Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 4,722
- 14,250
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Bi. Leyla Mohamed, leo amewasilisha bajeti ya wizara yake na kuomba kuidhinishiwa kias cha shilingi 457B.
Wakati hapo nyuma Kidogo Wazir wa Elimu Tanzania aliomba kuidhunishiwa kias cha Shilingi 1.55Trln.
Nikiwa natambua kwamba Elimu ya Juu ni jambo la Muungano. Lakini Kuna msawal hayana majibu.
1.Idadi ya wanafunzi wote Zanzibar hawafiki lak 5.
2. Idadi ya wanafunzi wa Darasa la saba waliofanya mtihani Zanzibar mwaka jana hawafiki elf 40.
3. Idadi ya wanafunzi Tanzania Bara ni zaid ya milion 10.
Kwa Muktadha huo.
Bajet ya Elimu Zanzibar kwa kila mwanafunzi Zanzibar ni wastani wa Shil 900,000(Laki Tisa), Wakati Tanzania Bara ni shiling 150,000(Laki na Hamsini Elfu)
Swali la kujiuliza, ni kwel Zanzibar inapendelewa au inajiliza ili ipendelewe hasa kwenye maswala kodi za Chakula, vifaa nk?
Juzi tu hapa tunataka kusamehe deni la umeme zaidi ya Bil 60, kwenye nchi inayotuzidi bajeti ya elimu?