Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari Wakuu, Leo 07/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri kesi...
42 Reactions
144 Replies
31K Views
Pamoja na juhudi kubwa za Mamluki walioingilia mapokezi ya Yanga kuchomekea mabango yenye Picha za Samia Suluhu (Haifahamiki Malengo yao) lakini kutokana na Wingi wa Watu kwenye eneo la Uwanja wa...
10 Reactions
43 Replies
9K Views
Huwezi kuwa Shujaa kisha ukaelezewa kwa upande mmoja tu wa shilingi Petro Mtume " Mwamba" historia yake haikamiliki bila kuelezea alivyomkana Yesu mara Tatu Yakobo na Mfalme Daudi Vitabu vyao...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Serikali imesema hadi Oktoba 2022, leseni 43 ubora zimetolewa kwa bidhaa mbalimbali za pombe za kienyeji zilizokidhi viwango vya ubora. Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Exaud...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mimi ni Yanga ila I hate sana huu ujinga, hii hata North Korea huwezi kuta Chama cha Kokomonist kinafanya huu ujinga. China kule huwezi kuta huu ujinga, ni kwa nini lakini ni Tanzania ndio kuna...
12 Reactions
50 Replies
5K Views
Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimesema madai ya Balozi Ali Karume kuhusu uchaguzi mkuu akisema CCM haikushinda si mageni kwani aliyekuwa Makamo Mwenyekiti CUF Mussa Haji Kombo amewahi kutamka...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ni Usiku wa kipekee Sana Wananchi watakapokutanika kwa Chakula cha jioni Ikulu ya Magogoni kwa mwaliko wa Mwananchi namba 1 mh Dr Samia Rais wa JMT Tutawajuza yote yatakayojiri katika furaha hiyo...
9 Reactions
21 Replies
3K Views
Mkuu wa mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mbunge, Mkurugenzi, na wateule wote, wakiongea maneno 10, basi maneno 7 ni kupongeza na kusifu. Mbaya zaidi, kwa sasa hata hawaangalii mazingira, kila akipewa mic...
5 Reactions
10 Replies
896 Views
Hii ndio Tanzania. Mwaka 2015 wakati wa uchaguzi mkuu mgombea urais wa CCM Magufuli alitoa ahadi ya kuanzisha mahakama maalum ya kushughulikia ufisadi. Baada ya kushinda uchaguzi aliitimiza...
0 Reactions
3 Replies
752 Views
Alitaka kujenga treni ya Umeme Tanzania, swali likaja umeme atautoa wapi wa kuendesha hiyo treni? Akapiga akili akagundua kuna uwezekano wa kupata zaidi ya 2000 MW green energy huko Rufiji Delta...
65 Reactions
115 Replies
8K Views
MUSOMA VIJIJINI WAENDELEA KUTATUA MATATIZO YANAYOWAKABILI WANAFUNZI WA SEKONDARI ZA KATA * Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21 zenye Vijiji 68 na Vitongoji 374 * Jimbo lina Sekondari za Kata...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
MCHANGO WA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) AKICHANGIA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA NISHATI KWA MWAKA 2023/2024 BUNGENI DODOMA TAREHE 1 JUNI 2023...
14 Reactions
44 Replies
6K Views
Waziri wa Fedha Dr Mwigullu PhD amemwambia Askofu Hilinti wa KKKT Dayosisi ya Kati Kwamba tangu alipokuwa Sekondari ndoto yake ilikuwa ni siku Moja aje kusaini Noti ya Tanzania na imekaribia...
2 Reactions
41 Replies
9K Views
Habari zenu Wana jukwaa, imani yangu sote tuko wazima wa afya njema na kwa wale walio na changamoto ya afya mungu awasaidie waweze kupona na kuendelea na majukumu ya kila siku. Watanzania hivi...
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Ilikuwa furaha kubwa Jana kuzungumza kwa mara nyingine na Wananchi wa Kahama Jana. Maisha yangu ya kisiasa hayawezi kuandikwa bila ya Hoja ya Buzwagi, mgodi wa madini uliokuwa hapa Kahama. Baadhi...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
#HABARI Mkuu wa mkoa wa Singida Peter Serukamba amemsweka ndani afisa manunuzi wa halmashauri ya Manyoni Joseph Swila kwa kukiuka maagizo aliyoyatoa jana wakati alipofika kukagua ujenzi wa wodi ya...
6 Reactions
40 Replies
3K Views
Rais, Kijiolojia na kama muungano utadumu, Zanzibar ina kila sababu ya kupewa ardhi bara ili isipotee na ikipotea basi hakuna muungano tena maana Zanzibar haitakuwepo kwenye atlas ya dunia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema kitaendelea kushawishi sera mbadala za kuondoa watu kwenye umasikini ikiwemo ya Hifadhi ya Jamii kwa wote itakayohakikisha kunakuwa na Bima ya Afya kwa wote...
0 Reactions
1 Replies
969 Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiwaongoza Watendaji wa Wizara hiyo, Wadau mbalimbali wa Sekta hiyo na baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na...
0 Reactions
0 Replies
811 Views
Ngoja tuone maana Shubiri ndio alovera mmea muhimu Sana kwa tiba ya mwili Vyama Vyote vya upinzani vinapendelea Asali sasa hiki chama kipya cha Umoja tunasubiri kwa hamu kuona uelekeo wake...
3 Reactions
48 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…