamu, Tuzo ya Sakharov ya...
8 Reactions
64 Replies
902 Views
Salaam wana jamvi, Nimesoma maazimio ya kikao cha NEC ya Chama cha Mapinduzi, yameniacha na maswali bila majibu. Kuna wengi hawajui kuhusu CCM, wanadhani CCM ni chama tuu cha siasa,kama vyama...
4 Reactions
31 Replies
5K Views
Hivi ndivyo ilivyo TOA MAONI YAKO
16 Reactions
44 Replies
544 Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la Leo. Kiukweli kabisa, upinzani Tanzania una hali mbaya sana, uko dholfu bin taaban kwa kukosa watu wa mikakati, hivyo kuendelea kufanya...
15 Reactions
130 Replies
4K Views
hii ndio kamati kuu ya ccm-CC itakayochuja majina wa wagombea Urais 2015 na kubakiza watatu(3) watakaoenda NEC. VIONGOZI: 1. Wilson Mukama,2. John Chiligati, 3.Vuai Ali Vuai, 4.January Makamba...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
NINAVYO UTAZAMA MRADI WA REFINERY KENYA. Jana Kenya na Dangote wamezindua mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu Kenya. Ni hatua muhimu sana, na ni mradi unaotazamwa kama alama...
5 Reactions
81 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…