Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu watanzania, CCM Itaendelea kuwepo na Kusalia madarakani kwa miaka mingi sana,kwa kuwa CCM imeonyesha kuwathamini na Kuwaheshimu Sana Watanzania,ndio maana ilani yake inabeba mambo na...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Haya majukwaa mbona yanatia aibu! Kha. Mnatumia mamilioni kukodi chopa halafu mnashindwa kufanya logistics ya majukwaa? Ndio mnataka kusema mlimtendea vyema Kamanda Lissu kisa tu mwamba nae yupo...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Kenya wanatakiwa kuwa makini Sana na huyu jamaa Urais wake unaweza kuwa Kama wa Magufuli alivyofanya Tanzania Naweka huu uzi ambao utakuwa kumbukumbu miaka 3 mpaka 4 ijayo Mara tu atakaposimika...
37 Reactions
146 Replies
12K Views
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amesema Watanzania wanawataka Vyama mbalimbali viunganishe Nguvu na kujenga Chama kikubwa ambacho siyo Mali ya Mbowe bali mali ya Watanzania wote na si Mali...
3 Reactions
13 Replies
983 Views
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amelalamikia uteuzi wa Gelasius Bakyana kuwa Balozi Lema anesema Teuzi kama Hizi zinachochea kukua kwa Ukatili na Uovu hasa ikizingatiwa...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Maandalizi ya Hitimisho hilo yamekamilika , na Tunatarajia Mikutano mikubwa mno ya hadhara Usiondoke JF , maana kuna mambo mengi mno mazuri yatawekwa hapa hapa Sent from my SM-J500H using...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumza katika kipindi cha Clouds360 kinachorushwa kupitia Clouds TV ameeleza kuwa Rais wa Tanzania; Dkt Samia Suluhu...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza Tanzania inaandika historia chini ya Rais Samia Suluhu kwa kutekeleza ujenzi wa Kilometa nyingi za barabara kwa wakati mmoja. Serikali inaenda kutekeleza miradi mikubwa yenye...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakati naandika andiko Ili nimekukbuka Afande wangu kiongozi yaani Mee wangu Sirro aliyestafu juzi na jinsi Askari waliokutwa chini yake walivyo zingua kwenye kesi ya Mbowe. Nakumbuka shambulizi...
1 Reactions
3 Replies
644 Views
C.A.G Mussa Assad, akihojiwa na channel ya YouTube inayoitwa "CHANZO" amesema aliondolewa nafasi yake kwa dhulma, na kwamba baada ya kuondolewa aliendelea kuomba dua, na Mwenyezi Mungu amejibu...
37 Reactions
250 Replies
14K Views
Huyo ni Maria Sarungi binti wa Profesa msomi wa tiba za binadamu, Mbunge (mstaafu) wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri (mstaafu) wa Wizara ya Ulinzi ( W UL) mwana siasa mashuhuri...
9 Reactions
29 Replies
3K Views
Kanisani mara nyingi Padre anayeongoza ibada huweka msisitizo wa kuiombea dunia nzima. Hukataza ile aina ya maombi yenye kunihusu mimi na watu wa familia yangu pekee. Huwa anasema tupunguze zile...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi binafsi huwa simkubali kabisa Lissu, lakini kuna usemi unatumika sana unasema adui yako muombe njaa, lakini hapo hapo wanasema adui yako vitani akiwa na njaa mpe chakula muendelee kupigana...
18 Reactions
116 Replies
8K Views
Hakuna haja ya porojo , kila kitu hiki hapa , jionee mwenyewe . Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
8 Reactions
52 Replies
5K Views
WAKURUGENZI WA HALMASHAURI NCHINI WATAKIWA KUTENDA FEDHA ILI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA WANANCHI Wakurugenzi wa Halmashauri Nchini Wametakiwa kuhakiksha wanatenga fedha katika mapato ya ndani ili...
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Habari JF, Kwa wasio fahamu hii itikadi ya Kundi la Sukuma Gang inaundwa na watu wa aina 3 na ilikuwepo hata kabla ya 2015 kipindi hicho wakiwa ni wafuasi wa Lowassa ndani ya CCM hivyo baada ya...
3 Reactions
92 Replies
5K Views
Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Jumapili Mei 21, 2023 imeingiza mguu katika sakata la mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo huku ikiitaka Serikali...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Lisemwalo lazima litakuwepo tu. Ukiwa ni dereva utakubaliana na mawazo ya kipanya kuwa sass traffic wanafanya kazi ya TRA. Ukiona wanalisimamisha gari kazi ya kwanza kuifanya ni kuangalia kama...
42 Reactions
200 Replies
10K Views
MBUNGE JACQUELINE KAINJA AKUBALI KASI YA MAENDELEO JIMBO LA KALIUA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora Mhe. Jacqueline Kainja akiwa Kata ya Kamsekwa Wilaya ya Kaliua katika Uzinduzi wa Jukwaa la...
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Hotuba ya Waziri wa Nchi – Ofisi Ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa George B. Simbachawene (Mb) kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka 2023/24
1 Reactions
0 Replies
658 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…