ZIARA YA CHONGOLO YAMPA NYUMBA BALOZI WA NYUMBA 10
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa nyumba ya makazi ya Mwenyekiti wa shina...
Bajeti ya Waziri Mohamed Mchengerwa imewasilishwa bungeni leo hadi sasa hakuna kelele zozote za rushwa kwa wabunge kama ilivyokuwa kwa wizara ya nishati.
Heko wizara ya maliasili kwa kuendesha...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 39 leo Juni 2, 2023.
Wizara ya Maliasili na Utalii imesema kufuatia juhudi mbalimbali za kuongeza utangazaji wa vituo vya utalii...
Kesho Tanzania itapokea ndege ya mizigo. Hatua hii ichukuliwe kwa uzito wa pekee na wafanyabiashara wakubwa na wadogo. Ndege hiyo kubwa ya mizigo aina ya Boeing 767-300F itakuwa na uwezo wa kubeba...
Huwa najiuliza mara kwa mara, kwanini wanasiasa wa Afrika kipindi cha uchaguzi ni kama vita? Maana hata bajeti ya dharula kwa vyomno vya usalama huwa inawekwa kama sikosei!
Maana kuweka askari...
MHE. TIMOTHEO MNZAVA - MRADI WA REA UMEKIHESHIMISHA CHAMA TAWALA
"Manufaa ya gesi asilia ni makubwa, sekta ya gesi inakuwa kwa kasi kubwa na ni rahisi kusafirisha na watu wana matumaini makubwa...
Wabunge wote walioenda nlisikia ni 83, achilia mbali maafisa wengine wa serikali almost 110, the kwa haraka haraka tickets + accomodation + foods etc ya kipindi chote si chini ya dola 10,000 kwa...
John Heche
Akiwa kwenye mjadala wasafi fm, John Heche amekanusha uvumi aliolizwa na mwandishi kuhusu kuwepo kambi mbili ndani ya Chadema huku yeye Heche akiwa kambi ya Tundu Lissu.
Heche amesema...
Miongoni mwa madereva tunaopata changamoto kubwa ni tunaotumia barabara inayoanzia Tembo Road hadi kiwanda cha Serengeti Breweries Ltd (SBL) kupitia FM Foundation Pre and Primary School. Barabara...
MHE. MUNDE TAMBWE APIGILIA MSUMARI MAAMUZI YA TIMU YA MAWAZIRI NANE NA BARAZA LA MAWAZIRI KUHUSU UGAWAJI MAENEO KALIUA
Mbunge Viti Maalum Wanawake Mhe. Munde Abdallah Tambwe amemshukuru Waziri wa...
Sumaye, aliyekuwa Waziri Mkuu Serikali ya Awamu ya Tatu, alisema kasi ya kupanua vyuo vikuu haikuendana na ukuaji wa uchumi kwa kuwa vijana wengi waliomaliza shahada hawakuwa na ujuzi wa kufanya...
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imekabidhi eneo la ujezi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kwa Mkandarasi ambaye ni CRJE (East Africa)...
Miradi inatumia fedha nyingi za kigeni kufanya imports ya vifaa na kulipa wakandarasi
Miradi mingi inatumia mikopo ambayo imeshaanza kulipwa kabla hata matunda ya mradi hayajaanza kuingiza kipato...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu Ummy Mwalimu leo tarehe 02 Juni 2023 akiwa Bukoba Mkoani Kagera ametangaza kuwa mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
“Kwa mujibu wa miongozo ya...
Ni mwananchi au pia serikali ya Tanganyika?
Tangu nimezaliwa sikuwahi kufahamu achilia mbali kufahamu, hata ile kusikia tu jambo hilo kwamba Zanzibar ina maeneo yake Bagamoyo huko Razaba,
Ni...
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu ya SMZ ndugu Charles Hillary ametoa tangazo kwa umma ambalo clip yake inatrend kwamba eneo la shamba la Makurunge Razaba lililopo Wilaya ya Bagamoyo Kata ya...
Katika ziara za viongozi wa chama Mh.Zitto Zuberi Kabwe , Mwenyekiti Babu Duni na Makamu Mwenyekiti Dorothy Semu moja ya jambo ambalo limeelezewa kwa unyeti ni suala la mabadiliko ya sheria ya...
Makamba jr siyo waziri wa kwanza ktk wizara ya nishati kuundiwa zengwe na mafisadi. Mafisadi ya nchi hii yamekuwa yakiparurana na kila waziri wa wizara hii. Hiki ndiyo chanzo cha kelele zote hizi...
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Bi. Leyla Mohamed, leo amewasilisha bajeti ya wizara yake na kuomba kuidhinishiwa kias cha shilingi 457B.
Wakati hapo nyuma Kidogo Wazir wa Elimu...