BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,496
- 14,113
Mimi ni Yanga ila I hate sana huu ujinga, hii hata North Korea huwezi kuta Chama cha Kokomonist kinafanya huu ujinga. China kule huwezi kuta huu ujinga, ni kwa nini lakini ni Tanzania ndio kuna kiwango hiki cha ujinga?
Hakuna nchi Africa hata vyama tawala vinaweza fanya huu ujinga kwa nini lakini ni Tanzania pekee?
CCM ndio ma engineer wa kuuza viwanja ya wazi vya michezo ambayo vilipaswa kukuza vipaji na sasa ndio wako front line kuingiza siasa kwenye Club, najua hata zile million sijui ngapi ni kampeni.