January Makamba amepeleka wapi mabilioni ya pesa za ruzuku ya mafuta? Amchonganisha Rais na wananchi
Rais Samia Suluhu Hassan alimuagiza Waziri wa Nishati, January Makamba, kuweka ruzuku ya...
Miezi kadhaa iliyopita Rais Samia alisikika akisema Tanzania ipo vizuri kwenye hifadhi ya fedha za kigeni, huku akisema kuna nchi jirani ina hali mbaya ambayo inahitaji msaada
Kenya walielewa...
Nilichogundua ni kwamba Tanzania ya sasa sio kama ya zamani Tanzania ya Rais Samia Suluhu ni ya amani miaka 5 iliyopita mpinzania alikua nia adui mkubwa wa polisi lakini sasa baada ya maridhiano...
Hayo tu wandugu. Kama TISS wanakinga kwa nini sisi polisi tusiwe nayo?.
Wananchi nao wapewe kinga wakiua mtu yeyote atakayeuawa maana TISS akiua hatakuwa amejitambulisha kwa wananchi hivyo...
Nakumbuka nikiwa mdogo nilikuwa naona mama akimbeba mdogo wangu mgongoni, yule dogo alikuwa Kama amechoka/au hataki kubebwa. Basi alikuwa kwanza anaanza kurusha mateke mgongoni kwa mama, akiona...
Na. M. M. Mwanakijiji
Kuna watu ambao tunawakumbuka kwa umahiri na weledi katika kazi, vipaji au matendo yao. Michael Jordan aliichezea timu ya mpira wa vikapu ya Chicago Bulls na kujionesha kuwa...
Mimi siamini katika mikutano ya hadhara hasa ya upinzani baada ya uchaguzi. Sababu yangu ni moja, wapinzani hawana ufumbuzi wa kero za wananchi. Hii imeoneka wakati wa Kampeni ya 255 ya CHADEMA...
Suala la maadili ya viongozi limekuwa ni changamoto. Uwepo wa ofisi ya maadili ya viongozi wa umma ni jambo linalopaswa kuendana na nidhamu za viongozi kiutendaji na kimaadili.
Ripoti za CAG...
Msimamo wa Serikali ni kuwa Haina dini, ila watu wake ndiyo wenye dini. Labda, inaweza ikawa ni kweli.
Serikali imetuambia pia kuwa haiamini katika uchawi, lakini ni wachache watakaoweza...
Katika Jambo linalotishia uhai wa taifa Letu ni kuelemwa na madeni huku pesa yetu ikikosa thamani kabisa, Hakuna juhudi zozote Za makusudi zinazofanywa na seriakli ya Samia kuokoa uchumi wa Taifa...
Ndugu zanguni, mipaka ya nchi hutambuliwa kwa ramani. Hamna nchi isiyo na mipaka yake.
Naombeni ramani inayoonyesha kuwa mipaka ya Zanzibar inafika hadi Bagamoyo.
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limetangaza ukomo wa utumishi wa maofisa wake wawili kwa sababu ambazo hazijawekwa bayana.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa umma, watumishi hao...
MHE. KILUMBE NG'ENDA - AHOJI KWANINI BEI YA MAFUTA ISIWE MOJA KAMA UMEME NCHINI
Mbunge wa Kigoma Mjini, Kilumbe Ng’enda amehoji bungeni kwa nini serikali isiwezeshe bei ya mafuta aina ya petrol...
Msikilize huyu Mh.
"Mkoa wa Geita una vijiji 486, mpaka sasa tumekwishafikisha umeme katika vijiji 556 na katika vijiji 130 vilivyobaki vyote vina mikataba na vyote vina wakandarasi," January...
Mbunge wa Lindi Mjini, Hamida Abdallah amemuomba Waziri wa NIshati, January Makamba na Serikali kwa ujumla kushusha kodi zilizopo kwenye vifaa na gesi ya matumizi ya kupikia majumbani ili wananchi...
Wenda Rais Samia ndio atakua rais wa kwanza Tanzania kuweka wanawake wengi ktk nafasi za uongozi kupita vipindi vyote nyuma yake,wanawake ni wengi sasa ile 50/50 apa inatumika vilivyo.
Mbali na...
Ikiwa ni moja ya sheria kali zaidi duniani ambapo mtu yeyote anayesambaza ushoga anaweza kuhukumiwa kwa kifungo cha maisha au kifo ambapo amesema sheria imeishapita na haiwezi kufutwa.
Akiongea...
WAZIRI MKUU MAJALIWA ATOA MAAGIZO KWA WAKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI WOTE NCHINI, AMPONGEZA MKUU WA WILAYA MSTAAFU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ametoa Maagizo Kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi...